Kuna mtu anaitwa Pius hapa Canada Bonyokwa amekuwa akiwafanyia vitendo vya kikatili watu tofauti tofauti
Hwa anawakamata bodaboda na kuwachukulia pesa kwa nguvu. Anachojivunia yeye kuwa ni mgambo...
Kuna wanawake wawili niliwahi kuwatokea wakati huo kwa kipindi tofautitofauti wakati nikiwa single sababu niliona ni watu sahihi
1.Nilimwambia dhamira yangu kweli aliniambia kwamba ana mtu wake...
Siku moja nilipita ile beach ipo nyuma ya Ikulu. Nilistaajabu sana kuona beach imejaa kinyesi cha binadamu hatari.
Ile beach unapita unakwepa kinyesi! Ilikuwa miaka kumi iliyopita, sijui kama...
Naomba kwa yeyote yule mwenye utashi a akili timamu afahamu hilo, na umuhimu wa ufahamu huu sio hiari bali ni sharti na wajibu kwa kila awaye miongoni mwetu.
Utanzania hauna siasa, dini...
Ni baada ya kuhangaika huku na huko bila kupata mkopo wa kuendeleza biashara yangu hatimae nikakutana na hii Banc ABC wakanipatia mkopo wa miaka miwili Ila kwa makubaliano kuwa nikipata pesa yao...
Tanzania hii ukiwa kiherehere kuingilia shughuli za watu lazima upotee. Kuna wale wanaojiita eti wanapigania haki hahahaha hivi haki inapiganiwa kwa mdomo! Ndio maana mtaendelea kutupwa ufukweni...
Leo nimelipia umeme na kupata unit chache. Baada ya kufanya mahesabu nikagundua unit moja sasa ni shilingi 379 toka 356, hii ina maana hizo token 60 zimekuja na mabadiliko ya bei pia.
Je, wadau...
Mwaka uliopita, Mama yangu alinihadithia kuhusu jambo liliomtokea Mjomba wangu.
Ni hivi wadau, Mjomba wangu alioa mwanamke wa zanzibar nae alikuwa anafanya kazi huko na akajenga nyumba pia na...
Toka saa 11 jioni mpaka sasa saa 5 usiku kamji ketu hakana umeme, cut my legs 🦵 and call me short iwapo mwaka utaisha bila kuwa na mgao wa umeme na ni dhahiri mgawo unaanzaga miezi kama hii hii...
Habari za humu jukwaani.
Direct kwenye maada ipo hivi ; Kuna mwanamke nnaish nae yapata miaka mitatu sasa tatizo linakuja sehemu moja.
Karibu kila siku ni ugomvi tuu na ana visa sana mnaweza...
Tanzania tumewazoea ni Watu wa Amani pamoja na Upendo na hata Sisi wengine tunajifunza Kwenu kuwa na Amani na huo Upendo.
Kwanini sasa Taifa lenu kuna matukio mabaya ambayo tulizoea kuyaona na...
Nikiwa mwanachama wa kawaida wa CCM, najivunia sana historia na harakati za chama chetu tangu enzi za uhuru. Hata hivyo, naona kuna mambo yasiyo sawa yanayotokea hivi sasa, ambayo yanatia hofu...
Ile siku ambapo watu wengi watapotea kwa wakati mmoja duniani kote imekaribia sana. Inaelezwa kwamba taifa fulani lilipochipuka na kukua basi ni ishara. Pia tukio hilo litatokea ndani ya miaka 100...
1. KIMARA BARUTI
Ukiwa unatoka Ubungo kabla ya Kikifikia hiki kituo cha mwendo kasi cha "KIMARA BARUTI"
Kuna barabara upande wa kulia inaingia Kwenda Msewe na inatokea mpaka University of Dar...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imemuelekeza Mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa kiwanja cha ndege Kikoboga katika Hifadhi ya Taifa Mikumi, Badr East Africa Enterprises Ltd...
Mwanaume halisi hatakiwi kuonewa huruma wala kujionea huruma Kwa sababu Mwanaume makini na mzuri ni yule aliyepitia magumu " the best men suffer". Haipo haja ya kumwambia mwanaume maneno laini...
Kijana amemaliza degree yake karudi mitaa aliyokulia, yupo bize kuomba kazi na kutembeza bahasha bila mafanikio, kujitolea kwenye taasis kwa mshahara wa laki 1, n.k. Hawezi kufungua sehemu ya...
Mwalimu wa Secondary ya BUNDIKANI iliyopo Kibaha Maili Moja Jana Alhamisi July 25, 2024 amempiga ngumi na kumtoa jino bila ganzi mwanafunzi wa kidato cha 3A.
Wanafunzi wote waliopata chini ya...
Utaratibu wangu mara mbili au tatu kwa wiki nikitoka kazini mida ya jioni huwa napaki gari maeneo kadhaa kwa dakika 10 hadi nusu saa naanza kuzunguka nikiona bibi anauza karanga nampa elf 5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.