Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Haya ndiyo yanaoendelea Kaliua serikali ipo kimya haya yanafanya na TFS,TAWA na vyombo vingine vya dola ikiwemo JWTZ je hii ni sawa, Waziri wa maliasili ajiuzuru? Waziri wa ulinzi ajiuzuru...
0 Reactions
7 Replies
385 Views
Leo Alhamisi, Septemba 5, 2024 ni siku nyingine ya matumaini kwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Tanga, Kombo Mbwana, anayekabiliwa na kesi ya jinai, kurejea...
0 Reactions
2 Replies
508 Views
Wakuu, Nini kifanyike mbona haya mambo yanazidi sana? Ni kwamba wanaume tumezidiwa sana na ugwadu au ni madomo zege sana hatuwezi kutongoza siku hizi? Au shida ni nini? Au ushirikina! ----...
2 Reactions
12 Replies
762 Views
Katika kuhakikisha askari wa Kike wanakuwa imara na mahiri katika kila nyanja wanazohudum Suala la kujengewa umahiri katika ulengaji wa Shaba kwa askari hao likatolewa na wabobezi wa shabaha...
0 Reactions
12 Replies
527 Views
Kiukweli nianze kwa kusema atukuzwe Mungu wa Mbinguni kwa kutupa neema ya siku ya leo. Moja kwa moja nikienda kwenye hoja napenda kuweka hoja mezani kama kichwa cha habari kinavyosema. Kwa elimu...
4 Reactions
16 Replies
953 Views
Nipende kuipongeza serikali katika jitihada zake za kuboresha huduma za Usafifi wa Mabasi ya Mwendokasi Dar (DART). Hivi karibuni DART wamefanya ukarabati wa vituo vya mwendo kasi kwa kuweka...
3 Reactions
9 Replies
979 Views
Leo asubuhi nimeamka na hamu ya BAGIA ZA IRINGA, hasa za KALENGA!, liliko fuvu la Chifu Mkwawa aliyekuwa kiongozi wa Wahehe aliyepinga ukoloni wa Kijerumani mwishoni mwa karne ya 19 kabla ya...
6 Reactions
14 Replies
439 Views
Rais Samia Suluhu Hassan kama ulivyowahi kumuamini Dr. Ummy Mwalimu kumpa mamlaka ya uwaziri kamili wa Afya nakuomba pia umchukue huyu dada Kwa maslahi mapana ya Taifa. Hata kama siyo kumpa...
10 Reactions
68 Replies
2K Views
Kwa ufupi ni mambo ya hovyo sana, watu wanaweza kuchukua taarifa zako na kuzisambaza mtandaoni!. Watu wanasema dawa ya deni kulipa ila si kwa kudhalilishana pale mtu anaposhindwa kulipa. Ndugu...
0 Reactions
13 Replies
661 Views
Mwili unaogombaniwa na familia mbili ambao ulizikwa katika kitongoji cha Dungi, Kijiji cha Kibosho Kindi, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, umefukuliwa leo kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya...
0 Reactions
8 Replies
575 Views
Habari wadau! Naulizia duka lipi ntapata vifaa vya washing machine kwa Dar. Nashukuru sana.
0 Reactions
7 Replies
291 Views
My Take Kila siku hapa Tanzania Kuna ajari inatokea inayoua watu na chanzo mara zote ni uzembe wa madereva. Swali,Je Serikali mumeshibdwa kuja na Sheria Kali za kuwadhibiti Hawa Madereva...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Wanabodi Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA CPA Paul John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi. Watch...
2 Reactions
6 Replies
292 Views
Nipo likizo Kahama. Jana jioni rafiki yangu alinunua chupa mbili kubwa za Pombe ya KVant kwenye duka la jumla hapa Mjini. Tulipoanza kutumia nikagundua zina ladha tofauti. Na kweli tulipochunguza...
26 Reactions
66 Replies
3K Views
Wazee wa migodi je ni wapi naweza kwenda kuweka karasha langu kwa sasa? Vigezo vya eneo iwe kama ifuatavyo: 1. Ningependa kutegemea wateja kwani nina mambo mengi kwa sasa sina mtaji wa...
0 Reactions
8 Replies
543 Views
Samaleko! Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu...
48 Reactions
239 Replies
14K Views
Hope you all good as we are moving toward the end of the week, kwa wale wa Dodoma tukutane mnadani kupata nyama choma kimtindo. Back to the topic, after passing through different book sand other...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
TANAPA yapongezwa kwa hatua zake za kuboresha barabara za Serengeti kwa ufanisi zaidi, hatua ambazo zinaonyesha kujitolea kwake katika kuhakikisha utunzaji wa mazingira na maendeleo ya sekta ya...
1 Reactions
1 Replies
414 Views
Huyu mwenye nyumba natamani siku moja nimpandishe Super feo mpaka Namtumbo nilipotokea ili ajue mi ni mtu wa aina gani maana dharau zinazidi watu tulipotokea mitaa inaitwa kwa jina la familia na...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Anonymous (e5e4)
Habari wana jukwaa, Naomba kutoa pongezi nyingi kwa Serikali kuturahisishia huduma kiganjani kupitia mfumo wa ESS kwa watumishi wa umma Kero yangu ni kuwa katika kipengele cha e-mkopo taasisi...
0 Reactions
0 Replies
463 Views
Back
Top Bottom