Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ukimfuatilia Mtaka utagundua ni aina ya wale watu wanaotafuta UMAARUFU kwa kutoa maneno yanayowafurahisha watu na kutafuta mifano mingi na kuizungumza kwenye jamii/ mikutano. Na mwisho...
2 Reactions
3 Replies
298 Views
Naomba wadau na serikali tuanzishe teknolojia mpya ambayo itawezesha kupatikana kwa part time job . Mfano Mimi ninaishi Mbagara kuanzia muda wa SAA mbili usiku nitakuwa na uhitaji wa Mwalimu wa...
10 Reactions
31 Replies
830 Views
Anauliza Zitto Kabwe: Kwanini sio John Mwakangale International Airport? === My Take Naunga mkono hoja.Jina la Uwanja wa Ndege wa Songwe (Mbeya) libadilishwe sio tuu Kwa sababu za Kuenzi...
2 Reactions
52 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Nimevamiwa na aina mpya ya Panya ambayo wanaitwa “Asia House Shrew” nimeambatanisha na picha hapo chini. Hawa Panya nimegundua baadhi ya mambo kwao: 1. Wanasauti kama ndege...
21 Reactions
73 Replies
3K Views
Kaja mpitanjia kafanya kama mkwezi kaliwa kichwa..! Maisha bila connection usijiamini sana.. Ama inategemea connection yako ina nguvu kiasi gani. Mdomo koma! Tumefunzwa kukaa kimya ama kufungua...
10 Reactions
37 Replies
2K Views
The Giant of Africa Kenya has no any significant Export among the top ten. On other side the sleeping Giant is waking up to her long sleepy era and she is taking up her place as the East Africa...
6 Reactions
102 Replies
2K Views
Jenista Mhagama akabidhi vifaa kuimarisha kitengo cha mawasiliano na elimu ya afya kwa umma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama Septemba 3, 2024 amekabidhi vifaa vya studio vitakavyosaidia...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
Ni kweli serikali wapo serous na hili au stori, ikiwa ni kweli Tanzania itakuwa nusu ya Dubai wachina wanajua sana biashara,tuombe serikali iwe serious
7 Reactions
74 Replies
2K Views
Mimi sio mwana uchumi, niko tayari pia kuelekezwa na kupigwa ILA, Ila naamini Uchumi sio hesabu. Haya ma-graphs ni techniques za serikali zetu kujionesha wanafanya jambo. Binafsi naamini...
2 Reactions
7 Replies
232 Views
Mwezi uliopita nilipata shida ya pesa nikaona kuliko kwenda kwa kausha damu bora niende NMB nikafanye top-up sababu nilikuwa tayari namkopo, lakini baada ya kuchungulia account yangu wananiambia...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Umuofia kwenu, kwa takribani miezi minne sasa nilishuhudia mbegu mpya kabisa ya panya nyumbani kwangu. Panya hao wana muonekano tofauti na hawa wetu na cha ajabu kabisa wanawawinda panya wale wa...
13 Reactions
69 Replies
4K Views
Mm ni mtanzania, mzalendo, mwenye uwezo usiotiliwa mashaka nina elimu ya shahada ya uhandisi wa mitambo,ni mwana ccm toka mwaka 2008 hadi sasa, ni mtiifu, mwaminifu, mwadilifu Naomba kuteuliwa...
8 Reactions
59 Replies
1K Views
Wauguzi katika Hospitali ya Wazazi Mwembeladu Zanzibar wamesimamishwa kazi kwa muda wa wiki mbili ili kupisha uchunguzi kufuatia mama kujifungulia mtoto chooni baada ya kupata uchungu akiwa...
1 Reactions
6 Replies
400 Views
Wakili na Mwanasheria wa Jeshi la Polisi nchini Kamisheni ya Zanzibar, Sadik Ali Sultan amesema wanaokubali kuingiliwa kinyume na maumbile wana makosa kwa mujibu wa sheria na wanastahiki...
2 Reactions
5 Replies
760 Views
Bei ya Bidhaa za Mafuta imepungua kwa Mwezi Septemba 2024 ambapo Bei ya Petroli imepungua kwa Tsh. 91, Tanga kwa Tsh. 88 na Mtwara imepungua Tsh. 162 kwa kila Lita Dar Petroli itauzwa kwa Tsh...
2 Reactions
7 Replies
902 Views
Hoja ya adhabu kwa wanaobaka watoto chini ya miaka 10, imeibuka bungeni mmoja wa Wabunge akitaka wanaotiwa hatia waondolewe uume. Mbunge wa Viti Maalumu, Rita Kabati amesema hayo leo Jumatano...
2 Reactions
0 Replies
261 Views
Have you ever asked yourself why only 1% of the world's population owns almost 96% of all the money that is being earned? ,why some people are so successfully in their endeavors and others are...
14 Reactions
63 Replies
12K Views
mwanadamu hapa dunia anao marafiki wa wili tu ambao bila kuwa nao huwezi uakaishi; Rafiki wa kwanza kabisa ni Mungu: huyu ndiye aliyetuumba wote sisi wanandamu tena kwa mfanon wake na kwa sura...
0 Reactions
8 Replies
486 Views
Mabadiliko ya muswada mpya wa sheria ya kodi umefanyika na sasa digital content creator watakua wanalipa kodi
1 Reactions
4 Replies
343 Views
Abiria waliokua wakisafiri na treni ya TAZARA kutoka Dar es salaam kwenda Mbeya wamepaza sauti zao kujua nini hatima ya safari yao baada ya kukaa stesheni ya treni Dar es salaam tangu jana...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom