Huu ni ukweli tu ulio wazi.
Dunia itabaki kutawaliwa na wasomi mpaka Yesu anarudi.
Huwezi kuwa Tajiri namba moja duniani bila kusoma shule.
Pia soma: Hili la Diamond kujihakikishia kuwa atakuwa...
Sidhani kama hii ni sawa jamani
Kwani haiwezekani kutoa Kadi bure? Au hata iwe elf moja kama za pantoni?
Kweli ni busara kuuza Kadi Kwa elf tano?
Hiyo Kadi ina mambo gani ya ziada?
Wahusika...
Wakuu kwema, nilikuwa naumwa yapata wiki sasa npo ndani.
Sasa wakati sijiwezi kitandani kuna documents ilitakiwa nizitume sehemu nikampa wife simu anisaidie kutuma na akafanya hivyo na kule...
Welcome to Zanzibar. Zanzibar is an island of coral origin. It forms coral limestone. Today we look at the eastern coast of the island, where this limestone created a small island that is subject...
Wakuu nimekuja tu hapa kutia Moyo wapambanaji wote waliokata tamaa.
Leo kwa mara ya kwanza nimeamka kutoka kwenye nyumba niliyojenga mimi.
Ni miaka 10 ya jasho na damu hatimaye jana nimehamia...
Habarini wana Jf,
Katika Nchi yetu ya Tanzania population inazidi kuwa kubwa hasa na takribani miaka 100 ijayo Tanzania inaweza kuwa kwenye top ten ya Nchi zenye population kubwa duniani...
Wanawake wanajua kunitumia pesa kuliko kunitafuta pesa kuliko kuitumia na hapa ndipo mahali AMBAPO MUNGU alifanya mwanaume kulazimika kuwa na mwanamke kwenye maisha yako ila pia KWENYE KUZALIANA...
Habari ndugu zangu
Naomba kufahamishwa. Ndoto kuhusu kusafisha choo zinaweza kuwakilisha kitu gani,tafsiri yake ni nini katika ulimwengu wa mwili?
Asante.
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja, mkazi wa Mero, wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga kwa kile kinachodaiwa ni...
Waganga Watafiti wa Tiba Asili wapatao 250 kutoka Afrika wanakutana nchini Tanzania kutembelea Mzimu wa Afrika uliopo Chalinze mkoani Pwani na kutoa huduma za kitabibu bure kwa wagonjwa...
Ebu fikiria kidogo, unafungua macho yako na kujikuta kwenye ulimwengu mwingine kabisa, lakini bado uko nyumbani kwako! Hii sio ndoto wala movie za sci-fi; ni hali halisi inayokuja kupitia...
achana na mambo ya sihri/uchawi mwanadamu ni kiumbe kikubwa sana ila kwa bahati mbaya hatujitambui sisi ni nani.
ndani ya miili yetu there's something called Subconscious mind it work as server...
Ni sahihi kuchimba kisima cha maji kipindi cha mvua?
Sikuwa na mpango wa kukichimba muda huu, lakini mtu anayelihudumia shamba langu kwa sasa kaniambia anaweza kukichimba kwa bei nafuu hadi...
Watu 11 wamepoteza maisha na wengine 44 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya A-N Coach kupata ajali katika eneo la Luanjilo Wilaya ya Mbeya Vijijini.
Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo...
Muinjilisti na Msomi wa dini bwana Sylvanus Ngemera amesema anatarajia kuasisi Dini Mpya ya kikristo yenye msingi wa utamaduni na mila za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara itakayoutwa "African...
Rejea na mada tajwa hapo juu wadau wa jamii nilipotelewa na vyeti vyangu vyote vya taaluma pamoja na lessen ya uuguzi nikiwa nasafiri kutoka Dar nikiwa naelekea kufanya usahili wa ajira za...
Ni mtangazaji wa Redio huko Kesho na umri wa miaka 26 na madenti wenyewe wana 20.
Madenti wanasema hawajawi kutenganishwa tangu utoto, shuleni hadi ukubwani.
Mabaharia wa JF naona tayari...
Ni mara nyingi nimewaona raia wa mataifa mengine waliowekeza hapa nchini (Tanzania) wakiwa kwenye ofisi za maafisa mikopo wa benki.
Hii ina maanisha wazi wanachokuja nacho ni wazo tu pengine na...
Habari wanajamii forums,
Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence).
Hivyo kwa wanaopenda...
Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasiojulikana
07 Septemba 2017
Lissu,mwanasheria mkuu wa CHADEMACHADEMA
Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.