Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mtoto ameugua kwa muda hapo shuleni wanakuja kumpeleka yupo hoi hapo Kamanga Hospital, madaktari wakasema nimonia, mtoto kalazwa ICU wakamtoa wakampeleka sehemu nyingine hali ikabadilika tena...
4 Reactions
60 Replies
2K Views
Hizi ni maada zimejadiliwa sana , ni kwamba narudia tu ili kuzidi kuweka mambo barazani ili kuwakumbusha wanaume wenzangu kuwa wanaume tumebeba majina na maana halisi ya maisha,hata katika visa...
1 Reactions
1 Replies
218 Views
Umewahi kupata ajali ndani ya bus au gari ya abiria ukashuhudia abiria wenzako wakifa na kujeruhiwa au wewe mwenyewe kupata majeraha mabaya ya viungo au ukilema? Uliwezaje kuhimili mkasa kama huo...
1 Reactions
0 Replies
177 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Timotheo Mnzava (Mb) imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajenda yake...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Injili lazima iendeleeeee.... PAMEANZA KUCHANGAMKA SASA😂😂 ENEO LILIPOKUWA KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI LANUNULIWA NA BISHOP EDWARD, MCHUNGAJI KIONGOZI WA MAKANISA YA BETHELEHEMU REVIVAL CHURCH...
6 Reactions
13 Replies
625 Views
Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, SACP Muliro Jumanne amesema Askari wa Jeshi hilo wamemjeruhi Mtu mmoja kwa risasi katika eneo la Tanganyika Packers wakati alipokuwa eneo hilo na...
0 Reactions
0 Replies
483 Views
Wiki hii makamu wa Rais na waziri wa mambo ya ndani wakiwa katika shughuli tofauti za kidini wakiwa jukwaani walizungumza mambo ambayo kwa hakika ni kuingilia uhuru wa imani za watu wengine...
1 Reactions
13 Replies
612 Views
Habari, Nipo Mbeya, Natafuta route nzuri ya kwenda bukoba. Usafiri ni magari ya Abiria. Wakati nakuja nlichukua route ya bukoba to dodoma to iringa to mbeya, ila n ndefu kinoma nlifika niko...
1 Reactions
0 Replies
443 Views
Wakuu. Leo swali langu ni dogo sana kama nilivoandika huko juu, Mababu na mabibi zetu wa enzi na enzi hizo miaka hiyo mingi iliyopita, Ambao walikua hawajui kanisa wala msikiti na hawakujua...
4 Reactions
13 Replies
479 Views
Masikin na tabaka la chini kabisa watakosa chakula na watamla tajiri. Iangalie hii ktk engo zote.
7 Reactions
23 Replies
956 Views
Mmekuwa manipulated kwa enzi na enzi kumuunganisha Mungu na dini. Mmekuwa brainwashed kuona njia ya kumifikia Mungu ni dini. Mungu sio dini, Dini sio Mungu. Dini hizi ambazo viongozi wenu...
2 Reactions
6 Replies
273 Views
INTRODUCTION:- Wale wenye Nchi nawasalimia UBAYA UBWELAAAA Wale wananchi wenzangu, wanasalimia kwa "Wananchiiiiiiii" Twende kwenya mada .... BODY:- Nanenane ndio hiyooo, na kama kawa...
6 Reactions
36 Replies
1K Views
Siku moja nilimsikia mtu mmoja akisema kuwa kama angekuwa na redio kubwa kama ya rafiki yake fulani, asingeenda kunywa pombe baa. Angekuwa anazichukua na kwenda kuzinywea nyumbani kwake...
3 Reactions
17 Replies
606 Views
HI great thinkers Introvert ni mtu anaependa ku spend time mwingi on his own, siyo mtu wa kujichanganya au kushobokea watu au vitu vya watu wengine, mikusanyiko na sherehe siyo rafiki kwake...
29 Reactions
77 Replies
7K Views
Marafiki sio watu unaojuana nao na kupiga stori,no no no,hao ni watu unaojuana nao,sio marafiki. Rafiki ni mtu ambae unauwezo wa kumuambia jambo lako la siri na ukawa na AMANI kabisa kwamba hawez...
7 Reactions
21 Replies
455 Views
Nimetoka kijiji cha Kirando wilaya ya Nkasi alifajiri saa 12 Kwa basi la Rukwa Raha. Tumefika kijiji cha Chala majira ya saa 2 hivi asubuhi. Cha kushangaza tumekuta mabasi yamesimamishwa hapa...
3 Reactions
4 Replies
316 Views
Hivi ulishawahi kuondokewa? Ulipitia changamoto gani baada ya kuondokewa na mtu wako wa karibu? Either kifo au kutengana what you feel? Hali yako (personal) katika uchumi, mawazo, jamii ilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Swala la kufungwa kwa barabara na kusimama kwa shughuli za usafirishaji kwa masaa kadhaa wakati wa msafara wa Mwenge wa Uhuru limezua mjadala nchini Tanzania. Wakati Mwenge wa Uhuru una umuhimu wa...
1 Reactions
4 Replies
305 Views
Kuna kijana anasimulia eti baba yake aliikataa mimba yake. Ameulizwa alijuaje, eti alisimuliwa na mama yake. Kama kuna upumbavu sitaupokea, ni eti umesimuliwa na mama yako kuhusu ubaya wa baba...
27 Reactions
90 Replies
2K Views
Back
Top Bottom