Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Utapeli Kwa jina la sadaka na zaka ndio maneno ya kuvuta pesa yako, pale hakuna la maana. Sadaka na zaka ni mambo yaleyale yaani jina linabadilika kidogo. Hizo zaka na sadaka wanaenda kula hao...
2 Reactions
4 Replies
272 Views
Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) akizungumza wakati wa ziara yake katka Ofisi za Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Kanda...
1 Reactions
0 Replies
207 Views
Serikali ya CCM itazidi kututesa kwasababu sisi ni waoga. Taifa linajengwa na vijana sio wazee, sasa sisi tunaishia kuandika mitandaoni tu kuandamana zero Kuandamana tunaogopa, tuna fikra potofu...
4 Reactions
17 Replies
368 Views
Hatimaye Ester Noah Mwanyiru mwanafunzi wa sekondari ya Pandahill aliyetoweka 18 May 2023 amepatikana. Taarifa iliyotolewa na mama yake mzazi inaeleza amepatikana wilayani Mbalizi kwa mama fundi...
57 Reactions
369 Replies
36K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Huenda mimi si hadhira sahihi kwa baadhi ya maudhui fulani ambayo wengine wanayapenda huko mtandaoni. Hata hivyo, maudhui yanaposambazwa waziwazi mtandaoni, mtu yeyote...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Leo wakati mekaa sehem mida ya mchana pembeni yangu kuna baba mzee mtu mzima. Asa akapita kijana mmoja wa kiume amevaa kaptura fupi kama chupi alaf juu akavalia na taiti ambayo inaonesha ndani...
2 Reactions
13 Replies
345 Views
Jumamosi ndugu yangu mmoja kaoa na alikuwa ana sherehe ya ukumbini kilichoniacha mdomo wazi ni hiki hapa. Siku ya ijumaa mama mtu alituagiza tukanunue fridge na kitanda cha sita kwa sita kwa...
9 Reactions
34 Replies
1K Views
Leo nilikuwa naaga jirani yangu mmoja pale Kawe. Kijana alikuwa mpambanaji sana sana. Mwisho akaenda kupata mbili tatu La Rocka bar Kawe Kufika akaja Kijana mwingine wakanza pishana maneno...
8 Reactions
31 Replies
1K Views
Wakuu, naota nipo shule mara nafanya mtihani na mitihani Yaan hizi ndoto zinanitesa na sijui maana yake Nini nimemaliza chuo miaka kama 8 nyuma lkn naota mara nipo chuo mara o level ila A level...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Nilipofika kwenye kituo cha mafuta cha maeneo ya Mbezi Beach ya Chini ili kujaza gari langu, niliona mabango mawili yaliyonivuruga kidogo. Moja lilikuwa limeandikwa "Lipa kwa M-Pesa,"...
3 Reactions
8 Replies
354 Views
Anonymous (2867)
Uongozi wa Halmashauri ya Uyui mkoani Tabora haijawapandisha madaraja watumishi wote waliodhulumiwa madaraja miaka ya nyuma. Kuna wafanyakazi wameajiriwa Toka 2006 lakini wanalingana mishahara na...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
MAMLAKA ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na wananchi na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama imefanya operesheni maalum mkoani Morogoro kwa muda wa siku tisa katika...
0 Reactions
1 Replies
324 Views
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe William Lukuvi akizingumza wakati akifungua maonyesho ya saba ya mifuko na programu za uwezeshaji wananchi kiuchumi mkoani Singida...
0 Reactions
0 Replies
184 Views
Familia ya aliyekuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Marehemu Ali Mohamed Kibao aliyezikwa jijini Tanga wameiomba Serikali kuharakisha uchunguzi wa kifo cha...
3 Reactions
3 Replies
909 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Hamadi Masauni ameliagiza Jeshi la Polisi kuhakikisha linafanya uchunguzi wa kina ili kubaini waliohusika na mauaji ya watu wawili na kuwatupa wakiwa...
5 Reactions
49 Replies
4K Views
Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi ameangukia pua baada ya mahakama kutupilia mbali rufaa yake. Ntuyabaliwe aliitaka mahakama iutambue waraka...
35 Reactions
243 Replies
14K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amemwambia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni kuwa amfikishie salamu Rais Samia Suluhu Hassan kuwa anatakiwa kuunda Tume ya Kijaji ya Mahakama...
4 Reactions
79 Replies
4K Views
Mwanamke mmoja alipata adhabu ya viboko baada ya kuacha watoto peke yao nyumbani na kwenda kulewa. Kitendo chake kilizua hasira kwa jamii, kwani alionyesha uzembe kwa kuwatelekeza watoto, hali...
4 Reactions
22 Replies
673 Views
KAMPUNI ya ndege ya FASTJET Tanzania ina mpango ya kupunguza wafanyakazi wake katika viwanja vya ndege vya Mwanza na Kilimanjaro. Barua iliyosambazwa hivi karibuni na wafanyakazi wa kampuni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom