Wakuu habari za jioni.
Nipo Gairo, nna safari ya kwenda Kiteto naombeni ushauri wa masuala muhimu.
1. Namna ya kufika huko toka hapa nilipo.
2. Gharama za kulala lodge na lodge nzuri na huduma...
Asante Muumba wa Mbingu na Ardhi 🙏🙏🙏
Napenda kuchukua fursa hii kuwasihi sisi sote kama Taifa na wananchi, wanajamii kwa Imani zetu zote tumshukuru Mungu kuzuia Ukamue msimu huu wa mwaka...
Wajameni naomba kujua mana natamani sana kuitwa Mchina. Au mchina ni special name kwa wachache tu. Mfano ukiomba uraia Marekani lazims uitwe mmarekani kama alivyo mange kimsmbi. Je china?
Kati ya vitu vinavyowatia hofu waTanzania wengi wanaotamani kupanda mlima ni pale wanapoona sisi wazoefu na watu wa milima tunabeba Mibegi mikubwa kama inavyoonekana katika picha.
Wanadhani nao...
The Service Provider Mdundo has scheduled repeat payments of amount 199Tsh every Day for 999 Days as payment for product Mdundo -Tsh199/Daily. Contact Vodacom Customer Care if you didnt subscribe...
Ukimya ni hazina iliyofichwa. Ukimya unaturuhusu kutazama, kufikiria, kuelewa, na kuunganishwa na hekima yetu ya ndani. Wakati mwingine ni muhimu kunyamaza ili kupata majibu na kugundua mitazamo...
Kwa nini Airport ya Dar es Salaam huwa hawauzi Ugali, ubwabwa kama wa mtaani, pilau, ndizi, mchicha, metembele, magimbi, mihogo, viazi vitamu, dagaa, chips mayai(zege) na vyakula vingine vya aina...
Mzee mwenye umri wa miaka 50 Mkazi wa Olgolai Kata ya Kiutu Arumeru Mzee Peniel maarufu kama (mzee my friend) anatuhumiwa kulawiti watoto 6 na wengine aliokua akiwachezea sehem zao za siri...
Sina kazi karibu mwaka wa pili sasa. Kula yangu ni ya shida pakulala ni shida kila kitu kimekuwa shida.
Nimekuwa na mipango mingi lakini nashindwa fanya lolote sababu pesa sina kabisa.
Lakini...
Serikali itumie teknolojia mpya ambazo zinaweza kusaidia kupunguza ajali za barabarani:
1. Kamera za Ufuatiliaji:
Kamera za kisasa zinaweza kuwekwa kwenye barabara na magari ili kurekodi matukio...
Wazazi toeni pesa za pension ili tuweze kujiajiri huku tukisubiri mchongo itiki , mtu amesom shahada ya uhandisi wa Mitambo hana mchongo bado, hajateuliwa bado,
Watu tuna idea za kufanya ila ndio...
Leo ilibidi nikathibitishe fursa wanazomwaga redioni hawa jamaa kua unapata credit card nk. Mara ooh wanapokea wanachuo kwa kuwapa fursa ya mkopo pale wanapohitaji kuanza maisha.
Kumbe daah...
Mnamo tarehe 30 Agosti 2024, tuliona ongezeko la hali isiyo ya kawaida kwenye mitandao kadhaa nchini Tanzania, ikionyesha kuwa upatikanaji wa Twitter/X ulizuiliwa kwa watumiaji wengi nchini...
Habari wakuu!
Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, yaani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, in short yaani ni...
Natamani sana kufanya hii kitu kwa adventures tu ata nikifa umo sio mbaya, embu nielekezeni sehemu gani yanye mapango ambayo watu huingia umo na kutokea sehem ingine
Yawe yenye njia nyembamba...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 3, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping katika Ukumbi wa The Great...
Malalamiko ya mifumo ya kikodi maeneo ya mipakani kutokuwa rafiki, kumewasukuma wafanyabiashara wilayani Ngara, mkoani Kagera kuwasilisha kero hiyo kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa bungeni, jijini...
Jana Machi 26, 2024 nikiwa kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kivukoni, kulikuwa na nyomi la hatari mida ya jioni, mabasi mengi yalikuwa yamepaki pembeni na machache yaliyokuja hayakukidhi haja ya...
Marekani / ulaya / Australia / Canada yani kwa ufupi nchi za wazungu kuna ajira nyingi sana, kupata pesa ni juhudi zako tu, ni kawaida kukuta mtu anafanya kazi za kipato cha chini zisizohitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.