Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
CHUKIZO LA UHARIBIFU NI UTENDAJI WA MAMLAKA YA KIBINADAMU KUPINGA AMRI NA MAMLAKA YA MUNGU Unabii wa utendaji wa Chukizo la uharibifu lililonenwa na nabii Danieli umeandikwa katika Danieli 7, 8...
1 Reactions
1 Replies
284 Views
Nilikuwa High School katika moja ya shule za Sekondari mkoani Kilimanjaro. Tukiwa shuleni, tulikuwa na kikundi chetu cha maombi. Ilikuwa ni kawaida yetu kuamka kila siku saa kumi na moja Asubuhi...
18 Reactions
16 Replies
2K Views
Vitu pekee ambavyo ni ukweli ni viwili tu kwa mwanadam (kuzaliwa na kufa) Maisha mengine yote ya mwanadamu ni maigizo! Chochote afanyacho binadam huwa ni kama scene tu havina ukweli wowote...
16 Reactions
89 Replies
2K Views
Kusanya vitabu vya Historia, tembelea hifadhi za kumbukumbu na rekodi za kimataifa, lakini hii haijapata kutokea Tanzania. Kwa mara ya kwanza, Rais wa Tanzania Samia Suluhu ataonesha Taifa ufundi...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Serikali imepokea taarifa ya mwisho ya upembuzi yakinifu wa ujenzi Chuo Mahiri cha TEHAMA (Digital Technology Institute - DTI) katika eneo la NALA, Dodoma kutoka kwa Mshauri elekezi kutoka...
0 Reactions
1 Replies
328 Views
Eid Mubarak wanajamvi. Katika utafutaji wa mkate wa kila siku nmejikuta nimeangukia katika mkoa huu wa katavi. Katavi ni pazuri kimazingira panavutia sana, japo mji huu hauna watu wengi, na...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Wakazi wa Kijiji cha Lipwidi katika halmashauri ya wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakiwaomba viongozi wao ngazi ya kata na wilaya kuwasaidia kutatua changamoto ya...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Barabara Kuu ya Morogoro-Dodoma ambayo mapema leo Septemba 5, 2024 ilifungwa na wananchi wa Mtaa wa Mkundi Sheli, Kata ya Mkundi, Manispaa ya Morogoro, kwa takriban saa mbili wakipinga ajali za...
1 Reactions
3 Replies
364 Views
Ukituma sms yeye neno "SEX" kwa mtandao wa TIGO ujumbe haziendi/kumfikia mlengwa nani kuruhusu hili? Lakini ukiandika kwa kuacha nafasi sms inaenda au ukiweka alama katikati ya neno SEX mfano...
15 Reactions
57 Replies
2K Views
Rashid Mbuguni Afariki Dunia. Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kuondoka duniani kwa Ndugu Rashid Mbuguni. Apumzike Kwa Amani. Maggid Luqman Maloto anaandika: Luqman Maloto “MZALENDO...
46 Reactions
144 Replies
15K Views
Fatma Kigondo anayedaiwa kuwatuma watuhumiwa wa kosa la kubaka kwa kundi ametii wito wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma iliyomtaka kufika mahakamani hapo leo Septemba 5, 2024. Mahakama hiyo...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na oparesheni, misako na doria zenye tija kuhakikisha usalama wa raia na mali zao. Aidha, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia misako na doria limepata...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya mvutano wa siku kadhaa kuhusu dhamana ya kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, Kombo Mbwana, Mahakama ya Wilaya ya Tanga imeuhitimisha kwa kufunga dhamana...
1 Reactions
7 Replies
429 Views
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili (MD 2) St. Joseph university tawi la Boko. Hivi karibuni chuo kimeongeza 1.25m hela hiyo ikipewa jina la "CLINICAL ROTATION FEE" tofauti na ada ya 5.9m...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari JF, Hapa pastor Dominic -kiboko ya wachawi alikuwa na maana gani? Je, na yeye alikuwa ana miliki kibanda? Je, hii kauli ina ukweli kiasi gani?
3 Reactions
18 Replies
801 Views
UTANGULIZI MISINGI YA KATIBA KWA KUWA SISI wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tumeazimia kwa dhati na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayozingatia misingi ya uhuru, haki...
1 Reactions
3 Replies
204 Views
Nitashangaa hadi leo kama bado tutaendelea kufanya debate kuhusu uwepo wa uchawi. Wengi tuna downplay uwepo wa uchawi sio kuwa tuna uhakika kuwa haupo ila basi tu tujioneshe wenye status ya usasa...
4 Reactions
15 Replies
613 Views
Ebana najivunia kutimiza mwezi wa 3 leo bila kuonja pombe mdomoni mwangu. Nimegundua kampani za washkaji zinachangia sana mtu kuendekeza ulevi. Nilikua na kampani moja ilikua kila weekend...
10 Reactions
21 Replies
921 Views
Nimekuwa nikipitia changamoto ya kukosa usingizi, kutaka kujiua toka mwaka 2018 nikiwa chuo baada nikaanza kunywa madawa ya usingizi zaidi ya aina 15 bila kupona, nimeenda sehemu za maombezi pia...
13 Reactions
124 Replies
6K Views
Back
Top Bottom