Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hii inatakiwa kufungwa maeneo yote nyeti yanayoingiza pesa Nchini kama Bandarini,Viwanja vya ndege, mageto, vituo vya mauzo ya Madini, Stendi za Mabasi nk. Aidha Ili Kudhibiti upotevu wa Mapato...
2 Reactions
18 Replies
522 Views
Habari Mimi sio muandishi mzuri lakini nitaelezea kama ilivyo. Umri wangu bdo 20s lakini napitia depression Yaani msongo wa mawazo. Sina mtoto na sijui kama nitakua nae maana hamna demu ananitaka...
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Habari, Kwa watumiaji wa barabara ya Bagamoyo, Ali Hassan Mwinyi pamoja na viunga vyake vya Sam Nujoma kuna ujenzi unaendelea wa BRT phase ya 4. Awamu iliyopita bwana Humphrey PolePole alisema...
1 Reactions
5 Replies
506 Views
Anonymous (e29c)
Waiting haina seats za kutosha abiria wanalazimika kusimama for 2 hours, tickets printing area kuna uhaba wa wafanyakazi. Tunaomba waongeze viti sehemu ya abiri kwa sababu kusumama for 2 hours...
1 Reactions
0 Replies
111 Views
Wataalamu kwema jamani, hivi kuna dawa ya kuondoa chumvi kwenye kisima cha maji?
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Dini ya Rastafari ni harakati ya kiroho na kitamaduni iliyoanza nchini Jamaica katika miaka ya 1930. Harakati hii iliibuka kutokana na mafundisho ya Marcus Garvey, kiongozi wa harakati za Waafrika...
1 Reactions
9 Replies
493 Views
"Exodus" ni dhana muhimu sana katika dini ya Rastafari, na pia inahusiana sana na muziki wa reggae, hasa kupitia wimbo maarufu wa Bob Marley, "Exodus" uliotolewa mwaka 1977. Ingawa wimbo huo wa...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Sioni sababu ya kuwasafirisha mahabusu kwa namna inayofanyika hivi sasa. Mahabusu wanasafirishwa na magari ya polisi huku wakiwa wamechuchumaa. Kwann lisitafutwe gari ama minibus zuri lenye AC...
10 Reactions
76 Replies
2K Views
Nimepatwa Shida, Bei imenishuka. Natengeneza website kwa Tsh 150,000 tu. Itatumia CMS ya WordPress. Malipo ni baada ya kazi. Work Delivery ni ndani ya masaa 24. Serious customers tu Jamani 🙏...
1 Reactions
0 Replies
112 Views
Wengi walikuwa wanataja majina kama:- •Asha Rose Migiro •Getrude Mongela •Anne makinda Sikuhizi wanataja nani?
1 Reactions
0 Replies
160 Views
Wataalam wa malezi naombeni msaada wenu Na huwa nipo bize kumuwekea katuni na muvi za watoto kwenye flash, nimemnunulia game ya tv (playstation), kwenye tv nimembana aangalie zaidi mpira na...
9 Reactions
51 Replies
1K Views
Sekretarieti ya Ajira mna tupa tabu ya kuishi na walimu waliomba kazi kila mda oya mtandaoni hakuna jipya, fanyeni kuwaita kwenye hizo interview.
1 Reactions
9 Replies
742 Views
Wakuu ushauri wenu ni muhimu Kwa kijana wenu hapa, Mimi ni Mwalimu wa physics na chemistry nipo nkasi-rukwa, form six nilipata division two PCB point 11, nipo kwenye kufundisha Mwaka wa pili Sasa...
10 Reactions
107 Replies
4K Views
Nimeanza kucheza betting ya akili sasa hivi na deal na odds 1.27 mpaka 1.30 halafu mkeka wa accumulation mecchi 4 tu zilete odd ya 2.68 na zaidi na sio single bet mtaji ni laki 2 na natumia...
3 Reactions
8 Replies
458 Views
MWANANGU ! UKIFIKA UGENINI ZINGATIA MAMBO HAYA ILI UFANIKIWE. Kila mtu kwa sehemu ni lazima kawahi kuwa mgeni au atakuwa mgeni tu siku moja,kuwa mgeni haiepukiki kila mtu ni lazima atapitia...
15 Reactions
13 Replies
916 Views
Kama kuna vitu vipya vinavyoingia kwenye ubongo wako lazima kuwe na vitu vya zamani vinaondoka mfano: Mtoto aliyezaliwa na kufikia hatua ya kutembea kuna akili mpya ilimjia na kuondoa jumla...
3 Reactions
5 Replies
301 Views
Kesi namba 17740 ya mwaka 2024 ya mauaji ya mtoto aliyekuwa na Ualbino Noela Asimwe Novath inayowakabili washitakiwa tisa akiwemo padri Elipidius Rwegoshora na wenzake imetajwa tena leo tarehe...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
AWESO AONGOZA SAMIA SIMIYU MARATHON, HAMASA KUBWA BARIADI Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso na Mbunge wa Jimbo la Bariadi, Mhe Kundo Mathew ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maji wameshiriki Mbio za...
1 Reactions
4 Replies
205 Views
Back
Top Bottom