Habari wana JamiiForums, napenda kuiomba Serikali kufuatilia kero na kelele inayosumbua sana maeneo ya (Kahama/Lugera/Mnazi mmoja). Kumekuwa na makanisa mengi maeneo hayo, lakini kuna kanisa...
Wakuu kwema ,
Nimefungiwa laini yangu ya tigo kwasababu ety watu wengine hawajalipia huduma hio , kwanini wasifungiwe wao tu.
Wakuu mliowahi kupitia kero hii naombeni njia ya kusovu hili
TANESCO wilaya ya Tarime wamekuwa siyo waadilifu kutekeleza majukumu yao, inashangaza wateja wanalipia toka mwezi wa pili mwaka 2024 mpaka mwezi huu wa nane hawajaunganishiwa umeme!
Ukienda...
° Nimekuwa nikijiuliza, Masai wote hawa ni wakazi wa ngorongoro au wamewaita wenzao kutoka Kenya?
° Kwa wingi huu, je tuna urithi wa kujivunia pale ngorongoro?
° Tuweke siasa pembeni, twende na...
Mchungaji Kiporoza amewataka Wananchi kupendana na kutendeana Wema badala ya Watoto kupotea potea kama ilivyo sasa
Mchungaji amesema binadamu wote tumeumbwa na Mungu wa mbinguni hivyo wewe...
Ukitembea na kuongea na watu kwa unyenyekevu unapata vingi.
Alhamdulillahi baada tu ya kutoka msikitini mchana huu wa adhuhuri nimepitia kijiwe cha kahawa kutia joto mwili kabla sijaendelea na...
Kamati ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar imeridhishwa na Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato jijini Dodoma ambapo ujenzi wake umefikia asilimia 72...
Wakuu habari za siku nyingi?
Bila kupoteza muda ni kwamba tunaishukuru Serikali yetu kwa kutusaidia kupata soko la mahindi lakini tunalia na NFRA.Siku ya jumanne iliyopita,tarehe 24/07/2024...
Kuna ishu inanchanganya kidogo Yani ukitaka ku apply green card lottery wanasema kama hujafika high school inabidi uwe na work experience ya miaka miwili, so naomba kueleweshwa zaidi iwasaidie na...
Image source: Pinterest
Kumekuwa na tatizo la wazazi kulaumiana katika kusimamia maendeleo ya mtoto shuleni. Hivyo kurudisha umoja ili kufanikiwa kumjenga mtoto
Na wakati mwingine mzazi...
Katika kuadhimisha Miaka 60 tokea kuanzishwa kwa Hifadhi ya Taifa Mikumi, Hifadhi hiyo imetajwa kuchangia mafanikio makubwa katika Sekta ya Utalii nchini huku yakitajwa kuchangiwa na jitihada...
Kumekuwepo na malalamiko makubwa kuhusu uwekezaji uliofanyika katika soko la CCM Katoro Geita, Wapangaji waliolipia vyumba katika soko hilo mwekezaji alidai kwamba wanalipia kwa kununua saiti...
Conflicts of interest between domestic and tourism demands have once resurfaced in the construction of tarmac road linking Arusha and Mara regions.
This time it was residents of Ngorongoro who...
Nafikiri anytime soon matumizi ya kadi yataanza ktk vituo vya mwendokasi,je elimu imetolewa? Huduma si mpya japo kutakuwa na maboresho kadha wa kadha.
Nasikia kadi itakuwa inauzwa 5k iyo ni bado...
Huu msemo nineukuta kigoma hapa maeneno ya ujiji, nilienda kutembelea njia za watumwa, Livingstone n.k nimeambiwa story ya mzee mmoja aliekuaa anaitwa juma njemba huyu jamaa nasikia alikua noma...
Shauri la maombi ya marejeo limefunguliwa katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dodoma dhidi ya mawakili na washtakiwa katika kesi ya jinai ya kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti...
TUFANYE KWAMBA WOTE WALIKUBALI WATASHIRIKI MDAHALO HUU.
SWALI
Je kulikuwa na makubaliano yoyote kwamba kama hatoshiriki Dr nchimbi basi waliobaki wote wasishiriki ?
mjadala huu haukuwekwa...
Kuna watu sasa ulevi umesha affect maisha yao socially, spiritually, afya na economically.
Yani kuna watu hawanywi kwa ajili ya msisimuko ila wanazama ndani ya pool ya pombe.
Hebu saidia watu...
Wataalamu Kuna Co-worker mwenzangu WA kike ana tabia ya kutafuna nyuzi za nguo yaani akija kazini utasikia tu anatafuna nyuzi za nguo yaani anazikata kwenye nguo anatafuna ila amezi ila anapenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.