Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema Tanzania inakaribisha wawekezaji wote wa madini mkakati na kuweka msisitizo kwamba uongezaji thamani wa madin hayo mkakati lazima ufanyike Tanzania...
Azam tv kwema,
Hamtutendei haki watumiaji wa visimbuzi vya antena tunalipa gharama sawa na watumiaji wa dish lkn channel za antena nichache embu ziongezeni na pia hamtutendei haki wateja wenu kwa...
Ukiwa mtu ambae umesafiri sana nje ya nchi,nchi tofauti tofauti utaungana namimi katika hili.
Bongo mtu kaandika namba ya huduma kwenye bango, hiyo namba ukiipiga imewekwa busy au haiko active...
Serikali ya Tanzania imezungumzia suala la utapeli mitandaoni kwamba Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaendelea kudhibiti usajili wa laini za simu kwa umakini mkubwa.
Kauli hiyo imetolewa...
AFISA MTENDAJI - PUGU KINYAMWEZI AHUKUMIWA KWA RUSHWA
Mnamo tarehe 30/08/2024 imetolewa hukumu ya kesi ya Jinai namba 96/2023 mbele ya Mheshimiwa Hakimu Mkazi Mwandamizi Bittony Mwakisu.*...
Jimbo la Louisiana limekuwa la kwanza nchini Marekani kuidhinisha sheria inayoruhusu kuhasiwa (kuwakata korodani) kwa wabakaji wa watoto, walio chini ya umri wa miaka 13 kama adhabu ya jinai...
Nchi ya Uganda ndiyo nchi inayoongoza kwa kuwa na maziwa mengi barani Africa. Ikiwa na maziwa 69. Ziwa linahesabiwa iwapo eneo la maji kwa kiwango cha chini ni ekari 5 na wakati mwingine kuanzia...
Mimi naanza.
•Alaaniwe kiongozi aliyeuza nyumba za serikali kwasababu yoyote ile. Nyumba zile ni za watumishi wa kawaida, wakaziuza kisha watumishi wakaanza kuishi kifukara lakini wao wenyewe...
Si mtu mwenye kitambi, ila sina fikra potofu na unyanyasaji juu ya wale wenzetu wenye vitambi (kwa lugha za vijana "watu wenye mgeni"). Bali ni mchambuzi tu wa kina kwenye maswala ya...
Mko salama nimepata wasaa mzuri Sana wa kuandika kisa hiki nimekaa nacho miaka mingi
Mnisamehe sio mwandishi mzuri
Nimesoma shule flani ya kata huko kijijini kwetu nakumbuka tulikuwa na mkuu...
Ni sawa kuwa na mtazamo tofauti lakini huyu dada wa kipindi cha nyuzi 360 huwa anapenda sana kutetea viongozi hasa pale wanapokua wametoa matamshi tatanishi.
Hata kama ni uchawa huu sasa utakua...
Kuna ajali mbaya sana imetokea baada ya kuvuka Njiapanda ya Tabata kwenda Buguruni kwenye daraja
Dereva wa daladala kagonga lori, yadaiwa dereva kafariki na watu waliokuwa wamekaa mbele pia...
Surah Al-Kahf (18:9-26): Katika aya hizi, Mwenyezi Mungu anasimulia kisa cha Ashab al-Kahf, ikiwemo hadithi yao ya kuingia pango na kulindwa na Mungu kwa miaka mingi. Hapa kuna baadhi ya aya...
By JF Senior Member
IN efforts to ensure that Tanzania successfully implements the four goals of achieving a Generation Equality program, the Forum for African Women Educationalists, Zanzibar...
Nchi hii sijui inakoelekea kila sehemu huduma ni mbovu. Niko CRDB tawi la USA-RIVER, Arusha tangia saa 3 asb, wateja ni wengi yuko mhudumu moja tu wakati madirisha yako zaidi ya 5. Wahudumu...
Wafanyakazi wa SGR - Lot 1 wameamua kufanya mgomo wakishinikiza malipo yao ya NSSF kuingizwa kwenye akaunti
Pia soma
~Yapi Merkezi: Hakuna Mfanyakazi wa SGR atakayefutwa kazi bila kulipwa...
Wazima kama swali linavyo uliza wakristo nitaomba majibu yenu kwanini YESU kristo aitwe Simba na si Mnyama mwingine mfano Tiger, Chui, Tembo au Nyati.
Najua humu kuna wataalam watakao tujibu...
Kama swali linavyo uliza kwanini mji wa Jerusalema kila mtu anaulilia kuna siri ipi iliyopo jerusalema wakati ukiangalia duniani Kuna miji iliyo jengwa kuzidi jerusalema.
Naandika haya nikijionea...
Hivi kama shirika ambalo liko chini ya naibu waziri mkuu iko hivi nani ataogopwa nchi hiii. Nilitaka kulipia kuunganishiwa umeme, nikajisajili, kufanyiwa survey na mwishowe nikatumiwa control...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.