Binafsi naiheshimu sana serikali pamoja na viongozi wake kuanzia ngazi za chini mpaka kule juu.Serikali za mitaa zinafanya vizuri pamoja na kuwepo kwa changamoto kadha wa kadha. Hali kadhalika...
Server error occurred: '0 trim(): Argument #1 ($string) must be of type string, array given (Html.php:1579)'
Open in Browser
Habari za muda huu ndugu zangu ni matumaini yangu kwamba mnaendelea...
Kuna kitu kinakosekana wakati mwingine unataka kusema Yes au No, lakini hazipo. Je JF waongeze emoji zipi zaidi ya zilizop?
Mods kichwa cha habari kiwe:
Nafikiri kuna haja ya kuongeza emoji walau...
Kwema Wadau,
Kama mnakumbuka mwezi wa 8 hapa katikati wafanyakazi wa Jomo Kenyatta International Airport walifanya mgomo.. kwa kweli niliona ile ishu juu juu skufatilia zaidi.
Sasa hapa...
Ushauri wangu kwa Vyombo vya ulinzi na usalama ni kwamba, kufanya ukatili sio kuogopeka. Zaidi, ni kuzidi kudharaulika na kuonekana hamna weledi wala hamjui majukumu yenu.
Mtu anayeogopeka ni...
Huyu sheikh ndiye shujaa wangu wa Amani.
Hana muda wa kuhubiri chuki za kidini wala visasi. Yeye mawaidha yake yameegemea kwenye raha za peponi. Mungu mpe maisha marefu sheikh huyu mfano wa...
Tanzania inaweka juhudi kubwa kwenye kuhamasisha matumizi ya nishati safi ambayo inalinda mazingira lakini pia afya ya wanawake na watoto ambao wanaathirika zaidi na matumizi ya nishati ambazo sio...
Juzi kaitisha press conference kuelezea hali ya usalama inavyoendelea nchini baada ya mauaji ya Mzee MeD kiongozi wa CHADEMA.
Mimi kwangu kule nakuita kujilipua na uthubutu wa aina yake katikati...
Mchicha ndio mboga inayopatikana kwa urahisi Dar. Nyama ya ng'ombe na Samaki ni anasa Dar es salaam.
Mchicha huu unaolika kwa asilimia 100 kila siku unamwagiliwa kwa maji ya mavi kwenye mabonde...
Habari,
Nimeenda NSSF kufuatilia mafao ya mirathi ya marehemu mzazi wangu aliyefariki akiwa kazini bado lakini cha kushangaza NSSF wanasema hatuna haki ya kupata mirathi hiyo kwasababu watoto...
Wadau naona watu wengi wamezungumza sana kuhusu kisomo cha Albadir ambacho baadhi ya waislamu wanatarajia kukisoma kesho kwa ajili ya kuwashtakia kwa Allah watu waliokusudia kumuua Mh, Tundu Lisu...
Wanafunzi 1,230,780 wamesajiliwa na wanatarajiwa kufanya mitihani ya kuhitimu Elimu ya Msingi kuanza leo Septemba 11, 2024, kati yao Wavulana ni Asilimia 46 na Wasichana ni Asilimia 54
Katibu...
Bondia Maarufu nchini mh Mwakinyo amewataka Mashehe na Masharif wa Tanga kufanya jambo Ili iwe fundisho kwa wengine
Mwakinyo amesema Tanga ina wanazuoni wakubwa wanaoheshimika hivyo Kifo Cha Ally...
Wazee wa Tanga hata msingefanya lolote Ila karma ingeshughulika nao hao watu .
Mwaka 2021 yule bwana aliyekuwa anataka kumuua Tundu lissu alipokea Malipo yake
Habari wanajukwaa!
Natumaini hamjambo,
Hii sio kashfa bali ni ukweli mtupu.
Usafiri wa daladala hapa Dar ni kwaajili ya maskini.
Vijana tutafute pesa huku tukimwomba Mungu atuepushe na Usafiri...
Kwanini kazi ya kufua nguo inaonekana kuwa nyepesi sana kwa upande wa wanawake...siri ni nini?
Mimi ni mtu wa mazoezi lakini kufua nguo mbili huwa nachoka haswa, lakini utakuta mdada anafua...
Ndivyo ilivyo katika nafsi yangu kwa muda mrefu sana katika anga za siasa za Tanzania.
Freeman Mbowe kwangu mimi hajawahi kuwa na ushawahi wa aina yoyote ile, sio mpigania haki wala uhuru...
Salaam
Sheria ni mkusanyiko wa vifungu vinavyoetanabaisha hatua stahiki/sio stahiki katika utaratibu wa kulifanya jambo, lakini sheria hua na kawaida ya kugeneralize(jambo huelezewa kwa ujumla)...
Tabia saba zinaonesha kuwa wewe ni mtu mwe IQ ya juu.
1. Kuongea mwenyewe
2. Kukesha usiku
3. Kuota ndoto za mchana.
4. Kuuliza maswali mengi
5. Kufanya fujo na ukafanikiwa.
6. Kuwa mpweke.
7...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.