Hata kama serikali haina dini lakini sio vema KURUHUSU UHOLELA UNAOPITILIZA.
Serikali ni vema kujua kuwa wananchi wengi ni masikini sana na wenye shida nyingi kimaisha. Pia idadi kubwa ya watu...
Habari?
Nilikuwa natafuta INCUBATOR sasa ktk pitapita mtandaoni nimekutana na hizi App za AliExpress na Kikuu Zina hizo mashine nazohitaji Tena kwa affordable price kwangu.
Je ninaweza kuagiza na...
Star wa zamani wa Arsenal, Bwana Emmanuel Eboue ilibaki kidogo tu ajinyonge baada ya mahakama kumpokonya mali na pesa zake zote na kumpa mkewe baada ya kuachana.
Mchezaji huyo wa zamani wa...
Wananchi wa Kata ya Olijoro namba 5 Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara ambapo leo Agosti 26, 2024 yamefanyika maandamano makubwa ya Wananchi wakiishinikiza Serikali, Kuwapatia maji baada ya huduma...
1. Tamko lingeambatana na utenguzi wa waliopewa dhamana ya kulinda uhai wetu
2. Wakati wa tamko mheshimiwa angeweka picha ya mhanga, ama bendera ya nchi badala ya za mkusanyiko wa watu wengine...
Bhana leo asubuhi nikiwa napitia jukwaa mbalimbali hapa hapa JF nikapata alert kwamba nimebakiza ku-view post 5 kama guest
Nikachukulia mzaha nikaendelea ku-view post mbalimbali ghafla napata...
Hizi garama za kuagiza gari zinazotozwa na TRA kuna haja ya kupata maana yake na kwanini zinatozwa. Kwa sisi tusiojua tunaona kama ni wizi kuna kodi hadi ya railway.
Ama kuna anajua kwanni...
Kwanini jeshi la polisi hamzishuhulikii daladala zinazosimana katikati ya barabara kwenye kushusha ama kupakia abiria?
Ninyi polisi mmelizika kuchua viaftano tano ndio mmeshalizika kila dalalada...
Mimi siku zote nimekuwa nikifahamu "mwamba" ni mtu jasiri, mwenye kuweza kupambana katika hali ngumu sana na mambo ya kutisha au kugofya, sasa huwa nashangaa hata watu midebwedo kabisa wanaitwa...
Hivi majuzi nimesoma post ya mtu anayeitwa Julius Mtatiro (siku indie Mhe DC ama majina yamefanana) amepost hio post huku pembeni yupo Godbless Lema Mbunge Mstaafu wa Arusha.
Baada ya kuisoma...
Mahakama yaiamuru Kampuni ya Safari Automotive Limited kulipa Fidia ya Milioni 10 kwa kusambaza video za mteja wao bila ridhaa yake.
Mahakama Kuu (Masijala ndogo ya Dar es Salaam) yaiamuru...
Musiba aliowatuhumu woote kwamba wanamhujumu Magufuli kwa kutaka kumpindua Magufuli na serikali yake alitwezwa na kubagazwa Sana lkn list yote aliyoitaja sasa iko nje ya Mfumo
January Makamba...
Mishindo ya Bodaboda.
Pengine kuna wadogo zangu humu ambao wanatafta Riziki kupita bodaboda, Kwa heshma kabisa siku hizi wanajiita Maafsa usafirishaji.
Kazi ya Uafsa usafirishaji ni kazi kama...
Inawazekenaje watu wanaweza kurekodi kwa siri video clip za dungadunga kwenye dalalala na mwendokasi ila walishindwa kabisa kurekodi video ya Ali Kibao akichukuliwa mateka na wasiojulikana katika...
Ikiwa huamini Mungu alieumba ulimwengu mzima na vilivyomo, kwamba kila kitu kipo nature, mbona magari na vitu vyengine tunaona Made in China, made in Tanzania etc
Wenye akili tu wataelewa
Wakuu, Toka jana nimejiunga hiki kifurushi cha Mitandao yote SME ila cha kushangaza pesa yangu 5000 wamekata halafu kifurushi hakuna, licha ya kuniletea message za kuwa nimefakiwa kununua...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma katika Bandari zake hali iliyoongeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.