Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kuna utafiti unaoendelea kuhusu dawa na teknolojia zinazolenga kupunguza kasi ya mchakato wa kuzeeka au kuboresha ubora wa maisha kadri watu wanavyozeeka. Baadhi ya dawa na tiba zinazochunguzwa...
2 Reactions
6 Replies
663 Views
Mu hali gani! Kunamitazamo mingi kuhusu suala la mafanikio ya mtu, lakini kwaujumla kufanikiwa nikufanikisha kutekeleza mipango na malengo tunayojiwekea katika maisha. Lakini asilimiakubwa ya...
3 Reactions
7 Replies
462 Views
Kama unapata shida kuandaa RIPOTI mbalimbali au nyaraka za kiofisi nipo hapa kukusaidia. Kuandaa RIPOTI ya kiofisi ya kurasa 500 sio jambo rahisi kwa kila mtu. Lakini ni Jambo rahisi sana kwangu...
1 Reactions
4 Replies
208 Views
IMETAFISIRIWA Jack Rynolds alitumikia kifungo kwa miaka zaidi ya 12 gerezani kwa kosa la kulawiti wavulana wadogo hasa wenye miaka 11 hadi 14, hapa anatoa ushuhuda wake kwa vigezo vonavyotumika...
0 Reactions
6 Replies
542 Views
Wachawi wanaweza kupanda mkuki, ufagio au ungi wakasafiri hadi nje ya bara kwa sekunde. Wanaweza kuwaamrisha fisi, mamba, paka, mijusi hata mbwa kufanya wanachotaka wakati wowote bila kubisa...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Hapa mjini Dar es Salaam kumekuwa na mvua za hapa na pale na kama mnavyojua balaa lake ikinyesha hali inavyokuwa. Hapa ni Mwenge, karibu na kituo cha mabasi cha ITV, hali ilikuwa ya taharuki. Maji...
3 Reactions
11 Replies
716 Views
Katika Siku za Karibuni zimeonekana 'Klipu' kadhaa Za Mchungaji anayejiita Kiboko ya wachawi mitandaoni zikimuonyesha akiwadhihaki na kuwadhalilisha Waamini waliokuwa wakitoa pesa zao kwake kwa...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Msitu huo umegeka kuwa Shamba la Kuchoma Mkaa, Kuni na Mipini na hivyo kuhatarisha biodiversity iliyopo Ni eneo pekee lililobakia kwenye Uluguru lenye Low land Miyombo, pia ni nyumbani mwa...
5 Reactions
4 Replies
434 Views
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na wadau wa Elimu ya Juu ndani na nje ya nchi kuwa Awamu ya Kwanza ya udahili wa Shahada ya Kwanza katika Taasisi za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Anonymous (2079)
Sisi Wafanyakazi wa Ujenzi wa SGR kwa hapa Lot 1 ambayo inahusisha Dar – Moro baada ya kulalamika kuhusu Mkandarasi Mkuu, Yapi Merkezi kuwaondoa watu kazini kwa gia ya likizo huku wakiwa...
0 Reactions
8 Replies
572 Views
UMEWAHI kusikia kanisa liitwalo KANISA HALISI LA MUNGU BABA? Wanavaa nguo nyeupe kanisa zima, ibada zao nyingi zinarushwa STAR TV?Hawataji jina MUNGU wala YESU wao wanaita CHANZO HALISI 😁Hapa...
10 Reactions
129 Replies
5K Views
Naombeni kuuliza wataalamu je hapa Nacte wameshapokea matokeo ya mwanafunzi au bado au je hii pending inamaana gani?
0 Reactions
8 Replies
433 Views
Mkutano wa Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (Annual Non-Government Organizations Forums), Jijini Dodoma, unaelekea leo Septemba 5, 2024 ikiwa ni siku ya pili yhangu ulipoanza...
0 Reactions
1 Replies
705 Views
... 👂 𝗠𝗠𝗘𝗦𝗜𝗞𝗜𝗔 𝗛𝗨𝗞𝗢 ?😀 "Nayaona mafanikio ya Taifastars siku wachezaji wote wa JKT Tanzania watakapochaguliwa kuitumikia. Rejea ushauri wa Rais wa awamu ya tano" ©️ Masau Bwire. Afisa habari wa...
0 Reactions
1 Replies
174 Views
Jana asubuhi niliweka vocha za Tsh.15,000. Tsh 5000 nikaunga MB na kiasi kilichobaki nikakiacha nije niunge Salio maana nilikuwa bado na kifurushi. Baada ya muda nakuta kwenye ile 10000 Kuna...
3 Reactions
6 Replies
450 Views
Sintofahamu imetokea mkoani Njombe na hii ni baada ya moto ambao bado haujafahamika chanzo chake kuwaka na kuteketeza eneo la kituo cha kusambaza umeme mkoani humo. Mara tu baada ya kudhibiti...
1 Reactions
2 Replies
283 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika ukumbi...
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Aisee wakuu hili jambo sio poa, kuna jamaa huku alinunua Kiwanja mwezi uliopita milioni 8 kumbe kile Kiwanja ni Cha mgogoro aisee na katika kupeleleza watu zaidi ya wa 3 wameshauziwa jamaa...
1 Reactions
9 Replies
492 Views
WAZIRI JENISTA MHAGAMA: HADI NOVEMBA 10 MIFUMO YOTE YA AFYA ISOMANE KURAHISISHA HUDUMA ZA TIBA KWA WAGONJWA Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ametoa maelekezo kwa Idara ya Tiba Wizara ya Afya...
1 Reactions
1 Replies
278 Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Wagonjwa wa Kipindupindu waliongezeka kwa 13% mwaka 2023 huku Vifo vikiongezeka kwa 71% kulinganisha na takwimu za mwaka 2022. Taarifa imeeleza Nchi 45...
0 Reactions
0 Replies
444 Views
Back
Top Bottom