Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hadithi ya Mwanga wa Upendo Katika kijiji kidogo kilichozungukwa na milima ya kijani kibichi, aliishi msichana mdogo aitwaye Amina. Amina alikuwa na umri wa miaka kumi na moja, na alikuwa na...
2 Reactions
0 Replies
365 Views
KUNA MUDA MTAA UNAKUFUNZA MPAKA HATA ULIVYOSEMA HAVIFAI NAVYO HUVIONI. Kuna muda njaa inakuchapa mpaka unakumbuka chakula ulichokitupa kwa kigezo cha kuchacha au ni kiporo. Kuna muda mtaa...
6 Reactions
13 Replies
456 Views
Habari za kazi kaka tunaomba utupazie sauti tuweze kufahamu sheria pamoja na utaratibu wa sekretarieti ya ajira utumishi katika mchakato wa usahili Hivi karibuni 1/09/2024 zilitangazwa ajira za...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wengi wetu tumewahi kusikia vikundi vya kishirikina, vya kihaini, vya michezo na ushirikiano wa aina mbali mbali. Kiuchumi na Kijamii. Mfano kuna Freemasons, Mafia, Yakuza, Templer Knights, Skull...
9 Reactions
153 Replies
9K Views
NB: Video hii ni kumbukizi wakati wa Kampeni za Uchaguzi mwaka 2020 Huyu kiongozi ana mkashifu Mwenyezi Mungu, oky sikiliza mpaka mwisho.👇 "…sikiliza ana mpango gani na tawi lake halafu...
2 Reactions
15 Replies
847 Views
Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul amesema kiwango cha adhabu kilichopendekezwa kwenye Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Ushindani wa Mwaka 2024, kwa wafanyabiashara watakaoshindwa...
1 Reactions
8 Replies
511 Views
Mwaka 2023 na mwaka 2024, mabenki mengi yalitangaza kupata super profits na yakatoa gawio kubwa kwa wanahisa. Cha ajabu saana, pamoja na kutangaza super profits na ongezeko la mitaji ya mabenki...
3 Reactions
8 Replies
486 Views
Habarini wakuu, Naomba kufahamu kuhusu madaraka ya wenyeviti wa bodi kwenye mashirika/taasisi za umma hasa kwenye ajira. Je, mwenyekiti wa bodi anayo mamlaka ya kuajiri au kufanya recommendation...
0 Reactions
6 Replies
389 Views
Kula hiki kitabu, Kitakufundisha jinsi ya kuishi na kuendana na watu wenye personality ngumu, Watu wasiopatana na watu, watu wakorofi, Watu hawa unakuta hatuwezi kuwaepuka kwan mara nyingi...
2 Reactions
2 Replies
332 Views
Katika mpango wangu wa kuwahamasisha watanzania kutembelea vivutio mbalimbali ndani ya nchi yetu, kutembelea mikoa na maeneo ya kihistoria niliamua pia kujaribu kufikia sehemu hizo kama mfano kwa...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwanaharakati wa haki za wanawake na mjasiriamali Joyce Kiria, amesema sababu ya Ndoa yake ya kwanza kuvunjika ni kwakuwa hakuingia kwenye Ndoa hiyo kwa Upendo bali ni kwakuwa hakua sawa kiuchumi...
16 Reactions
118 Replies
4K Views
Habari wana jukwaa, Nimeandaa miradi miwili ya usalama barabarani. Mmoja unahusu bodaboda na mwingine unahusu watoto walio shuleni [shule za msingi]. Inaohusu zaidi elimu ya usalama barabarani na...
0 Reactions
3 Replies
247 Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Viongozi Wakuu wa nchi za Afrika na China, mkutano unaotarajiwa kuanza Septemba 4-6, 2024 nchini China. Atashiriki...
1 Reactions
7 Replies
312 Views
Mke wa "Kiboko ya Wachawi" amwangukia Rais Samia amrudishie mume wake aidha "Ninachokiomba mama unirudidhie mume wangu mimi ni mama wa Watoto wawili, Watoto wangu bado wadogo, wanaitaji malezi ya...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Chief Nyerere amefariki katika ajali ya boda boda, alikuwa abiria kwenye boda boda usiku wa kuamkia leo Jumamosi. Ajali imetokea jana, amefariki leo. Amefariki hospitali baada ya juhudi za...
15 Reactions
112 Replies
13K Views
1. Mara punde baada ya mkeka kuchanika unatamani uweke mwingine ili urudishe pesa yako 2. Baada ya kuliwa unasema naweka mkeka wa mwisho then nikiliwa naacha baada ya siku mbili tatu ukipata pesa...
2 Reactions
58 Replies
17K Views
Na Mwandishi wetu. Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Mara, Simiyu na baadhi ya halmashauri za mkoa wa Manyara utafanyika kwa siku saba kuanzia kesho tarehe 04 hadi 10...
0 Reactions
1 Replies
248 Views
BASHUNGWA ATOA WITO KWA WATANZANIA KUJITOKEZA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa watanzania wenye sifa za...
1 Reactions
5 Replies
407 Views
Huu mwezi kumetokea matukio mengi kwa Walimu na wanafunzi, Walimu wakitoa vipigo vikali sana kwa wanafunzi, wanafunzi wakipokea ngumi chembe kidevu, ngumi za macho, fimbo 50. Sikatai wanafunzi...
9 Reactions
25 Replies
913 Views
TAARIFA KWA UMMA HITILAFU YA UMEME KATI YA KILOSA NA KIDETE Dar es Salaam, Tarehe 31 Julai 2024 Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kufuatia hitilafu ya umeme iliyojitokeza kati ya...
11 Reactions
197 Replies
6K Views
Back
Top Bottom