Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Unapokuwa na wasiwasi wa kutekwa, kuuliwa, kukamatwa na watu wasiojulikana unapaswa kufanya nini? 1. Kuripoti polisi. Swali ni unaripoti kwa muktadha upi ukiulizwa kipi kinakufanya uwe na mashaka...
1 Reactions
3 Replies
217 Views
Mwenye kufahamu process za kubadiri matumizi ya ardhi anielimidhe please. Unapitia hatua zipi/
0 Reactions
5 Replies
308 Views
Mikoa mbalimbali imejenga stendi na nyingine zinaendelea na Ujenzi kwenye Miji na Majiji mbalimbali. Ila Hadi tunakwenda mitamboni,hizi hapa ndio Stendi 10 Bora, nzuri na Kali hapa Tanzania. 1...
7 Reactions
76 Replies
8K Views
Hawa Meridian bet nilijiunga mara moja tu na nikajitoa(nililazimika kujiunga kwa muda mfupi ili niObserve kitu fulani kutokana na kazi zangu), lakini kila siku wanaendelea kunitumia meseji zao za...
1 Reactions
6 Replies
298 Views
Wakuu Huku Mbweni Mpiji maeneo ya Ungindoni wakiwa na sherehe zao za vigodoro ni kero kubwa, wanakesha usiku kucha na mziki ni mkubwa kiasi kwamba ni changamoto hata kupata usingizi. Mbali na...
1 Reactions
44 Replies
1K Views
Kwa tunaofanya malipo kwa dola ya Marekani hali imekuwa tete sana. Hata bajeti huwezi kupanga maana hujui kesho itakuwa Tsh ngapi. Tufanye kitu ikae sawa. Wenzetu Kenya waliwezaje kuokoa pesa yao...
1 Reactions
13 Replies
364 Views
Jamani wanaJF wenzangu, Naomba kufahamishwa kuhusu huyu mtangazaji wa redio free afrika DEOKAJI MAKOMBA kwa sasa yupo wapi! manake nilikuwa nampenda sana huyu jamaa hasa alipokuwa anatangaza...
1 Reactions
238 Replies
82K Views
Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendelea kuhakikisha tija na ustawi wa wauguzi, madaktari na watumishi wote wa Sekta ya Afya kupata stahiki zao pamoja na kuwasimamia na kufuatilia wajibu wao...
1 Reactions
1 Replies
378 Views
Shirika la Foundation for Civil Society (FCS), limeandaa mpango kazi utakaosaidia AZAKi kujikwamua kiuchumi kutokana na ushirikano utakaozikutanisha pamoja na Sekta Binafsi katika utekelezaji wa...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Tuendelee na mtiririko wa mada zetu. Kama kuna kitu kinapokea uchafu na najisi za kila aina basi maji na ardhi vinaongoza...lakini leo ningependa nijikite kwenye ardhi pekee kwakuwa ndio makazi...
24 Reactions
167 Replies
32K Views
Mimi mpaka hivi sasa linaniuma suala la kufungiwa Bureau de changes hasa hizi za hapa Zanzibar. Bado nina masuali lukuki najiuliza kichwani mwangu ambayo siyapatii majibu. Kila nikichunguza...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari zenu wadau. Naomba kujua tafadhali. Kipi bora kati ya hivi : 1. Ninunue mpunga nikoboe zitoke kilo elfu moja niweke ndani kwa ajili ya matumizi ya familia. Au ninunue mpunga, niweke...
1 Reactions
17 Replies
847 Views
Kuoa na kupata familia ni muhimu na umri unakwenda. Gari muhimu linarahisisha usafiri na maisha pia linakupa hadhi fulani. Nyumba inakupa makazi ila huwa haiishi. Biashara inakupa fedha ya ziada...
12 Reactions
173 Replies
4K Views
Fuatana nami Kama uliwahi kusikia dunia ya magharibi na mashariki, au ulipata dodoso za vita kuu ya kwanza na ya pili ya dunia Baadae vita ya baridi basi vuta kumbukumbu hapo. Dunia ilikua...
2 Reactions
3 Replies
231 Views
Nimepata habari mfanyabiashara Matei mwenye Mateo Pub kapata ajali mbaya na kupoteza Uhai. Mwenye taarifa zaidi atujuze; --------------------- UPDATES; Kuna taarifa kuwa katika ajali hiyo pia...
0 Reactions
133 Replies
39K Views
Wale ambao tukiajiriwa au kupata hela kidogo tu tunatafuta wadada wa kazi. Wale tusiojua kupika, kuna la kujifunza hapa. Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea...
28 Reactions
132 Replies
4K Views
"Vyombo vya Habari vinaalikwa leo tarehe 11 Septemba 2024 katika kikao maalum kitakachokutanisha viongozi wa Chama na Mabaraza wa ngazi zote wa Kanda ya Pwani. Kikao hicho kitaongozwa na...
1 Reactions
1 Replies
341 Views
Kuna watu humu JF walisema sijui fei toto kibonge, fei toto mbovuu Jana kaliheshimisha Taifa
0 Reactions
4 Replies
245 Views
Wadau hamjamboni nyote? Tuko Kijiweni muda huu hapa maskani Kuna chaji ya simu ipo hapa mezani Ina rangi nyeupe tena ya gharama kubwa imeachwa na mteja mmoja aliyekuja mapema leo asubuhi...
0 Reactions
16 Replies
597 Views
Sijafuatilia utekwaji na mauwaji ya huko nyuma. Lakini kwa hili na mauwaji ya Ali Mohamedi Kibao nina uhakika vyombo vya usalama havijahusika. Waliohusika ni kundi lenye nia ya kuleta fujo nchini...
4 Reactions
79 Replies
3K Views
Back
Top Bottom