Makala hii iliandikwa kwa kiingereza na Mwandishi Kay Musonda na kuchapishwa na jarida la Modern Ghana, toleo no.215 la April 1 mwaka huu. Nimefanya tafsiri isiyo rasmi ya Kiswahili pengine...
Ni siku ya maumivu Sana Jana na Leo kukataliwa kwa goli la yanga walipocheza. Mameloni wamefanya hujuma. Maumivu yangu sio yanga kufuzu Ila ni pesa ambayo ilibid nile kwasababu nilibetia yanga...
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amefanya mkutano kwa njia ya mtandao kutoka jijini Dodoma na Rais wa China Exim Bank, Bw. Ren Shengiun, ambapo wamejadili kuhusu ushirikiano kati ya...
Anasema Mtume na Maswahaba wake hawakufanya hivi. Hawakuwa wakibweka asubuhi kujifanya wao ndo wanaswali sana kuliko wengine. Pata habari kamili.
Video inaonyesha ilikuwa ya mwaka 2001 wakati...
Serikali imesema inaendelea kuweka mikakati na mbinu mbalimbali za muda mfupi, wa kati na mrefu katika kushughulikia changamoto ya uhaba wa Fedha za Kigeni (Forex), ikiwemo kuainisha baadhi ya...
Mimi ni mtoto wa mmoja wa Wazee Wastaafu wa Kiwanda cha Maturubai (CANVAS) mkoani Morogoro ambao wamekuwa wakidai fidia zao kwa zaidi ya miaka 25 sasa bila mafanikio yoyote huku ikisemekana kwamba...
Kumekuwepo na wimbi au mwenendo wa wanasiasa au wanasheria au watu binafsi kujaribu kutumia Mahakama ndivyo sivyo.
Yaani kupeleka mashauri yenye kuichosha mahakama au kuitumia kama chombo cha...
Mzuka wana JF
Kuna wadau humu wanapenda kuiponda sana marekani totaly (sio kwamba nasema marekani haina maovu )
wanasema russia ndo kila kitu na wengine wanafika hatua ya kuita Russia ni taifa...
Moja ya jambo nililojifunza katika miongo kadhaa niliyojaliwa katika maisha yangu ni kuelewa kuwa Dunia imejawa na watu wengi waoga na ujasiri siyo kufanya jambo bila woga au hofu ila ni kuendelea...
Nataka tu nimjue anipe mawazo na njia ya kuboresha biashara yangu ya bar inataka kufa na mtaji wa kuchechemea
Sijataka kwenda kwa Jesca Kitambaa Cheupe kwa sababu yule dada yeye bar zake hafanyi...
Growing up tumekuwa kwenye situations mbalimbali, ambazo hatukuzipenda. Labda ugumu wa maisha ya nyumbani, tabia za ndugu jamaa na marafiki, mifumo ya maisha, uraibu, nk.
Wengi wetu tulijiapia...
Salam,
Mizim ni ma-spy wa kiroho, wanaowakilisha falme za kiroho kutucolonize.
Mizimu hujifungamanisha na koo zetu kwa kujifanya ndugu zetu waliokufa.
KAZI ZA MIZIMU
1. Kudumisha utumwa...
WAZIRI CHANA " SERIKALI ITAWALINDA WANANCHI DHIDI YA WANYAMAPORI WAKALI"
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amesema Serikali itaendelea kuweka mikakati madhubuti...
Kutoka kwenye mtandao wa X, Akaunti ya Lisa Ildephonce (@LIldephoce)
“Tarehe 23/1/2023 Tulipata msiba wa dada angu alifariki katika mazingira ya kutatanisha aliolewa na kijana anaitwa Josephat...
Upo kwenye shughuli yeyote inayokunyima uhuru wa kupokea simu
Upo kazini busy na kazi kiasi cha kuepuka kupokea simu binafsi kwa sababu ni muda wa kumtumikia mwajiri ukihudumia wateja wake...
Nimebehatika kukaa kama sio kuishi sehemu tofauti tofauti duniani.nimeona na kujifunza kadhaa wa kadhaa jinsi serikali nyingine za ulaya ,marekani,na asia zinavyofanya kwa ajili ya wananchi wake...
Huu mradi watu waliajiriwa kwa mfumo gani na elimu gani?
Mbona upo rafu sana, kituo cha msimbazi B watu wamejaa nnje hawawezi kuingia ndani wahusika wameweka mashine 2 tu za kuscan na hazitoshi...
Askofu mkuu wa makanisa ya Methodist,Joseph Bundala amejinyonga ofisini kwake kwa kutumia waya wa simu.
---
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania, Joseph Bundala (55), amekutwa amejinyonga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.