Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Yaani tulishazoea haya mambo Desemba muda wa kufunga mahesabu Lakini naona kama yameanza mapema jamani Mimi toka majuzi taarifa ya habari ni vifo na ajali tu Muda huu kuna ajali Chunya, tutawajuza
1 Reactions
28 Replies
968 Views
Kila mtu anakuomba hela kumbe wewe mwenyewe ni misheni taun coz tangia umemaliza chuo 2016 hadi leo haujapata ajira. Kila mtu anataka atembee na wewe ili awaoshee wengine. Wanakuuliza kama...
2 Reactions
3 Replies
270 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Dereva aitwaye Said Rajab [35] mkazi wa Dar es Salaam aliyekuwa akiendesha Gari yenye namba za usajili T.422 AKF/T.303 APW Scania Lori mali ya Amani...
1 Reactions
3 Replies
764 Views
Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya pombe nchini yameongezeka kwa kiasi kikubwa (WHO, 2023) kutokana na sababu kadhaa: 1. Sababu za Kijamii na Kiuchumi Kuongezeka kwa kipato...
4 Reactions
69 Replies
2K Views
Mwenye kujua huyu mnyana anijuze tafadhali.
6 Reactions
10 Replies
522 Views
Mkubwa wa taarifa za kinakuhusu miradi ya makubaliano na kukosekana na nyenzo za kufuatilia na kupima maendeleo ya ahadi zinazotolewa katika mikutano hii. Wachambuzi wengi wanaonya kwamba usiri...
3 Reactions
11 Replies
626 Views
Miji mingi Tanzania inakabiliwa na kupoteza ubora,nyumba nyingi zinaonekana kuchakaa hususani paa za nyumba nyingi kuonekana kuwa na kutu. Yawezekana ni bati kutokuwa na bati nyingi kukosa ubora...
13 Reactions
21 Replies
2K Views
Anonymous (94b9)
Tatizo la wafanyabiashara kupanga bidhaa zao chini kwenye maeneo ya Kariakoo limekuwa kero kubwa kwa watumiaji wa barabara, hususan nyakati za mchana. Eneo la watembea kwa miguu limevamiwa na...
0 Reactions
0 Replies
138 Views
Kumekucha wadau! Leo nikiwa namsikiliza Aunt Sadaka, Mwanasaikolojia na Mshauri wa masuala ya Malezi, Ndoa na Mahusiano kwenye redio, nikajikuta nakumbuka mambo ya utotoni na vile vipondo...
3 Reactions
10 Replies
350 Views
Anonymous (3a44)
Habari za kazi, tunaomba utupazie sauti tuweze kufahamu sheria pamoja na utaratibu wa sekretarieti ya ajira utumishi katika mchakato wa usahili Hivi karibuni 1/09/2024 zilitangazwa ajira za kada...
0 Reactions
0 Replies
266 Views
Hivi kwanini huwa zinaitwa ndege za chini?
1 Reactions
6 Replies
351 Views
KUAHIRISHWA KWA TRENI YA ABIRIA YA EXPRESS Uongozi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) inasikitika kuwatangazia abiria na umma kwa ujumla kuwa treni ya abiria ya Express iliyopangwa...
0 Reactions
1 Replies
835 Views
××××××× Imethibitishwa Tarehe ××\××\×××× Saa 30:95 umetoa kiasi cha shs 5,000 kutoka kwa ×××××× Pepo mchafu toka, Ada Tshs 950.00 + TOZO ya serekali Tshs 54.00. Lengo la uzi wangu ni kwanini...
1 Reactions
0 Replies
121 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Mashaka Biteko anatarajiwa kuzungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (Annual Non-Government Organizations Forums)...
0 Reactions
2 Replies
830 Views
Tuliposhangaa na kuhoji kwa nini Messi ashinde ballon d'or dhidi ya Halaand, vijana wa Messi walirusha mawe sana, Anyway maisha ya soka yaendelee.
0 Reactions
6 Replies
318 Views
Ongezeko la uvamizi wa magari binafsi kwenye barabara za Mwendo Kasi (BRT): Je, Mamlaka zinabariki matumizi haya? Katika miaka ya hivi karibuni, mfumo wa Mabasi ya Mwendo Kasi (BRT) umekuwa...
3 Reactions
5 Replies
594 Views
Huo ndio ukweli I can't become a bodaboda rider Hizi ndo sababu zangu - Hii kazi Ina risk Sana haina kiinua mgongo chochote ni Kazi inayopigiwa chapuo na wanasia Ila watoto wao hawawezi...
21 Reactions
78 Replies
2K Views
Hii hali sijui inaisha lini huzuni sana sana Mtoto wa darasa la nne amebakwa na kijana mmoja akielezea kama una mtoto wa kike unaliaa Mtoto anasema alichukuliwa akapelekwa nyumba moja alipoanza...
1 Reactions
30 Replies
897 Views
Hili sijui ni la Waziri wa Afya ama mazingira ama wote wawili? Kuna uchafuzi mkubwa sana kwenye barabara za Dar es Salaam pamoja na mifereji na mitaro yake unaofanywa na makampuni yaliyopewa...
5 Reactions
8 Replies
453 Views
Serikali kupitia Bodi ya Sukari Tanzania (SBT), imewatoa hofu Watanzania juu ya ubora na usalama wa sukari inayoingizwa nchini kutokana na umakini wa vyombo vyake vya Ulinzi, Usalama pamoja na...
1 Reactions
3 Replies
262 Views
Back
Top Bottom