Katibu Tawala wa Wilaya ya Mvomero, Said Nguya amewasisitiza wazazi kuwa hakuna akili za kurithi kwa mtoto, sababu uwezo wa akili hutokana na lishe bora tangu mama anapopata ujauzito.
Nguya...
Wasalaam wana JF,
Niende moja kwa moja kwenye mada, suala la walimu kama wametengwa ni jambo la kusikitisha sana. Bahati mbaya watu wameamua kwa makusudi kuwakejeli na kuwaona ni daraja la mwisho...
Wakuu Mr. Price yamewashinda kwa mara nyingine tena, wanafunga duka moja kwa moja.
Pia soma: Nakumat yainunua Shoprite Tanzania
Mazingira ya biashara bongo ni magumu sana au wenyewe ndio ndio...
Sote tunaumizwa na ajali za kila mara zinazopelekea kupoteza nguvu kazi na hasa Vijana wa Kitanzania.
Polisi wa Usalam barabarani wamekuwa wakijitahidi sana kupunguza ajali hizi lakini kwa...
Ndoto nimeiota siku tatu zilizopita. Namaanisha tarehe 16 Agosti 2024.
Mazingira ya jijj, sijajua ni jiji gani
Tukio la shambulizi la kigaidi
Raia wanasaidiana na vyombo vya ulinzi na usalama...
Ushindani wa kibiashara ya usafirishaji unazidi kushika Kasi kutokana na Kila Nchi kuzidi kuboresha miundombinu yake Ili kuvutia wafanyabiashara wa Nchi zisizo na Bandari.
Marais wa Nchi za...
Leo tumeshuhudia miaka 60 ya jeshi letu, tumefurahi, tumekunywa na tumekula. Hongereni sana.
Changamoto yangu katika jeshi letu limewasahau wazee wetu waliopigana vita vya Kagera pasipo kuwapa...
Sote tu Mashuhuda wazuri wa baadhi ya habari zinazotangazwa katika Vyombo vya habari na Mitandao ya Kijamii kuhusu Kesi zinazoendelea, ambapo kuna baadhi ya kesi nyingi hushtakiwa nazo watu...
Kwa sasa huwa naangalia Star TV vipindi 2 tu; Medani za Siasa na BBC ambacho Star TV wanakipitisha tu kwenye kituo chao.
Star TV kwisha kabisa haina vipindi vyenye mvuto zaidi ya Medani za Siasa...
Naliinua na kulitukuza jina lako We Bwana, Baba Muumba wa vyote vyenye uhai na visivyo hai.
Habari zangu ndugu zangu, imekuwa karibu miezi miwili nikiwa kimya hapa jukwaani, sababu hasa za ukimya...
Huku Bariadi kata ya Muamatondo hasa kijiji cha Mwasinasi umeme umekuwa kero toka wakati wa mgao hadi kuwashwa kwa mitambo ya Bwawa la mwl Nyerere. Yaani kwa siku wanakata hata zaidi ya mara saba...
Wanabodi
Nina jambo nimepenyezewa na mdau wa Wizara ya Uvuvi kuhusu mchakato wa mabadiliko ya Sheria ya Uvuvi hasa ufugaji wa samaki au viumbe wa majini.
Unaambiwa Waheshimiwa wa hiyo Wizara...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kote nchini kuhakikisha wanafunzi walio katika shule zote za kutwa za umma...
CHICAGO, MAREKANI Katika Picha ni washiriki wa Mkutano wa Mafunzo ya Shirikisho la Askari wa kike na wasimamizi wa sheria wakifuatilia ufunguzi wa mafunzo yaliyolenga kuwajengea uwezo wa...
Habari za Asubuhi mlio hai na kupata uzima wenye Nuru na baraka kutoka kwa Mungu Mwenye mamlaka ya dunia hii.
Leo Asubuhi Wakati naelekea kwenye mazoezi ya kuweka mwili fiti kidogo nilibahatika...
Ipo hivi, kuna sehemu nimetoka kununua uwanja almost miezi kama miwili sasa.
Kinachoshangaza na kuanza kuingia na hofu ni hili tukio, kuna sehemu nikifika gari inapungua nguvu automatic na kuzima...
Leo, hapa acha tuangalie tabia zinazohusishwa na watu waliozaliwa mwezi Septemba.
Watu hawa wanajulikana kwa uchangamfu wao na uwezo wa kujichanganya na wengine, na mara nyingi wanatajwa kuwa na...
Naripoti kutoka Morogoro manispaa:
Kumekuwa na changamoto kwa wakazi wa manispaa ya Morogoro kutozwa ushuru wa maegesho ya magari na watu wa halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kinyume na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.