Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
JENISTA MHAGAMA: HUDUMA ZAIDI YA 35 ZA KIBOBEZI ZINAPATIKANA MUHIMBILI Na WAF - Dar Es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amewezesha upatikanaji...
1 Reactions
1 Replies
338 Views
MBUNGE MAVUNDE AZINDUA SHULE YA SEKONDARI MKOYO-HOMBOLO JIJINI DODOMA -Ni Shule iliyojengwa na Mbunge Mavunde na Serikali -Shule yapewa Jina la Anthony Mavunde -Watoto wanusuriwa kutembea...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
[.MUHIMU.]...Vitu HATARISHI Vyakuepukana Navyo na Kuachana Navyo Kabisa Kabla Hata MWAKA 2024 Haujaisha.... 1.Kutumia Muda mwingi Sana Kwenye Social Media . Kwenye mitandao, wewe ni mwandaa...
6 Reactions
12 Replies
638 Views
Sijui hata cha kusema! Lakini masikitiko yangu matokeo ya ufungaji wa taa za barabari Kilwa road na Chang'ombe road yanaenda kuibua kero kubwa ya msongamano wa magari kuliko ilivyo hata hivi...
6 Reactions
62 Replies
2K Views
Sisi binadamu hasa wazungu kumezuka katabia ugonjwa wa kutisha ukiingia kuna wanyama wanakuwa wahanga kusingiziwa kumbe wanafanya majaribio yao ya kimaabara mambo yakisanuka tayari wanasingiziwa...
1 Reactions
3 Replies
181 Views
Haya mambo yanahitaji uchunguzi, na subira, huyu naye chadema walisema katekwa na polisi ===== Jeshi la polisi mkoani Singida linawashikilia watu watatu akiwemo mganga wa kienyeji ambaye...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu, Kuna jambo nimejiuliza siku nyingi sana kuhusu maneno “City Bus” yanayoonekana kwenye daladala nyingi za Dar es Salaam. Font ya haya maneno yanafanana katika daladala zote na hili ndilo...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Mambo yanaenda kasi sana. Ujuzi ndio kila kitu. 1: Dogo wa kwanza anatengemeza Website, Apps, Systems, na projects zake kama akipata connections ninza mamillioni. Kama haitoshi huwa anawafanyia...
16 Reactions
38 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Ni engineer Léonard Shayo ambaye pia ni fundi mitambo wa Azam Media, amefanikiwa kutengeneza satelaiti mahususi kwa ajili ya kukusanya taarifa za hali...
22 Reactions
85 Replies
4K Views
Kama kichwa chá Habari kisemavyo,kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022,Mkoa WA Kilimanjaro unaongoza Kitaifa Kuwa na watu wenye umri WA miaka 65 na Zaidi na kufanya Kuwa kinara wa...
9 Reactions
164 Replies
4K Views
Ni suala la kawaida Kwa mataifa mengi , na huo ndio Ushirikiano , Raia wa Nchi A anafanya kosa, anakimbilia Nchi B, basi negotiations zinafanyika, Huko huko Nchi B anakamatwa na kurudishwa Nchi...
15 Reactions
146 Replies
3K Views
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imeshauri jamii kupenda kufanya mazoezi, kupunguza kula vyakula vya sukari, wanga na kusisitiza kwa wanywaji wa bia, kunywa angalau tatu kwa siku ili...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Ingia ndani kupata huduma yeyote lazima upoteze zaidi ya saa moja. Wananchi wa Tanzania ninatoa wito tuwaache CRDB na wanahisa wao wabaki wenyewe. Hawezekani benki tuipe sisi kiburi cha...
2 Reactions
10 Replies
504 Views
Siku hizi ukikutana na mtu ambae hukumchangia harusi yake basi utakuta hakuchangamkii kama zamani. Jamani sisi sio fake friends ni hali ngumu jamani mtusamehe bure
9 Reactions
42 Replies
1K Views
Sio kawaida hii. Nimeskia vishindo vya kutisha juu ya ardhi nilipokuwa naenda kujisaidia haja ndogo. Kiasi Kwamba nimeogopa hata kutizama dirisha la chooni nisije nikaona mambo ya ajabu...
9 Reactions
44 Replies
2K Views
Pesa inayokutajirisha ni ile inayogeuka kama chambo ya kunasa pesa zaidi. Kuna mambo unayotakiwa kuyadhibiti kabla hujakurupukia ndoto za utajiri. Mambo ambayo yatakusababisha kila kinachoingia...
50 Reactions
97 Replies
5K Views
  • Poll Poll
Nina suala ambalo ninaona limewanyanyasa Watanzania wengi ingawa kwangu lilinitokea mwaka 2016. Watanzania wamekuwa wakitumia mtandao mbalimbali ya simu ikiwemo vodacom, halotel, tigo na...
0 Reactions
0 Replies
120 Views
Wasalam, Nimeona na kushughudia kwenye nchi zenye umaskini mkubwa kuwa mtu ukiwa na muonekano labda rangi ya ngozi mathalan ukawa ngozi nyeupe kama ndugu zetu waarabu au maji ya kunde ile ya...
4 Reactions
16 Replies
748 Views
Salaam, Shalom! INTRODUCTON. Mungu ameweka sadaka kuwa kitu kinachoendeleza kipato Cha mtoaji maisha yake yote. (Luke 6:38) Yesu asema, wapeni watu vitu,nanyi mtapewa, kipimo Cha kujaa, na...
12 Reactions
39 Replies
2K Views
Salaam, Shalom!!! Kuna wajinga wengi wanaodhani kuwa watumishi wa Mungu na Mungu mkuu kuwa Wana njaa na kudhani kuwa wapo Ili kukusanya sadaka Ili kujiongezea ukwasi, Usilolijua ni kuwa, SADAKA...
8 Reactions
38 Replies
1K Views
Back
Top Bottom