Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Anasema form five na six isinge mjenga kama kwenda chuo
8 Reactions
54 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Nimepita kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii nimekutana na kitu inaitwa WAKALA ONLINE. Kama ujuavyo baadhi ya watanzania wanapenda pesa za mteremko yaani wapate pesa bila...
15 Reactions
66 Replies
3K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameiasa jamii kuwa na utaratibu wa kuwatunza na kuwajali wazazi wao na kuendelea kuwaombea ambao hawapo hai. “ Tuendelee kuwakumbuka na...
2 Reactions
3 Replies
260 Views
Imeelezwa kuwa kati ya mwaka 2023 hadi 2024, Watu Milioni 1.9 wameongezeka katika idadi ya Watu wanaokabiliwa na Hali Mbaya ya Upatikanaji wa Chakula duniani kutoka Watu 705,000 walioongezeka...
0 Reactions
1 Replies
388 Views
Kila kitu kinachofanywa kwenye makanisa hakuna mpango na kumtukuza Mungu Bali ni mipango ya kibiashara kupata pesa..kwanzia mahubiri yanalenga pesa ,nyimbo ndo usiseme ni zaid ya bongo flavor
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Kuishi na mtoto wa kambo kunahitaji unafiki wa hali ya kiwango cha SGR, Hebu fikiria kuna wakati hata wife ananichukia sababu sicheki na mtoto anapokosea je? Wangekuwa ni wakambo ingekuwaje...
5 Reactions
17 Replies
659 Views
Sisi ni nani, Kwanini tuwe sisi, Kwanini tuwe kama wao. Hivi kiundani ushajiuliza imekukuaje umekuwa wa dini hio? Kwa nini uamini kirahisi rahisi juu ya stori zao ambazo muda mwingine akili yako...
10 Reactions
79 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) Raymond Mndolwa akimuonesha Waziri wa Fedha, Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) ramani ya jiografia ya bonde la umwagiliaji...
0 Reactions
1 Replies
240 Views
Jipe nafasi kubwa katika maisha kwa sababu kampani yako kubwa ni wewe na siyo hao unaowaita rafiki ndugu, jamaa na wengineo. Watu wanasahau haraka sana, ni suala la muda tu. Hata ukifa...
15 Reactions
43 Replies
1K Views
Anonymous (134a)
Matapel kila siku wanapiga simu na kudai ni watoa huduma kwa wateja na ukiwasanukia wanatukana sana matusi mabaya na ya nguoni, kama umekaa na watu wako au familia yako inakuwa ni aibu na inaleta...
1 Reactions
6 Replies
388 Views
Moja ya mtihani hatari katika maisha ya binadamu ni kufaulu KUOA / KUOLEWA na mtu sahihi. Ukifeli hapa hutaichukia hata elimu yako hata kama ni PHD. Unaweza chukia hata kwanini hupo duniani...
3 Reactions
5 Replies
697 Views
Dereva kama huyu mpaka sasa utakuta hajachukuliwa hatua. Uyo wa lori kidogo angemchapa makofi ndio maana akatulia zake hapo hapo.
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Pastor Daniel Mgogo anasema sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji, maana Mungu hana account ya kupokelea pesa za sadaka. wachungaji ndio wawakilishi wa Mungu hivyo wana haki ya kuzila...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Nakusihi utumie muda wako kujielimisha kupitia mahojiano haya kwenye video hapa chini ambayo Zuby (gwiji aliyepata kumhoji Elon Mask) anamhoji Loay Alshareef, msaudia aliyezaliwa na kukulia Saudia...
1 Reactions
1 Replies
556 Views
Wananch wa Bagamoyo eneo la Mapinga Wamevamia Shamba la Nabii na Mtume Josephati Mwingira. Juzi Mwingira alikwenda huko akiwa na walinzi wa Kimasai walioambatana Na Mabounce na kuendesha operation...
1 Reactions
60 Replies
12K Views
Kwa upande wangu mimi naanzaga kuwaza negative.... sijui kwenu nyie wadau
6 Reactions
103 Replies
2K Views
Jeshi letu la police Sasa Watu wengi hawaliamini kama kweli lipo kutekeleza majukumu yake kikatiba ya kulinda raia na mali zao Majeshi mengine yanakubalika Kwa uadilifi na kufanya kazi nzuri...
2 Reactions
16 Replies
577 Views
Yani wiki ya 3 hakuna mpunga wowote, ukiwauliza ni stori tu wanakupatia Sasa ni kwamba hawa watu hawana liquidity nzuri au nini, basi hata kama ni wanafanya analysis juu ya mkopaji haiwezekani...
1 Reactions
21 Replies
594 Views
Tulikuwa na dili za asili kila pahala ulimwenguni.. Kwenye baadhi ya maeneo mpaka leo zipo na zinaheshimika sana! Dini hizi ni dini zenye imani juu ya miungu.. Zisizoamini katika Mungu mmoja...
8 Reactions
18 Replies
946 Views
Toka hii dunia naifahamu nimeweza kujionea watu wanaoongea na simu mara nyingi sana, kwanza ni Hawa watu wa call centre /phone operators wa makampuni makubwa kama TANESCO na mitandao ya Simu, Hawa...
0 Reactions
4 Replies
384 Views
Back
Top Bottom