Taifa lenye wakazi waliochanganyikiwa kuliko wagonjwa walioko Lutindi Korogwe Tanga na Mirembe Dodoma.. Na hawa wote kama si viongozi wa kisasa basi ni watu fulani wenye kaumaarufu fulani..
Sasa...
Jiji hili limedumaza sana ujasiri ,ueledi na uanaume kwa ujumla .
Kuna tukio nimekutana nalo nimewaza sana
I stand to be corrected labda tukiwasema watabadilika .
Jeshi la Polisi limesema ajali iliyotokea Mbeya Septemba 6, 2024 ilisababishwa na uzembe wa Dereva, Hamduni Nassoro Salum (37) kushindwa kulimudu Gari lake kwenye eneo lenye mteremko na kona kali...
Mimi kama Mkristo, moja ya simulizi ni kuwa maandiko katika kitabi cha Bibilia yalianza kwa kuandikwa kwenye ngozi, mawe na mfano ni amrii kumi za Mungu kupitia Nabii Mussa.
Tunaambiwa Mungu...
Kama kuna Benki inayo wanyonya wakopaji basi Benki ya NMB inawakausha damu wananchi kisawasawa.
Inawezekanaje mtu anakopa milioni 9 analipa milioni 80 ?!!! Huu ni wiza wa mchana kweupe!!!!
Huu ni...
Salaam,
Vipindi mbalimbali vya harakati za wanawake vinavyorushwa na Televisheni za hapa bongo vinavyoendeshwa na Watangazaji machachari Vina maudhui chonganishi(kwa mtazamo wangu).
Yaani Ni...
Habari,
Tunaomba mtusaidie kupaza sauti kwenye uonevu unaoendelea kwenye ajira sekretarieti ya Utumishi kwa Umma.
Ajira zilizotolewa zimeshaanza kufanyiwa usahili ila kuna changamoto mbalimbali...
Welcome to Botswana 🇧🇼
In Botswana, citizens get free land, free healthcare, and free education.
University students receive $154 in allowances monthly.
It has low debt.
It has Africa's best...
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Beijing China.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Mohammed Khamis Abdulla, amesema Wizara hiyo ipo tayari kushirikiana na wawekezaji...
Kipindi nakuwa enzi za primary, seko hadi chuo nilikuwa mtazamji bora wa CNN na BBC.
Lakini sikujua kuwa vyombo hivi vimekaa kimlengwa zaidi, yani vinakupa habari zile wanaziona wao ndio muhimu...
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imehitimisha mafunzo ya siku tatu kwa watumishi wa wizara hiyo kuhusiana na viashiria hatarishi.
Mafunzi hayo yamefanyika jijini Dodoma yakihusisha...
Taasisi ya ustawi wa jamii tunawaomba mrekebishe mtandao wenu kwani haifunguki na hata kufunguka ni kwa shida.
Mnawasumbua wanafunzi wanaotaka kusoma katika chuo chenu muache kujiendesha kwa...
Mtoto mchanga wa wiki mbili aliyechomwa kisu na kisha utumbo kutoka nje na mama yake kuuawa akiwa amelala, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini...
1. House girl awe na siku moja kila wiki ya kupumzika masaa 24 - Ndani ya nyumba nyingi house girls kageuka roboti anaefanya kazi kila siku alfajiri mpaka usiku.
2. House girl ahusishwe kwenye...
Mama mmoja mkazi wa Kibaha Msangani anaiomba serikali iweze kumsaidia kupata haki ya mtoto wake wa kiume anayesoma darasa la tano baada ya kulawitiwa na rafiki wa baba yake ambaye kwa sasa...
PUTS na PHTS zote ni salary scales za wahadhiri wa vyuo vya elimu ya juu hapa Tanzania. Naomba kujuzwa virefu vyake na tofauti ya malipo kwa wahadhiri wawili wenye rank sawa mfano; Junior Lecturer...
Wakati vyama na wadau wakianza kujiweka mguu sawa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika baadaye mwaka huu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kina hakika wa kupata ushindi wa kishindo...
Habari za muda huu wadau, hapa kazini kwetu kuna watu wamekuja wanataka kutupa mikopo kwa riba ndogo sana kiasi kwamba kwa mshahara wangu ninaweza kupata mpaka million 50 kwa miaka mitano.
Sasa...
Mwanadada mmoja kutoka india aliyeandika zaidi ya vitabu 16 kwenye story page yake, moja ya hoja aliyoandika ni kuhusu maisha ambapo alisema mtu akiwa hana mpango wa kuweka ratiba kwenye life...
Naomba tu kujuzwa Jaji mkuu mstaafu mh Mohamed Chande Othman ana wadhifa gani huko Umoja wa Mataifa
Nimeona akiongea mbele ya Bendera ya UN
Ahsanteni Sana 😃
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.