Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ukipata barabara ya Kilwa kuanzia Central police hadi mbagala zimewekwa taa Hivi karibuni, hizi taa zimeweka kila baada ya kila baada ya meta 50-100, zinasababisha foleni kubwa sana, mbaya zaidi...
0 Reactions
0 Replies
205 Views
Wengi wetu tumewahi kwa namna moja au nyingine kugusana na jeshi la Polisi kwa mema au kwa ubaya. Na kama siyo sisi wenyewe tunawajua watu kadhaa ambao wamewahi kuwa na jambo Polisi. Yawezekana...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
JIMBO LA KITETO TAARIFA KWA WANANCHI WA KITETO HAFLA YA KUSAINIWA KWA MIKATABA UJENZI BARABARA ZA LAMI Ndugu wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto nachukua fursa kuwafahamisha kuwa KESHO...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) akiwa ameambatana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi (Mb) wamekutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
St Moore mbezi beach leo kulilipuka furaha baada ya padre aliekuwepo kupewa masaa matatu aelekee St Joseph alipewa mda wa kukabidhi funguo. Tu Padre huyu alilalama jpili kaniisa limejaa wazee...
12 Reactions
49 Replies
3K Views
Nikiangalia Wikipedia wanasema wako Arusha lakini mtangazaji anasisitiza HQ iko Lushoto https://www.facebook.com/reel/442803845318314 Evangelical Lutheran Church in Tanzania (Kanisa la...
0 Reactions
4 Replies
280 Views
Mwanasiasa na Mchumi, Zitto Kabwe amesema kuwa Mataifa ya Kiafrika ambayo hayazingatii misingi ya kidemokrasia katika utawala ujifungamanisha zaidi na China kwa kuwa Taifa hilo halina utamaduni wa...
1 Reactions
7 Replies
754 Views
Nyumbani kwenu wakichinja kamwananguruwe kisha ukakutana na supu ya matumbo yake na miguu utaigonga?
0 Reactions
0 Replies
189 Views
Chuo Kikuu cha Kimataifa Kampala Nchini Tanzania kilianzishwa ujenzi wa miundombinu, ambapo ujenzi huo ulisimama ukiwa tayari umetumia mabilioni ya walipa fedha. Katika kufuatilia kwenye vyanzo...
4 Reactions
28 Replies
872 Views
Kuna member jana nilikuwa naongea nae, ni mzuri kwa kuelezea vitu vilivyopo kwenye dark web.. Yeye alisema hao Akina Elon musk na Jeff Bezos sijui Akina billgate hawana pesa mbele ya Rothschild...
6 Reactions
100 Replies
3K Views
Habari ya leo wanaJF, JamiiForums ina zaidi ya members 500k ambao kwa pamoja wamechangia zaidi ya threads (nyuzi) 1.3M huku posts zikiwepo zaidi ya 13M. Lengo letu kwa leo sio kufahamu idadi ya...
10 Reactions
52 Replies
15K Views
Akiwa anaongea siku ya jana kwenye tukio la Faraja Ya Tasnia Steve Nyerere alinukuliwa akisema: Wote hapa mnajua mnatambua, taifa la Tanzania katika Afrika ndio taifa lenye uhakika wa amani...
0 Reactions
0 Replies
297 Views
Mahakama imekua na utaratibu wa kuandaa Guidelines (Miongozo) kwenye taratibu mbalimbali za kisheria. Mathalani mpaka sasa kuna guidelines kama; 1. Bail Guidelines (2020) 2. Execution Guidelines...
1 Reactions
3 Replies
171 Views
Wadau, salaam! Mi nipo kanda ya ziwa. Nina kiduka, ambacho kinafanya shughuri za ki fedha, yaani, wakala wa Benki mbali mbali, na pia, makampuni ya simu. Pamoja na wateja wa kutoa na kuweka...
2 Reactions
7 Replies
350 Views
Karibu katika huu mjadala why black people are poor. Mimi nita highlight mambo matatu Nidhamu ya pesa Nidhamu ya Kazi Kutokuwa na utamaduni wa kujiwekea AKIBA.
3 Reactions
16 Replies
455 Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Fatma Toufiq amepongeza uwekezaji uliofanywa katika kiwanda cha sukari cha Mkulazi. Mhe. Fatma ametoa pongezi hizo...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Nipo katika mahusiano na single mother wa watoto wawili kila mtoto na baba ake, mtoto mmoja yupo kwa baba ake pemba na mtoto mwingine tunaishi nae hapa dar japo nae baba ake yupo ila ameoa...
2 Reactions
69 Replies
4K Views
Jumla ya watu 53 wamepotea kuanzia Agosti mosi mpaka Agosti 31 mwaka 2024, ambapo jumla hii ni kwa wale tu waliofika kwenye ofisi za ITV Mikocheni Dar es Salaam, na taarifa zao kutangazwa kupitia...
0 Reactions
1 Replies
233 Views
Habari wanazuoni. maisha yangu yote nimekua ni mtu wa kujitenga kukaa peke yangu muda mwingi . Pia nimekua ni mtu wa kusumbuliwa na msongo wa mawazo kwa muda mrefu sasa unao tokana na mfumo...
10 Reactions
45 Replies
1K Views
Habari za muda huu, wakuu tokea tarehe 1/8/2024 kwenye tv yangu hazionyeshi kabisa channels hizi Azam sport 1 HD, Sport 2 HD, na hata sport 3 HD. Zipo ila zinaonyesha kama sijalipa wakati...
0 Reactions
1 Replies
382 Views
Back
Top Bottom