Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hawa wenzetu wanajionaga wapo tofauti na sisi au? Yani wao wana ulimwengu wao wa kuishi ni kama wametutenga Ila sisi jamii ndo tunajipendekeza kwao. Kwasababu wao wakiumwa hutaskia Samia wala...
6 Reactions
39 Replies
934 Views
Bi. Betty (Rehema) Fwelefwele Kalala wa Musoma vijijini mkoa wa Mara anamtafuta baba yake mzazi aitwae METHOD KAPINGA kabila Mnyakyusa(mama mtu ndio anadai method ni mnyakyusa ila kutokana na jina...
2 Reactions
19 Replies
971 Views
Kwenye maisha kila mtu ana haki ua kutoa maoni yake kwa vile anavofikiria. Bahati mbaya wengi tumeshindwa kufikia ndoto zetu au kuamua mambo yetu kwa kuishia kusoma comments za watu humu ambao...
2 Reactions
2 Replies
207 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amevitaka Vyombo vya Usalama vilivyopo chini ya Wizara hiyo kujiandaa na chaguzi zinazokuja ikiwemo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
0 Reactions
5 Replies
775 Views
WATANZANIA WENGI WANATATIZO LA UELEWA NA UFAHAMU(UPEO MDOGO). HII INAWAPA MWANYA WAJANJA KUWATAPELI KIRAHISI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hakuna Jambo rahisi kama kuwapotosha Watañzania...
9 Reactions
46 Replies
2K Views
KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA MRADI WA REGROW HIFADHI YA TAIFA RUAHA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Timotheo Mnzava (Mb) imeridhishwa na...
0 Reactions
1 Replies
327 Views
Ndugu zangu watanzania. Hali ya Taifa letu imekuwa ni Tete. Wenzetu wa upande wa pili yaani CDM Wanaishi Kwa hofu kama digidigi maana hawajui kesho kitawakuta kitu gani. Mimi ninamaswali mawili...
1 Reactions
3 Replies
253 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Timotheo Mnzava (Mb)imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa...
1 Reactions
3 Replies
444 Views
Well! Well! Well! Well!, Mshamba kutoka Tanzania mikoa ya ndani ndani anayewakilisha taifa huku kwa Biden Marekani, nilipata kukutana na washika dau kadhaa. Mimi nimekuja kishamba zaidi ili...
2 Reactions
5 Replies
263 Views
Anonymous (8191)
Mpango mkakati wa viongozi wa Chama cha mawakala wa Bima Tanzania(IAAT) kubakia madarakani baada ya muda wao kupita maradufu. Uchaguzi wa viongozi wa chama cha mawakalla wa bima Tanzania (IAAT)...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Anonymous (8a3f)
Kuna shimo barabarani kwenda Masaki eneo la fitness na lake oil na mbele yake kuna tuta. Inakuwa changamoto kwa watumiaji wa barabara hii hasa magari yakikutana kupishana ni changamoto.
0 Reactions
1 Replies
169 Views
Habari zenu jamani, Leo nimekaa nikafikiria sana hivi inakuwaje mtu mzima mwenye akili zake timamu anakubali kupigwa picha za uchi kweli jamani? Unakuta mdada mrembo kabisa anaweka na mapozi...
22 Reactions
286 Replies
22K Views
Jana katika matembezi yangu ya kutafuta AJIRA mitaa ya Indira Ghandi kule mnazi mmoja, nikapita sehemu moja inaitwa GoldePlaza, ndipo nikaokota peni iliyoandikwa "QUEEN'S GEM & JEWELLERY DAR ES...
5 Reactions
264 Replies
47K Views
Lugha ndio kikwazo kikuu chenye kuleta hofu kwa watanzania kutoka nje ya nchi, hata waliosomea english medium inabidi wakajipige msasa kwa kina ras simba kabla ya kuondoka ni kwasababu lugha...
6 Reactions
33 Replies
734 Views
Haki ya nani, Leo nimeingia duka la simu za mikopo, nimekuta simu ya 280k kesh. kwa miez 12 ni 420k yani nusu kwa nusu duh. Aisee.
10 Reactions
78 Replies
2K Views
Habari, Kwenye haya maisha, kama bado una mama yuko hai na unaweza kumtafuta kwa simu nakusihi sana usiache kufanya Hivyo. Ikitokea ni zaidi ya mtoto mmoja, usiamini kila mmoja ana jukumu la...
2 Reactions
5 Replies
198 Views
AWESO AKAMILISHA KAZI YA WIKI KWA SIKU 1 BUHONGWA,KAZI YAKAMILIKA USIKU AWESO AKAMILISHA KAZI YA WIKI KWA SIKU 1 BUHONGWA,KAZI YAKAMILIKA USIKU Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amehakikisha Kazi...
3 Reactions
6 Replies
730 Views
Habari wakuu. Wazazi WANAUME tuwekeni mazingira mazuri Kwa watoto wetu. Umaskini ni mbaya Sana Tena Sana. Unaleta ugomvi kwenye familia na pia umaskini unatenganisha familia. Soma Pia: Kama...
7 Reactions
39 Replies
952 Views
Tanzania ni nchi pekee katika ukanda huu yenye wivu wa juu sana dhidi ya raia wake kiasi kuwa hairuhusu raia wake wachukue uraia wa nchi nyingine yoyote. Nchi zote zinazoizunguka Tanzania...
2 Reactions
2 Replies
241 Views
Hivi wasanii tukio wanalijua au wamejikausha, Wasanii wanabagua viongozi wa kuwaimbia au inakuaje? Wasanii hawa mfano msechu muda kama huu keshatoa nyimbo 10 , iweje kifo cha mshauri wa chama cha...
4 Reactions
11 Replies
404 Views
Back
Top Bottom