Natumai mko salama. Ningependa kushiriki nanyi wana Jf kuhusu hali yangu ya kifedha na biashara yangu. Biashara yangu imekuwa ikifanya kazi kwa mwaka sasa, lakini mapato yameanza kupungua kutoka...
NAKUPENDA SANA KIJIJINI KWETU
Tulio wengi Tumetokea kijijini kama sio sisi basi wazazi wetu na kama sio wazazi wetu basi hata babu na bibi zetu.
Sisi ni wale watoto wa tabaka la walio wengi...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imesema moja ya Wajibu wake ni kuendelea kuhamasisha ikiwemo kutoa Elimu ya Mlipakodi kwa Watanzania ili watambue thamani na Umuhimu wa Kufanya hivyo ikiwa ni kwa...
Huwa nafuatiilia mafundisho yako redioni kuona nini unafundisha. Jana kuna mafundisho kuhusu amri ipi iliyo kuu umeteleza. Jibu la Yesu ni: KATIKA AMRI HIZI HUTEGEMEA TORATI YOTE NA MANABII. Wewe...
#AFYA: Wataalamu wa Afya wameonya kuhusu matumizi makubwa ya Dawa za Kuondoa Maumivu zikiwemo Diclopar na Diclofenac na kueleza kuwa yanasababisha madhara kwenye Figo ambapo mtu anayepata athari...
Unaweza kushangaa na hata kujiuliza kwamba mtu mchawi anawezaje kupigwa kujeruhiwa na hata kuuliwa na watu wa kawaida kabisa wasio wachawi
Kuna baadhi ya mambo ni lazima uvae vazi maalum yani...
Mshukiwa wa mauaji Kevin Kang'ethe amesafirishwa kutoka Kenya hadi Marekani kujibu mashtaka ya kumuua mpenzi wake Margaret Mbitu.
Kupitia idhini ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) Renson...
Huu sio ushauri wa maisha! Ama niseme kwa lugha 'tata' kidogo kwamba, hiki ninachoandika - ambacho wewe unakisoma, sio lazima ukizingatie. Sijalenga kutoa ushauri kwa mtu yeyote, ila nimeamka leo...
Wala siwezi kuwa kama wengine wanaowatisha watu kuwa huku maisha magumu. Mgumu ni wewe. Vitisho mnavyosikia kuwa maisha ya Marekani ni magumu, ni sawa na vitisho vya watu wa Dar kwa watu wa mkoani...
Habarini Wadau,
Hiki ninachokiandika nina uhakika na Ushahidi nacho, Juzi...kama two weeks ago au mwezi kulikuwa na Tamasha kubwa sana la Kiislam lililohusisha Watu wa jinsia zote...na Walialika...
Nijuavyo mimi ma professional wakweli hawatakagi kupangiwa na wanasiasa hasa kama kinachopangwa ni kinyume na taaluma yao.
Kwanini polisi wakiambiwa kamata wanakamata kweli wakati wanajua wazi...
Kama mjuavyo mkutano wa 9 wa Ushirikiano wa China na Afrika unaanza Karibuni.
Je kama Taifa Nani anatuwakilisha huko? Boeing 787 kwa hewa hadi China?
I'm sorry Januari!
NB: Katibu Mkuu wa...
Picha: Pinterest
Mwandishi wa Sianca Sparacino katika kitabu chake cha "The Strength in our scars" anasema kuwa, kovu lako ni kumbukumbu ya mapambano uliyopitia na nguvu uliyo nayo. Lipokee kwa...
Ni nadra kuwakuta ila wapo na watu huwadhania ni jinsia tofauti ni mpaka wakijuzwa zaidi lakini mijadala huanza "huyu ni mwanaume kweli?" "huyu ni mwanamke kweli?"
Unamkuta mwanaume ana hormone...
Katika Hali isiyokuwa ya kawaida, Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Dodoma Mjini na Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya Jumapili tarehe 1 September 2024 walimbatana na wananchi waliovamia Kanisa la AGGCI...
Inasikitisha kuona Serikali inafukuza Watumishi wake waliowakopesha Nyumba Kwa Nguvu Kwa kushindwa kulipa deni lote ndani ya Mikataba wa Miaka 3-7. Imagine ameuziwa Nyumba Semi finished, aifanyie...
Dharau ambazo anazifanya kwa Watanzania na hata Kututukana Matusi kwa Makosa ya Wapumbavu kadhaa wa Kiimani kumuamini na kwenda Kanisani Kwake GENTAMYCINE nina uhakika angeifanya Rwanda kwa Kagame...
Huyu kijana mhuburi nimemuona akishika kasi kwenye mitandao ya kijamii siku za hivi karibuni. Sehemu kubwa ya mahuburi yake yamejikita katika kuonyosha kizazi cha sasa kinakabiliwa na mashambulizi...
Habari!
Nilipomaliza form 6 zikatoka nafasi za kwenda jeshi wanaita "kwa mujibu" basi nikaangaza macho yangu kwenye orodha nikaona "Ephen - Rukwa"
Basi nikafurahi sana, furaha haikua kwasababu...
Nikianza na Mali ghafi za misutuni
Mbao ya mti Wa Muninga ya 1×10 inauzwa elf 75000-95000 kwa ubao mmoja; yaani kitanda cha kawaida kabisa mtu bongo unauziwa 950000/=
Mti Wa mkongo napo fenicha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.