Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mwanaanga mwenye asili ya India, Kapteni Sunita Williams na mwenzake mzoefu wa NASA, Butch Wilmore, wako tayari kuruka kuingia kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga (ISS) kwa spacecraft mpya kabisa...
3 Reactions
5 Replies
609 Views
Mwaka 2023 ulikuwa mwaka ambao ulijaa changamoto na fursa kwa upande wangu. Nikiwa nimeamua kupanua biashara zangu, nilijikuta nikiingia China kwa mara ya kwanza. China ni taifa lenye nguvu kubwa...
2 Reactions
1 Replies
748 Views
Kanisa jipya la Anglikana lijulikanalo kama Episcopal Anglican Province Tanzania linatarajiwa kuzinduliwa Septemba 15 jijini Wilaya ya Kongwa jijini Dodoma. Kuzinduliwa kwa kanisa hilo kunatajwa...
7 Reactions
90 Replies
4K Views
Mh Jaji Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Makakama wamewahimiza Watanzania kutumia Tume ya Mahakama wanapotendewa vibaya na watendaji wa mahakama na wanasheria kwa ujumla. Hii nimeipenda maana kumekuwa na...
0 Reactions
0 Replies
180 Views
Watu wamekula keki ya taifa kupitia zana USSR
5 Reactions
13 Replies
670 Views
Nadhani moja kati ya maeneo ambayo yamekuwa tata zaidi kuyaelewa basi ni mji wa Vatican… tukiachilia mbali kuhusu utata/ugumu wa kuelewa mfumo wake wa uendeshaji na historia yake lakini swali...
4 Reactions
2 Replies
463 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) imetekeleza Agizo la Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso (Mb) la kuhakikisha huduma ya maji inarejea kwa wakazi wa Kata ya Mbokomu ifikapo...
0 Reactions
0 Replies
199 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi kuendelea kulisimamia kwa karibu Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kuhakikisha huduma za treni ya SGR zinaboreshwa. Pia, Majaliwa ameagiza...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Watu wanne wamefariki dunia na wengine 15 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Kibisa lililokuwa likitokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na gari la kubebea mizigo…ajali...
4 Reactions
67 Replies
2K Views
Serikali ya Tanzania imeweka wazi sababu ya kumfukuza nchini Kiongozi na Mchungaji wa Kanisa la Christian Life maarufu ‘Kanisa la Kiboko ya Wachawi’, Dominique Dibwe kwa kukiuka misingi na...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Kutokana na matumizi makubwa ya fedha kwenye manunuzi ya vifurushi vya Internet. Tarehe 01/08/2022, nilijiunga na kifurushi cha Tsh.1500 (Mb850) na niliamua kuanza kufuatilia na kujipimia matumizi...
28 Reactions
135 Replies
10K Views
Kama ilivyo kwa kampuni nyingi za simu kujiemdesha kwa unyonyaji, Safaricom Kenya wamepata cha mtema kuni baada ya Elon Musk kuanza kutoa huduma nchini humo na wateja wengi kukimbilia Starlink...
7 Reactions
55 Replies
1K Views
Huyu amemshirikisha Jay Melody katika ngoma yake kali FAR AWAY .Mwanzoni nilijua ni Mnaija mpaka nilipo mgoogle ndo nikajua m TZ.Nilishangaa sana.Kilichonishangaza zaidi ni mshamba wa kuvaa kama...
0 Reactions
3 Replies
344 Views
Bwana mmoja aliwahi kuniambia kuwa ‘Wale watu weupe , walileta viwanda vya sinema za ngono ili jamii ijifunze dhana ya mapenzi kwa upana’ , Sikutaka kukubaliana naye , niki dhani kuwa...
4 Reactions
18 Replies
907 Views
Baada ya serikali kulifungia Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu Kiboko ya Wachawi, sasa mlinzi wake maarufu Mwarabufighter1 ameposti video...
22 Reactions
320 Replies
16K Views
Tumsifu Yesu Kristo Moderator tafadhali Uzi huu usiunganishe kwingineko Wadau hamjamboni nyote? Wakristo tokea mwanzoni waliabudu jumapili ambayo ni ishara ya uumbaji ikiachana na sabato...
0 Reactions
2 Replies
287 Views
Barua inayosambaa inayodaiwa kutolewa na Jesi la Polisi inaeleza kuwa kuwa Jeshi hilo lifuatilia waliomchukua Afisa wa Chadema makao makuu, Mzee Ally Mohamed Kibao kwenye basi alilokua amepanda...
0 Reactions
0 Replies
390 Views
Hajawahi kumiliki nyumba wala gari lake binafsi. Kwa zaidi ya miaka kumi aliyokuwa kwenye ajira alikuwa akiishi na kutumia gari la taasisi. Sasa anataka kuachana na ajira ili asimamie kwa karibu...
18 Reactions
98 Replies
3K Views
Juzi nilipita eneo fulani kulikuwa na kikao cha walimu tena wakuu wa shule aisee! Kwanza picha linaanza nimeshuka kwenye gari subaru forester xt sport nyeusi tii inayoshine, aisee hayo macho...
59 Reactions
340 Replies
14K Views
Back
Top Bottom