Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Makocha ambao inabidi waheshimiwe kwa kuubadirisha ulimwengu wa soccer
3 Reactions
25 Replies
806 Views
Habari za usiku wanaJF , ndugu zangu naomba nipate msaada kutota kwenu. Mara nyingii nyakati za usiku nimekuwa nikiota ndoto nikiwa naongoea na watu waliokufa hasa baba yangu mzazi na mdogo...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Salaam, shalom!! Hali ya USALAMA wa raia imekuwa Tete, na mamlaka husika hazitoi ushirikiano wa kutosha juu ya suala hili. Na Kwa kuwa wananchi ambao ndio Hasa waajiri wa vyombo vyote vya ulinzi...
4 Reactions
37 Replies
709 Views
Jana, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alikutana na Baraza la Mawaziri na kushirikiana nao katika mazungumzo ya kitaifa. Kilichowashangaza wengi ni uwepo wa Rais wa...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Shirika la Ndege la Egypt,yaani EgyptAir limemzawadia Kichanga aliyezaliwa ndani ya ndege wakati ndege hiyo ikiwa Safarini Tiketi ya maisha. Mwanamke wa Yemen alishikwa na uChungu ndani ya ndege...
3 Reactions
8 Replies
479 Views
Anonymous (fb47)
Kero Tafadhari husika na kichwa tajwa hapo juu, Mie ni mdau wa huduma za kifedha kutoka kwa makampuni mengi yanayotoa huduma hizo kila siku na ninafanya biashara. Naomba kufikisha/ kusema/...
5 Reactions
12 Replies
631 Views
Itazame vizuri hiyo picha ya mchoro, halafu niambie umeelewa nini. Nasoma comments zote.
4 Reactions
18 Replies
878 Views
Unaweza kusema ni suala la muda tu kabla kanisa la Kiboko ya Wachawi kufunguliwa na kuendelea na huduma kama kawaida. Matumaini haya yanatokana na kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke, ndugu Sixtus...
9 Reactions
67 Replies
3K Views
Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mkoani Manyara Mhe Edward Ole Lekaita amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi anayoifanya ya kuhakikisha maendeleo...
0 Reactions
1 Replies
162 Views
Kama wewe ni mtumishi wa umma au mjasiriamali nakuasa usifikirie kukopa hiyo bank inayoitwa Bank ABC. Wakati unakopa watakwambia utapata mkopo ndani ya masaa 48. Ukishajaza fomu utasubiri zaidi...
2 Reactions
2 Replies
314 Views
Salamu wana bodi. Kuna haja ya ustawi wa jamii kuongeza mikono yake kuwafikia watoto hasa walio na umri wa chini ya miaka 5, wanao ishi katika mazingira magumu. Kuna wakati, Dunia inazunguka na...
1 Reactions
0 Replies
181 Views
Nawauliza tu, nataka idadi ifike ngapi? Maana kazi kulalamika tu baada ya siku mbili mnaletewa connection ya gigy money, mnasahau! Mnataka wafe wangapi? CHADEMA badala ya kuandamana na mambo ya...
0 Reactions
1 Replies
202 Views
Ndugu zangu tuwe makini Sana na wale tuliotofautiana kwenye biashara, mahusiano na mambo mengine ya kugombea madaraka maana watu hao watatumia upepo huo kutuangamiza na wakijua lazima watu wataona...
1 Reactions
0 Replies
171 Views
Navyosema kugombana ni kuingia kwenye 18 zao hata kama wewe hujafanya kosa, jiepushe na mazingira hayo Kwa matukio yanayozidi kuendelea ambayo wengi tunayasikia imekuwa ni wazi hawa watu wana...
0 Reactions
6 Replies
344 Views
Labda ndo iwe hivyo. Enhee!? Mtafanyaje? Ok.. labda tuseme hawa DP World ndo wamewezesha madaraja kupandishwa.. au hata ajira mpya.. mtafanyaje!? Na wale wabunge mnafikiri wako kapa? Kwani...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA KASI YA UJENZI WA UWANJA WA ARUSHA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo chini ya mwenyekiti wake Mhe. Husna Sekiboko imeridhishwa na maendeleo ya...
0 Reactions
0 Replies
237 Views
Ni kwamba wameshindwa kabisa? Hakuna chembe ndani yao iliobakiza tumaini? Ni wepesi kihisia? Majanga yamekuwa mazito kupelekea kutoweza ku-survive? Au ni afya ya akili, depression yenye giza...
7 Reactions
87 Replies
2K Views
Kuna mtoto wa jirani mtaa wa pili kamezoea kila nikipita kakiniona lazima kanipungie, japo hajawai kuniona ana kwa ana basi tu hivyo. Kakiona gari kanaikimbilia na kuipungia. Sasa leo nimepita...
10 Reactions
68 Replies
1K Views
Ni wakati sasa Zanzibar iwe na Baraza Kamili la Mitihani kuliko ulivyo Sasa kukasimu madaraka Kwa NECTA (Bara). Hii itasaidia kuepuka dhuluma hizi za Sasa.
6 Reactions
91 Replies
5K Views
Wakili Frank Mwalongo amejitokeza kujitetea mbele ya waandishi wa habari kuhusu tuhuma kadhaa ambazo umma ulielezwa kwamba, kampuni ambazo zimekopa mikopo chechefu, zote zinamtumia mahakamani...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom