Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Naomba kuelekezwa kama Kuna namna Mimi sielewi. Ni mara nyingi sana nikikata tiketi ya basi, unakuta kiwango kilichoandikwa pale ni tofauti na kile ulicholipa. Mfano, nilipanda basi kutoka...
1 Reactions
0 Replies
163 Views
Ingali tupo hai damu itajibu uhai wa waliofariki,MiKONO yote michafu ya waliowezi itavunjwa na kukatwa vipande vipande na damu yao itakuwa ni sherehe kwa familia zilizoathirika na umwagaji damu wa...
2 Reactions
1 Replies
196 Views
Anonymous (a257)
Mimi ni mdau mzuri wa mwendokasi kutoka Kibaha Stendi hadi mjini Posta, nimesikitishwa sana kuona huduma hii kusitishwa bila notisi wala matangazo rasmi (huenda yalikwepo ila mimi sijayaona). Kwa...
1 Reactions
11 Replies
947 Views
Waganga wa Tiba asili waomba kutohusishwa na matukio ya ukatili yanayotokea kwenye jamii kwani wao hawahusiki na kuwatuma watu wafanye ukatili badala yake wameomba kupewa thamani kama ambavyo...
5 Reactions
5 Replies
339 Views
Msanii maarufu wa vichekesho nchini, Gladness Kifaluku amewataka wanawake kuwa makini zaidi na wafanyakazi wao wa ndani baada ya kukumbwa na tukio la kusikitisha. Gladness aligundua kuwa...
1 Reactions
5 Replies
471 Views
Kaka shikamoo... Kuna MAMA huku MTAANI kwetu ni katili sana, WATOTO wake wanafanya mambo ya hovyo yakuumiza na yakumchukiza hadi MUNGU Cha ajabu haongei wala kukemea chochote yaani mpaka...
3 Reactions
18 Replies
502 Views
Mambo mengi tunayosoma huku tunaona hayana ajira kwa sababu ya soko la ndani lilivyo bovu. Fikiria mtu amesoma kiswahili na anakomaa kubaki Tanzania, utamfundisha nani na wote wanajua Kiswahili...
0 Reactions
8 Replies
402 Views
Serikali wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro, imesitisha shughuli zinazofanywa na shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na vijana la Kilimanjaro Youth Network baada ya kubainika kufundisha...
10 Reactions
33 Replies
7K Views
Kwa uzoefu wangu nina uhakika 100% kuwa kabla watu hawajalala siku ya Ijumaa tayari movie itakuwa ishatoka. Ni mwendo wa movie tu. Movie hii itatolewa kufukia jambo. Watanganyika msitolewe kwenye...
2 Reactions
9 Replies
462 Views
Anonymous (66b8)
Soma Pia: NSSF inapanga kumpelekea Mahakamani Mkandarasi Mkuu wa Reli ya SGR, Yapi Merkezi
0 Reactions
2 Replies
323 Views
Inasikitisha sana lkn ndiko tulikofikia yaani majambazi, mafisadi yanatembea kifua mbele halafu watu wema wanaua kila siku. Nadhani kwa tulipofikia tunahitaji kuwa na GEN Z ya vijana ambayo...
0 Reactions
1 Replies
108 Views
Yaani police na idara zake Bado Zinataka taarifa Gani mpya kuhusu kutekwa Kwa Mzee Kibao 1. Mzee Kibao katekwa mchana mbele ya abiria zaidi ya 60 Fuatilia abiria wawape ushahidi 3 Akipanda bus...
7 Reactions
24 Replies
699 Views
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha. Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (WHMTH) kwa kushirikiana na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania-TANAPA, kupitia mradi wa Anwani za Makazi...
1 Reactions
0 Replies
142 Views
Wadau hivi kwanini TBC linapofika swala la kurusha mikutano mbashara wa viongozi wa serikali huwez kuona matangazo yamekatika ghafla?? Linapokuja swala la wananchi Kama vile michezo mfano (mechi...
1 Reactions
0 Replies
109 Views
Nauza Kangala huku nafundisha huu mwaka wa kumi. Wateja wangu wakubwa ni walimu wenzangu. Huwa tunapiga Kangala na tunachanganya na pombe kali za bei rahisi ili kupata stimu. Lakini tupo vizuri...
1 Reactions
9 Replies
450 Views
Nimekuja kugundua kuna familia zina negative energy Nimefatilia hili jambo nikimwambia mzee wangu jambo lolote lazima litiki. Ila nikimwamwabia my mom kila kitu kinakwama kwa 100% My mama...
59 Reactions
293 Replies
8K Views
Mnavyoshangaa maandamano ya Kenya kupigania maslahi ya Taifa lao, Wakenya nao wanawashangaa ambavyo hamuandamani kupigania Maslahi ya Taifa lenu! Hayo Mashirika mawili kuzikwa au kujizika ni...
6 Reactions
13 Replies
584 Views
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Jumanne, Septemba 10, 2024 inatarajiwa kutoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowekwa na kampuni ya huduma za mawasiliano kwa simu za mkononi ya...
2 Reactions
4 Replies
425 Views
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo amewapiga marufuku watendaji wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), wenye tabia ya kuuza siri za wateja na kuwasababishia matatizo...
1 Reactions
0 Replies
181 Views
Hey guys ! I hope mko powa,mm sipo pow sana afya yangu inamgogoro kidogo God is good all the time nitakaa sawa Nina rafiki yangu yupo UK alikuwa anataka kunitumia pesa kidogo akaniuliza una...
2 Reactions
54 Replies
14K Views
Back
Top Bottom