Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ni mimi wako Uwesutanzania. Kwa tafiti fupi niliyoifanya hivi karibuni inaonyesha kuwa (WAZEE WENGI HUFA KWA NJAA). Naam ni njaa. Nimegundua kuwa Binadamu wengi huwa tunakuja kuzalauliwa sana...
18 Reactions
91 Replies
3K Views
Wapo Radio baadhi yetu hupenda kusikiliza vipindi vya Matukio na Magazeti, ila tukakwazika kwenye kipindi cha magazeti ambapo msomaji anakiteka na kuacha kusoma magazeti na kuanza porojo zake...
2 Reactions
2 Replies
227 Views
Niliwahi kuhudhuria ibada ambayo mchungaji Peter John wa Kanisa la Waadventista Wasabato alihubiri na kufundisha kuhusu Taifa la Mungu ndio nikaelewa vyema kuhusu suala la Israel (nitajitahidi...
3 Reactions
2 Replies
304 Views
Ikiwa ni mwendelezo wa mafunzo kwa askari wanawake na wasimamizi wa sheria duniani yanayoendelea Chicago nchini Marekani, Kamishna wa Polisi Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu Tanzania...
2 Reactions
2 Replies
307 Views
Kwa mfano, Mwamaume wa Uganda na binti wa Kinywaranda wamezamia nchini na kuishi kama mume na mke. Ikitokea baada ya miaka mingi wakagubdulika kuwa ni wahamiqji haramu, nini itakuwa hatma ya...
1 Reactions
6 Replies
394 Views
Kabla hujafa tambua huu ukweli wa kila mtu anakabiliwa na shida. Sio wewe pekee unayepitia changamoto. Hakuna mtu aliye salama kutokana na shida. Pesa, nguvu na kutembea na walinzi hakuwezi...
4 Reactions
23 Replies
530 Views
Ni dhahiri halmashi zetu zinajitahidi kuweka mazingira safi lakini ni vyema zaidi usafi kufanyika asubuhi mapema. Hili litasaidia kupunguza foleni Barabarani na kuhatarisha maisha ya wale WAFANYA...
0 Reactions
0 Replies
150 Views
Nayaomba makampuni ya simu yote, nchini kwetu, yaimarishe pin zake katika huduma za kifedha, badala ya 1234 au 1978 au 1785, waboreshe na kuwa #25j au@@01 au%21@ hili litasaidia sana katika...
1 Reactions
1 Replies
211 Views
Mifumo ya kibiashara ya Kiislamu ina faida nyingi kwa nchi, hasa katika maendeleo ya kiuchumi. Hapa kuna baadhi ya faida kuu za kiuchumi zinazoweza kupatikana kwa kutumia mifumo hii: 1. Kukuza...
0 Reactions
4 Replies
395 Views
Vioo tunavyotumia kujitazamia au vilivyoko ktk nyumba zetu inasemekana kuwa na uwezo mkubwa wa kiroho. Soma hapa na utoe maoni yako. Kioo ni kitu ambacho kinatakiwa kutunzwa na kutazamwa kwa...
14 Reactions
111 Replies
16K Views
Jamii yeyote ile yenye heshima na maendeleo lazima iwe na sheria. Hata ukiona watoto wa jirani yako wanaheshima na maendeleo jua kuna sheria zinawaongoza katika familia ile na sio maombi ya...
4 Reactions
5 Replies
200 Views
Huwa naona watu wanapongezwa, wanapongezana au hata kumshukuru Mungu kwa shukrani zote kwa: 1. Kupanda ndege 2. Kuonekana kwenye TV 3. Kufika nchi ya nje na Tanzania 4. Kupata likes au...
4 Reactions
23 Replies
706 Views
Taarifa iliyotolewa na mamlaka ya udhibitui wa huduma za nishati na maji (EWURA) inaonesha kwanzia leo September 4, 2024 zimeshuka katika mikoa yote nchini. sababu za kushuka kwa bei yaPetroli na...
2 Reactions
10 Replies
476 Views
Siyo mpenzi sana wa kufuatilia wala kuongelea maisha binafsi ya mtu ila hili naomba nitoe kama angalizo kwa muhusika tajwa ila inaweza kufaidisha na wengine. Mwijaku amekuwa na tabia ya kupost...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk Doto Biteko na Waziri wa Nishati wa Ubelgiji, Tinne Van Straeten wamekubaliana kishirikiana katika sekta hiyo hususani matumizi ya nishati safi ya...
2 Reactions
1 Replies
195 Views
Mojawapo wa vizazi vya duniani ni kizazi cha wachawi washirika na walozi. Hii ni jamii inayofanya kila mbinu kujitanua na kujijengea himaya kubwa na yenye nguvu zaidi duniani. Kwenye ulimwengu wa...
53 Reactions
299 Replies
69K Views
TFS YAPONGEZWA KWA KAZI NZURI YA ULINZI WA MISITU Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) ameipongeza Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa jitihada zake za...
0 Reactions
2 Replies
307 Views
Wachina wanaofanyakazi, wanakusanya Kodi na kulinda Kodi kwa nguvu zao zote. Mhujumu ananyongwa. Je, Africa watu wao wanafanyakazi, kukusanya kodi na kulinda Kodi ya wananchi wao?
5 Reactions
16 Replies
648 Views
Tanzania inalenga kuongeza upatikanaji wa nishati ya umeme nchini kufuatia mpango wa kuanza kununua nishati hiyo kutoka Ethiopia. Tayari mamlaka za nishati kutoka nchi hizo mbili zipo kwenye meza...
6 Reactions
74 Replies
2K Views
Kutokana na vitendo vya ukatili vinavyoendelea nchini dhidi ya watoto ,Bunge limeeleza kua serikali inatarajia kuleta muswada wa marekebisho ya sheria ya ulinzi na usalama kwa mtoto. Lengo la...
2 Reactions
1 Replies
297 Views
Back
Top Bottom