Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hello Jamiiforums Kichwa cha habari kinajitosheleza, wadau na wanywaji wa pombe wote najua tumekuwa tukikutana sehemu tofauti tofauti ili kupoza mioyo (kumwagilia moyo) huku tukiipa miili yetu...
29 Reactions
114 Replies
2K Views
Habarini. Zimepita siku kama tano tumekosa maji ya DAWASA huku kwetu, jana usiku yalivoanza kutoka angalau hapa home tumepata ahueni. Kisima ni muhimu kwakweli. Aisee maji yananuka, sijui huko...
0 Reactions
8 Replies
575 Views
Anonymous (56da)
Kuanzia mwezi Julai mwanzoni mpaka sasa manispaa inayohusika na maeneo ya Makumbusho wanatoza gharama kubwa kwa ajili ya matangazo wanayobandika wafanyabiashra kwenye milango yao ya maduka bila ya...
2 Reactions
6 Replies
389 Views
Kanumba (GOAT) wa filamu Tanzania Diamond (GOAT) wa Muziki Tanzania Samatta (GOAT) ktk Mpira Tanzania Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit ✊🏿
0 Reactions
6 Replies
418 Views
Ushawahi kujiuliza utajiri maana yake nini? Kwa mujibu wa biblia solomoni alikua mtu tajiri sana yeah tajiri wa vitu, madini, wanawake na hekima. Lakini alikufa akiwa na uchungu mwingi, alikufa...
9 Reactions
28 Replies
937 Views
Kumekuwa na tabia ya madaktari kuwatoa wagonjwa wodi za hospitalini hapo na kwenda kuwafanyia upasuaji kwenye Dispensary zao tena kwa gharama kubwa sana.
1 Reactions
13 Replies
657 Views
Ni muda mrefu sasa tangu chama hiki cha kisiasa kimekua ni taasisi iliyokosa uelekeo na kupoteza malengo na misingi ya kuanzishwa kwake, na kuamua sasa kutegemea sana propaganda za hisia kali...
1 Reactions
5 Replies
227 Views
Mara nyingi ili nchi iwe Tajiri inategemea na uthabiti na umahiti wa serikali iliyopo madarakani, rushwa ni adui wa haki na maendeleo. Tatizo lililopo kwa nchi nyingi zinazo endelea ni ubinafsi...
0 Reactions
0 Replies
196 Views
Asilimia kubwa ya watu wengi wanaishi vijijini, Vijiji ambavyo kwa asilimia kubwa bado havijaendelea kiasi cha kuzijua Sheria vizuri sana. Sheria zipo lakini watu wengi hawazijui na hata adhabu...
1 Reactions
16 Replies
457 Views
Kama unavyojua kuna haiba kadhaa kwa sisi wanaume. Mfano Alpha na Beta. Unaelewa nini kuhusu Sigma Male ? ( Are you a sigma?)
2 Reactions
2 Replies
228 Views
Wahitimu wa Diploma Chuo cha DIT hatujapata AVN Namba, tunashindwa kuomba Mkopo, tunaomba Bodi iongeze muda wa maombi KUONGEZWA KWA MUDA WA MAOMBI YA MIKOPO 2024/2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi...
0 Reactions
1 Replies
868 Views
Hii ndio tofauti ya masikini na tajiri katika utoaji wa sadaka Masikini anaamini ukitoa sadaka unabarikiwa unapata pesa Lakini kwa upande wa tajiri katika utoaji wa sadaka na kusaidia...
1 Reactions
2 Replies
559 Views
Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani! Kuna Jamaa alikuwa katika Bus, yaani yeye kila stend anaagiza chakula mara mahindi, sambusa mara karanga za kuchemsha, mara chipsi Alipofika Mombo...
2 Reactions
6 Replies
473 Views
Nimekuwa mara nyingi nikitumiwa ujumbe wa WIZI na ULAGHAI kupitia simu yangu ya mkononi. Kutokana na kero hii TCRA wameweka utaratibu wa kureport kadhia hii kupitia no 1540 na wanajibu kwa sms...
2 Reactions
3 Replies
186 Views
Habari za muda huu wakuu, Kwa wenyeji au waliowahi kufika Tabora mjini, Ni ukumbi upi unafaa kwa ajili ya semina itakayokuwa na idadi ya watu wasiopungua 150 mpaka 300 hapo, Nimepewa jukumu la...
0 Reactions
2 Replies
183 Views
Kufuatia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kumteua Balozi Adadi Mohammed Rajab kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, na Bi. Fatma...
32 Reactions
87 Replies
12K Views
Na kwa Marais mara kwa mara hupenda sana kuwapa ama Pete au Mkufu wauvae na kama wakikupa Pete yao basi itakulazimu mara kwa mara uwe unaishikashika. Kwa Mfano GENTAMYCINE ningekuwa Rais wa...
1 Reactions
5 Replies
459 Views
My take. Hii ndio Habari mpya kwa siku ya leo, kwamba vijana hao wamependekeza awanafunzi wenzao wanaochaguliwa kuwa Viongozi wa Serikali za Wanafunzi wawe wanalipwa mishahara na serikali, (Yaani...
2 Reactions
18 Replies
733 Views
Wakati Serikali ikiwa katika mpango wa kununua mabasi mapya zaidi ya 100 kwa sababu zinazoelezwa kwamba ni jitihada za kuboresha mradi wa Mwendokasi, kuna jambo linashangaza, kuna mabasi...
2 Reactions
14 Replies
751 Views
Back
Top Bottom