Fahamu kiwango cha fedha ambacho ukisafiri nacho lazima utoe taarifa TRA
Mamlaka wa Mapato Tanzania (TRA) ambayo ndiyo yenye dhamana ya kusimamia masuala mbalimbali yahusuyo fedha imetangaza kuwa...
Kwa hali ilivyo sasa madereva kupigwa mpaka kuuwawa, abiria kushushwa kwenye mabasi kimafia na kuuwawa na matukio mengine mengi ya kiharifu, ni bora wamiliki wa mabasi mkafunga Camera hizi kwenye...
Mfanyabiashara tajiri kutoka Nigeria, Aliko Dangote (66), amerejea kushika nafasi ya kwanza kama mtu tajiri zaidi barani Afrika, kwa mujibu wa Orodha ya Mabilionea ya Bloomberg ya tarehe 7...
Wataalamu wa jadi wapo dunia nzima kila sehemu wapo.
Katika maisha ya binadamu kuna mauza uza mengi sana. Kuna mda binadamu anashindwa kupata hata usingizi kutokona na mambo kuwa tight. Kila...
Kulingana usaili unaoendelea wa idara ya Afya kupitia PSPR mikoani.
Kumekuwa na hali isiyo ya uwazi katika kutenda haki ili kupata wasailiwa wenye vigezo vya kuajiriwa.
Kwanza katika mchakato...
Tatizo ni nini?
Sasa hivi kumekuwa na hofu kwa baadhi ya watu wanaokula samaki Sato na Sangara kutoka ziwa Victoria baada ya riport kuwa wakazi wengi wa kanda ya ziwa wanapata kansa na hili sio...
😂😂😂😂 hii ya kuandika barua imeniacha hoi jamani loooh!
Soma: Shirika la Reli Tanzania (TRC) laomba radhi kutokana na kuchelewa kwa safari kulikosababishwa na changamoto zilizo nje ya uwezo wao
Kama mnavyojua katika Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka wa Fedha 2024/25 kuna kodi kadhaa zimependekezwa ikiwemo kodi ya kwenye Digital Assets. Bunge limeshatoa wito kwa wadau kupeleka mapendekezo...
Kazi nyingi sasa hivi hazitangazwi radioni, kwenye TV au magazeti hata za Serikalini Tanzania zinatangazwa mitandaoni.
Vivyo ajira makampuni ya kimataifa au NGO za kimataifa au mashirika ya Umoja...
Trafiki ametushusha Abiria wote kwenye daladala, hajatupa usafiri mwingine kisa gari inadaiwa na Konda kamwambia “Hii trip ya kwanza, nitakuungia baadaye”
Huyu Askari namba zake za kifuani ni...
Nimatumaini yangu kumekucha salama, wagonjwa na wenye changamoto ninaungana nao kuomba na kupambana ahueni ipatikane.
Aidha ninaungana na wafiwa na wale walioguswa na msiba wa mzee wetu Ali...
Roho ya mwanadamu sasa hivi ina thamani ya bei ya miguu ya kuku ile inayochomwa na kuuzwa jioni, ROHO ZETU ZIMEKUWA CHEAP SANA.
Utu wa mwanadamu sasa hivi una thamani ya nguo ya ndani(vyupi)...
Huyu bwana kwani ni nani? Kila upoteaji na upatikanaji wa miili kabla ya Polisi yeye ndio mtoa habari 🤔🤔🤔
Pia soma
- Boniface Jacob: Ni lini Polisi Iringa itatoa taarifa ya miili ya vijana...
Hivi sasa usb cable fake zimezagaa tanzania nzima, yani ukinunua zinakaa mda mfupi tu zinaungua au zinakufa kabisa, na hazijulikani zipi ni original na zipi ni fake yani nyingi ni majanga
sasa...
Wakuu, hivi hawa Bank teller wanawezaji kutoa fedha za mteja bila kuwa na namba ya siri?
Utakuta unaenda bank kutoa millions 10 but ukifika bank unajaza fomu ya kutoa fedha, namba ya simu, then...
Nimeona teknolojia ya mtandao ikitumika kuwatambua mawakili kama wamesajiliwa kutoa huduma ya uwakili.
Nashauri Police wakamataji wote taarifa zao ziwekwe mtandaoni kwa maana ya Force Number...
Wakuu Niko Arusha Kwenye Miangaiko Sasa Jana nikaenda Bar ya picnic Arusha, Sasa Wakati ñaenda Nikamwambia Mwenyeji wangu, yule Mwenyeji wangu akanambia kuwa makini Na picnic kuna wezi kama wote...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Kazi iendelee.
Ilikuwa ni furaha kutoka Nyanda za Juu Kusini na kuja Ukanda huu wa Kaskazini mwa Tanzania.
Jiji maarufu kabisa kwa...
Hii habari nimeiona Millard Ayo, wazee baada ya hili tukio Shivaz, kuna usalama kweli sasa hivi hapo, si patakuwa panawaka moto. Doria za 24 hours za polisi plus malaya wengine kuhama hiyo sehemu...
Huenda SGR inafanyishwa kazi kupitiliza uwezo wake kwa sasa ndio maana inapata majanga ya kukwama mara kwa mara, sasa TRC wajaribu kuipa mapumziko ya siku 3 kwa wiki.
Yani ifanye kazi Jumamosi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.