Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
SOMO LA MALI KWA WANANDOA KWA KILICHOTOKEA KWA ACHRAF HAKIMI NA MKEWE. Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mke wa ACHRAF HAKIMI ameshindwa kupewa mali yoyote baada ya ndoa yao kuvunjika...
31 Reactions
284 Replies
14K Views
Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran? Au ni vigumu kuihifidhali? Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie. Hichi kitabu kinahifadhika?
16 Reactions
272 Replies
5K Views
Twende kazi jamaa angu!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Image Source: Pinterest Mtu mmoja aliwahi kusema kuwa, "Walimu wanaotanguliza uhusiano sio tu kuwa na wanafunzi kwa mwaka mmoja. Wana wanafunzi wanaowaona kama mwalimu wao wa Maisha" Mateso...
2 Reactions
10 Replies
461 Views
Kwa Wakristo katika agano la kale ambalo bado linazingatiwa kwa kiasi kikubwa na Wasabato kuna wanyama walikataza kuliwa maarufu zaidi akiwa nguruwe/kitimoto wengine ni kama Sungura na ngamia...
2 Reactions
33 Replies
892 Views
Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa ni Mkazi wa Bariadi katika Kata ya Muamatondo amedai kunachangamoto kubwa ya kukatikakatika kwa umeme hasa katika Kijiji cha Mwasinasi. Hoja...
1 Reactions
1 Replies
387 Views
Habari wanajamvi, katika maisha kweli kuna safari ndefu leo nimekumbuka zamani sana kipindi natafuta maisha nilipoanza kupanga kwenye nyumba za watu vile vioja vya hapa na pale. Mara mwenye...
3 Reactions
14 Replies
6K Views
Wakuu habari ya muda huu, ninahitaji mkopo wa laki 7 usio na riba na nitalipa kwa miezi 5(Kila awamu ni Tsh.140000 au zaidi). Dhamana ni hati ya kiwanja nilichonunua 2019 kwa Tsh 1.3M..Nipo...
5 Reactions
44 Replies
1K Views
Kama mtu amepata ujasiri wa kuonyesha maburungutu ya pesa mitandaoni, huku aonyeshi chanzo halali cha pesa hizo serikali isikalie hilo jambo kimya. Angalau watakwe kufanyiwa tax clearance wapewe...
6 Reactions
7 Replies
214 Views
Nimekutana na watu wazima kadhaa wenye ujuzi katika eneo fulani, tatizo kubwa ni kwamba watu hao ni wavivu na tegemezi. Fikiria unamuita mtu ili akufanyie kazi fulani ambayo utamlipa, halafu mtu...
8 Reactions
22 Replies
545 Views
Hii ni kwa baadhi ya Shule za Msingi zinazofanya hivyo. Hii inatisha sana kwa sababu watoto hutia huruma wakati wengine wakiwa nje na mawazo Mengi sana. Niliwahi kufanya utafiti kidogo wa...
5 Reactions
51 Replies
1K Views
Ndugu Wana JF, Nataka tushirikishane kuhusu matukio ambayo yaliwahi kutokea yakafanya niamini uwepo wa Mwenyezi Mungu. Mimi binafsi, kama muumini wa dini ya RC, kuna kipindi mdogo wangu aliwahi...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Picha: Pinterest Tangu umekua na kujitambua kila mtu unayekutana naye huuliza una kazi, una nyumba au umeoa au utaoa/ kuolewa lini. Maskini hukuna anayewahi kukuambia ikiwa una furaha au laaa...
2 Reactions
5 Replies
226 Views
Mnasemaga wanajeshi wa Tanzanaia hawaruhusiwi kufuga ndevu? Wait… Leo katika maadhimisho ya miaka 60 ya mapinduzi matukufu ya Zanzibar nimemuona mwanajeshi ana ndevu. Kitaalam imekaaje
3 Reactions
65 Replies
42K Views
Baada ya kukaa saiti miezi mitatu huko polini kondoa pasipo kuingia internet, Hatimaye leo tumerejea Dar es salaam! Tuko huru kama kuna kazi umeme na ujenzi nipigie 0711756341 Nimerudi mjini...
5 Reactions
20 Replies
992 Views
Nina ajira tayari lakini sioni nikifika mbali, 1.6x million take home baada ya makato Kwa nchi kama Marekani wamarekani weusi wengi hawajaelimika, fursa hizi zinawapita, wameharibika na utamaduni...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Polisi wameshindwa kufukua mwili unaodaiwa kuzikwa kimakosa katika kitongoji cha Dungi, Kijiji cha Kibosho Kindi, Wilaya ya Moshi, baada ya ndugu kudai hawana taarifa hiyo na kutaka waonyeshwe...
1 Reactions
1 Replies
407 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ipo katika hatua za mwisho za kusaini Mkataba wa Ujenzi wa Daraja katika eneo la Jangwani jijini Dar es salaam ambapo mkataba...
0 Reactions
1 Replies
472 Views
Kwa namna huyu jamaa anavyowananga watz, hivi Serikali imekosa kosa lolote analoweza kuwa alifanya, hata money laundering au lolote tu analoweza kufunguliwa hapa, tukatuma maombi ya extradition...
5 Reactions
22 Replies
933 Views
Kutokana na speed ya miji kupanuka bila kuwa na mpangilio mzuri na pia maeneo ya wazi kuuzwa au kutokuwepo kabisa nashauri ianzishwe mamlaka ya mipango miji na maeneo ya wazi
2 Reactions
0 Replies
154 Views
Back
Top Bottom