Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Upande wa wanyama naelewa, ila hapa kwenye shangazi kaja haijaingia akilini kabisa! Kwamba anayetumia begi/mfuko wa shangazi kaja, huo mfuko unahesabika kama silaha? Au mtu akibeba shangazi kaja...
18 Reactions
122 Replies
16K Views
Habari za mchana wakuu, Wilaya ya ROMBO mkoani KILIMANJARO ni wilaya pekee nchini ambayo kata zote, vijiji vyote na vitongoji vyote vina umeme Haya ni maendeleo makubwa sana. Hongereni ROMBO...
22 Reactions
338 Replies
28K Views
Tukiwa bado tunasherehekea kuteuliwa Kwa Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa ambae ataapishwa huko Vatican tarehe 30 Septemba. Ni vema kutambua Makardinali ndio humchagua Papa, kupitia haki hiyo...
10 Reactions
60 Replies
8K Views
Huwa nikikaa mtandaoni naona kila mtu analeta nyuzi eti watanzania wamelala wakati na lenyewe ni litanzania, mara gen z ya bongo hamna kitu kazi simba na yanga wakati na lenyewe lilikua kijana...
1 Reactions
6 Replies
322 Views
Sometimes kuna kampuni zinakuwa zinakupa huduma Bora Sana lakini unashindwa kuona Hadi unapoenda kwingineko ukapata huduma mbovu ndo unagundua kumbe wale wengine wako class's ya juu sana...
52 Reactions
63 Replies
8K Views
Unawezaje kujua kuwa huu ndo wakati wa MUNGU?
1 Reactions
5 Replies
332 Views
Imeelezwa kuwa milango ambayo iling’olewa na Mkandarasi katika Kituo cha Afya cha Bulige, Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, ilirejeshwa na shughuli zinaendelea kama kawaida. Awali Mkandarasi...
2 Reactions
10 Replies
396 Views
MAPAMBANO YA SIRINI. Jambo la msingi sana kutambua kwenye haya maisha ni kwamba haijalishi unamuona mtu yuko vizuri ama amefanikiwa kwa kiasi gani tambua yuko na mapambano yake sirini, na...
3 Reactions
6 Replies
409 Views
Leo mida fulani nimepigiwa na wife ananiuliza Mtendaji wa Kata anakuhitaji uende ukamuone ofisini kwani umefanya kosa gani? Nikasema sijui maana sikumbuki kama nna kosa lolote ngoja niende...
0 Reactions
20 Replies
575 Views
Wafanyabiashara wanaokota nguo jalalani na kwenda kuziuza tena masokoni wametaja baadhi ya changamoto ambazo hukutana Nazo huko majalalani. Maiti za watoto wachanga walioviringishwa kwenye nguo...
0 Reactions
8 Replies
366 Views
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kwamba shambulizi la Urusi limeua zaidi ya watu 40, na kujeruhi wengine 180, katikamji wa Poltava wa Ukraine. Rais Zelensky, ambaye anasema ripoti ya...
0 Reactions
0 Replies
270 Views
US inaongoza ikifuatiwa na China. Watu duniani wanapenda bata siyo kuzunguka maporini.
2 Reactions
20 Replies
476 Views
Hili wimbi la watu kulawiti watoto mbona limeanza kua kama fashion, saizi kila mtu anaona sifa kuonekana mitandaoni, mimi nashauri serikali ijaribu kufanya namna yoyote ili adhabu kali iwepo...
2 Reactions
9 Replies
245 Views
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 67) ,kwa Wananchi ambao nyumba zao zipo...
2 Reactions
1 Replies
331 Views
Serikali Mkoa wa Tabora imekamata shehena ya vitabu vyenye machapisho ya kufundisha na kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume na wanawake ambavyo vilikuwa mbioni kuanza...
11 Reactions
102 Replies
7K Views
Kijana mwenzangu; 1. Hofu inamaliza Ndoto zako 2. Wivu unapoteza Amani yako 3. Hasira inaondoa Busara zako 4. Uzembe unaua Malengo yako 5. Uwoga unasitisha Ujasiri wako 6. Majivuno yanakuondolea...
3 Reactions
1 Replies
310 Views
Wakuu na Imani ni wazima wa Afya swali langu hivi Mtu ambaye Hana Dini akiteuliwa huwa anaapa kwa namna gani ? Kwa Mfano pale Mahakamani anaitwa kutoa ushahidi anaapa vipi
1 Reactions
1 Replies
209 Views
Wakati Serikali inapambana kuhamisha kwenye Mifumo zaidi na kupunguza "paper work" kuboresha ufanisia wa kazi. Mabenki yanapambania fursa za kuboresha maisha ya watumishi kwa njia ya mikopo. Hivyo...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Kwanza, tafadhali isome barua hii kwa niaba ya watanzania wote wanaotumaini katika ukuaji wa sekta ya posta nchini. Tarehe: 2Sept2024 Kwa: Bw. Macrice Daniel Mbodo Postamasta Mkuu, Shirika la...
1 Reactions
2 Replies
476 Views
Back
Top Bottom