Hello wakuu, kuna mahali nataka kuweka biashara, sasa hakuna frame (chumba) so nataka nijenge mm kwa makubaliano na mwenye eneo,
ENeo la frame ni sqm 35 (7*5), hivyo naomba wazoefu wa ujenzi...
Dunia inabadilika kwa kasi sana, dini (Ukristo , Uhindu na Uislam) zinajaribu kwenda kinyume na uelekeo wa mawimbi, dini zinapingana na upepo, dini zimezeeka, dini zinaizuia dunia isisonge mbele...
Afya ya akili haipimwi kwa vile tunavyofanya peke yake, ila ni pamoja na vile tunavyokataa kufanya moja ya nguvu kubwa ya kuwa na afya bora ya akili ni uwezo wa kusema hapana, kama kwako neno...
Jeshi la Polisi limeleza kuwa Wafanyabiashara Raymond Hyera maarufu Ray (25) na Riziki Mohamed (30) wa Songea, Ruvuma waliokuwa wamepotea walienda kwa Mganga kupata dawa ya kuwezesha biashara zao...
Habari Wana Jamii forum, nitumaini langu wote mnaosoma hii post muwazima.
Ni kwa uchungu mwingi nawaleteeni discussion ya maovu mengi yanayofichwa nakusokomezwa chini ya jamvi yanayofanywa na...
Wewe umejinasibu kuwa utafungua kesi kwa gharama zako hadi uhakikishe kesi ya Afande unashinda, watu wakakupongeza sana, leo kesi inatajwa huko Dodoma unapost kwenye page yako kuwa hujaenda kwa...
Mahakama ya Wilaya ya Mtwara, imemhukumu kifungo cha maisha jela, Asha Chanchoni (47) kwa kosa la shambulio la aibu, baada ya kubainika kujihusisha kimapenzi na mvulana mwenye umri wa miaka 15...
TAARIFA KWA UMMA
KUKEMEA UKATILI DHIDI YA MTOTO MALIK HASHIM KITUMBI
KUKEMEA UKATILI DHIDI YA MTOTO MALIK HASHIM KITUMBI
Dodoma, 19, Julai, 2024
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake...
Mahakama ya Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga imemuhukumu kwenda jela kifungo cha maisha Ramadhani Bakari Iddi (46) mkazi wa Kilapula kata ya Ngomeni Wilayani hapo kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye...
zinajitegemea, basi mfungwa atatumikia adhabu moja moja na hivyo atatumikia kifungo cha jumla ya miaka 3o jela.
Ushahidi wa upande wa mashtaka uliowasilishwa mahakamani
Kwa mujibu wa ushahidi...
Mkazi wa wilaya ya Kilosa, Mohammed Salange amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada kukutwa na hatia ya kumfanyia ukatili mtoto wake wa kufikia wa kiume mwenye umri wa miaka 9. Makosa hayo...
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linamshikilia Christina Shiriri (43) kwa jina maarufu Manka, mfanyabiashara na mkazi wa Usagara wilaya ya Misungwi kwa kosa la kumfanyia ukatili mfanyakazi wake wa...
Mtoto Shamsudini Jamadu Msemo (13), aliyemwagiwa mafuta ya taa na kisha kuchomwa moto na mama yake mzazi, amefariki dunia leo Jumanne Oktoba 3, 2023 katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini...
Umasiki mbaya aisee,
Natoka Mwanza naenda Dar hapa ni saa 5 kasoro ndiyo natoka Shinyanga nimeanza safari saa 1 jioni na hapa nimechoka sana na tunafika Dar kesho saa 7 mchana aisee sijui...
Kila nikisikiliza media kubwa zilizoaminika kwasasa ni kama TBC tu
Iwe BBC Swahili, VOA, CNN au Al Jazeera zote ni ovyo tu zinatoka habari za kuendelea na za uongo na uzushi sana
Wanainanga...
Wadau habarini,
Mimi Nina tabia nzuri Sana mwenye huruma sijisifu bali naongea ukwwli wangu nilioa mwanamke ambae hakuwa na malezi mazuri alijichanganya mtaani na kufuata uhu I kwa ujumla alikuwa...
Asalam aleykum.
Leo sala ya Ijumaa nimesali Tabora Msikiti uitwao Shadhuly [ukitamkwa shazli]. Nakili sala yangu ilikua ngumu kwa sababu ya kupishana steps na wenzangu.
1. Rakaa ya pili baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.