Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wanabodi, natumaini wengi wetu tumelisikia tukio hili News Alert: Mahabusu waliojaribu kutoroka Jijini Mwanza wapoteza ... Kiukweli mimi huwa ninaumizwa sana kila nikisikia vifo au mauaji...
18 Reactions
81 Replies
16K Views
Huwa naona timu za mpira ulaya wanahamasisha kampeni za mambo mbalimbali kama vile upingaji ubaguzi wa rangi au kuwanyanyapaa mashoga. Hii ni kutokana na nguvu ya michezo. Marekani pia timu za...
0 Reactions
2 Replies
240 Views
Si mara moja polisi kuhusishwa na matukio ya upotevu wa watu wanaowakamata pale wanapoondoka nao na kutoweka kwenye mazingira ya utata au kupotea moja kwa moja. Kwa yaliyotokea kwa ndugu yatu...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Tabia za kidikteta zimeanza kuwaingia viongozi wanaovaa ngozi za kondoo kumbe mioyo yao imejaa uroho wa madaraka na upunguani wa akili. Watanzania hawakuzoea kusikia au kupitia huu upumbavu...
4 Reactions
5 Replies
323 Views
Aisee inaumiza sana waandishi wa habari kazi kusifia, kusujudu, kukosoa mwatukio yanayoendelea hawajishugulishi. Hatuoni hata kupost kukemea ila hii ya safari hii imekuwa kubwa sana Serikali...
4 Reactions
14 Replies
416 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Salim Ramadhani Msangi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA). Kabla ya Uteuzi Msangi alikuwa akikaimu nafasi hiyo Pia, Rais amemteua...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Vitu vingi umevipa ubaya na kuvilaani kwa sababu ya mtazamo wako lakini havina huo ubaya uliovipa. Inawezekana vinaweza kubadilika pale unapoamua kubadili mtazamo wako na siyo wewe kuvibadilisha.
1 Reactions
2 Replies
178 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la HAKIELIMU, John Kallaghe, akizungumza katika mkutano huo kuhusu ushiriki wao na mambo watakayofanya katika Wiki hiyo. Ushiriki wa makundi mbalimbali ya kijamii...
0 Reactions
0 Replies
167 Views
Mtoto wa kiume wa mwalimu wa neno la mungu kutoka Arusha, Christopher Mwakasege aitwaye Joshua Mwakasege amefariki katika hospital ya Agha Khan baada ya kuugua ghafla akitokea kazini kwake...
28 Reactions
600 Replies
182K Views
September 7 ya 1996 MGM Grand, USA Pambano la Ndondi Tyson v Bruce Seldon Pambano liliisha ndani ya Sekunde 109 Tyson alishinda. Wahudhuriaji kibao walikuwepo ma-Celebrities pia Mfano: New...
1 Reactions
1 Replies
192 Views
Jamani tunaelekea wapi sisi kama taifa? Yapasa tujitafakari upya kuhusiana na haya matukio ya kutisha yanayoendelea hapa nchini. Juzi tumeshuhudia video ya binti mdogo mwenye umri chini ya miaka...
20 Reactions
60 Replies
7K Views
Moja kwa moja kwenye hoja Nimeshangazwa sana na mazingira aliyotekwa kiongozi wa Chadema. Sishangazwi kwa sababu ni kiongozi wa upinzani bali ni mazingira aliyotekwa. Mimi sikuwepo, lakini...
7 Reactions
27 Replies
874 Views
Kwa nje kama mita 8 hadi nje nyumba ndio kuna banda la umbwa. Nimeanza kutumia dipu kuoshea mbwa, vp kuhusu hivi viroboto vilivyoingia ndani naweza kuvimalizaje kabla havijawa chroic?
3 Reactions
22 Replies
699 Views
Fikiria unaagiza gari chakavu (used car) nje ya nchi, ikifika TRA, TBS, TPA Kodi na ushuru usio wa kikodi huu hapa, Kwa mfano, I. Discovery 3 Kodi tu 18m TZS, II. Ford Ranger kodi tu 30m TZS...
12 Reactions
44 Replies
4K Views
Ni mwaka sasa tangu kivuko Cha waenda kwa mguu kifutike eneo na msamvu stand ya Dodoma, madereva wa barabara kubwa kama hii wanatumia uzoefu kusimama kuwa hapa Kuna kivuko. Mamlaka zipo na zimekaa...
2 Reactions
27 Replies
723 Views
Mh Kibao alikuwa anaenda Tanga hivyo tangu alipoingia Ndani ya Basi mkataba wa kumfikisha Tanga ulianza kutekelezwa Kibo Complex Tegeta siyo Tanga Akikamatwa Mtu Ndani ya Bus ni lazima hilo Bus...
14 Reactions
54 Replies
3K Views
Upande wa Jamhuri katika kesi ya mauaji ya mtoto mwenye ualbino, Asimwe Novath (2) umewasilisha maelezo ya ushahidi katika hatua ya awali, ukieleza utakuwa na mashahidi 52 na vielelezo 37. Katika...
6 Reactions
63 Replies
3K Views
Kila nikirudi nyumbani (mkoani), nagundua dhahiri kabisa kuwa kuna ongezeko kubwa sana ya maduka madogo madogo ya pombe (grocery stores) katoka mitaa mbalimbali tofauti na hali ilivyokuwa miaka 10...
1 Reactions
2 Replies
554 Views
A Family Torn Apart by One Mistake and Healed by One Truth Have you ever looked at an old family photo and felt a pang of regret, a reminder of relationships lost and words left unsaid? Today...
1 Reactions
10 Replies
725 Views
Back
Top Bottom