Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari wakuu, Mimi nina eneo langu kibaha ,maeneo ya serikali ya mtaa viziwaziwa shuleni,, Ukubwa wa eneo ni nusu hekta.. Shida niliyonayo ni kwamba ,,nimekuta TANESCO KIBAHA wamepitisha wire...
3 Reactions
40 Replies
1K Views
Anonymous (d8b3)
Mimi nilifanya mafunzo ya internship nikiwa kama daktari katika hospitali ya Lugalo kuanzia Nov 2021 mpaka Nov 2022. Hospital ina utaratibu wa kulipa call allowances kwa madaktari na nurses...
3 Reactions
15 Replies
764 Views
Najiuliza swali kubwa Sana. Hivi inteligensia ya Polisi wa Tanzania ni Kwa CHADEMA tu?. Yani CHADEMA ndio pekee wanaomulikwa na polisi? Binti anabakwa na vijana Sita na polisi hawajui mpaka Video...
8 Reactions
30 Replies
856 Views
Changamoto ya uhaba wa mashine za kuchakata Mkonge (korona) inayowakabili wakulima katika maeneo yao inatarajiwa kuwa historia hatua itakayochochea ongezeko la uzalishaji wa zao hilo. Hatua hiyo...
1 Reactions
2 Replies
416 Views
Kwakweli serikali ndo maana inabweteka haipati presha maana wananchi wengi ni vihiyo. Hebu angalia maoni haya ya wananchi.😁😁😁😁
22 Reactions
69 Replies
2K Views
Historia ya Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lilianzishwa rasmi tarehe 1 Septemba 1964, baada ya kuundwa kwa Muungano wa Tanganyika Rifles (TR) na vikosi...
1 Reactions
4 Replies
526 Views
Safari ya kutafuta furaha ya Kweli. RATANJI TATA: Bilionea wa India Ratanji Tata alipoulizwa na mtangazaji wa redio katika mahojiano ya simu: Bwana, unakumbuka nini ulipopata furaha zaidi...
4 Reactions
5 Replies
297 Views
1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi. 2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha. 3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi. 4. Mwambie...
12 Reactions
14 Replies
744 Views
Jamani ukipiga Airtel kwenda matandao mwingien yeyote yaani hamuwezi kusilizana,sijui kwanini Airtel huduma zimaenza kuwa mbovu hivi?TCRA mmemchukua hatua zipi?
1 Reactions
5 Replies
203 Views
Mtu tajiri wa Kiarabu alikwenda kusoma Ujerumani. Baada ya mwezi wa masomo, alimwandikia baba yake barua akimwambia: “Baba, Berlin ni jiji lenye kupendeza sana, na watu wananihurumia sana...
5 Reactions
8 Replies
625 Views
Katika ulimwengu wa leo hakuna mtu anayeweza kujitenga na vifaa vya kielektroniki. Watu wengi wanaamini kuwa vifaa vya umeme wanavyotumia vinaweza kuwasaidia kufanya kazi zao vizuri na huu ni...
33 Reactions
114 Replies
21K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kwa mujibu wa Biblia wapo Manabii na Mitume wengi walokuwa na mahusiano na wajakazi au masuria hadi kuzaa nao huku wengineo wakiamua kuoa zaidi ya mke mmoja! Siwezi...
2 Reactions
8 Replies
429 Views
Kwa wale mnaokaa huko mjipangee ujenzi unaoendeleea wameshauri wafunge upande mmoja. Upande mwingine mtaelekezwa jinsi ya kupita na magari yenu. Ushauri ni kama hamna umuhimu wa kwenda na gari...
13 Reactions
50 Replies
2K Views
Dunia inawazungu wachina kwa jamii zao, wahindi kwa jamii zao, waarabu kwa jamii zao walatino kwa jamii zao na sisi weusi kwa jamii zetu. Wakuu wazungu tangu waliposhika kijiti wanaushawishi...
10 Reactions
26 Replies
717 Views
Hellow JF. Hii inaweza kuwa mwendelezo wa makala zangu za hapa na pale japo sijazipangalia katika mtiririko sahihi kwasababu ninaishi ninachokiandika. Nataka nikukumbushe kitu, najua wajua...
7 Reactions
5 Replies
538 Views
Nimeona clip ikisambaa mitandaoni inayomwonyesha aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mheshimiwa Paul Makonda akimtuhumu mmoja wa aliyewahi kuwa msaidizi wake kuwa alikua akichukua gari na...
3 Reactions
5 Replies
537 Views
Vita vya pili ya dunia viliisha 1939-1945. Mwaka huohuo wa 1945 ikaanzishwa "THE EAST AFRICA WELFARE MUSLIM SOCIETY". Wako wanaosema kuwa miongoni mwa wachangiaji wakubwa wa MAWAZO NA KIFEDHA wa...
3 Reactions
6 Replies
393 Views
Watafiti walihitimisha kuwa utafiti huo "unaunga mkono wazo kwamba homoni za ngono za kiume hupunguza maisha ya wanaume". Muhtasari • Wanaume waliohasiwa waliishi muda mrefu zaidi kuliko "wenzao...
2 Reactions
7 Replies
504 Views
Habari zenu wanajukwaa Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu kwa kipindi cha hivi karibuni jamii imemuwezesha sana mtoto wa kike na kumsahau kabisa mtoto wa kiume je sisi kma jamii tunafanyeje...
7 Reactions
16 Replies
599 Views
Wakuu mnapigaje hapo. Hamjatekwa tu na wasiojulikana ( uvccm ) Kuna sehemu nilinunua eneo heka 1 lengo likiwa n kuweka mradi wa mifugo mbuzi. Wakati naendelea na ujenzi wa mabanda kuna mama...
4 Reactions
20 Replies
595 Views
Back
Top Bottom