Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nianze kwa kuipongeza serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Katiba na Sheria kwa kuifuta Sheria ya Law School Of Tanzania. Sheria kandamizi, iliyo kuwa ina wanyonya na...
8 Reactions
93 Replies
4K Views
Habari wakuu, Niko safarini kuelekea Bukoba Mjini naomba msaada wenu kwa wanaoijua Bukoba vizuri. Nauliza hotel au lodge nzuri kwa buget ya 30-50 ambapo chakula kizuri jirani kitapatikana pia...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Kuna haja ya kuitafuta kweli upya. Kuna ulazima wa kujua tofauti ya ukweli na uhalisia. Tusimwachie pilato. Tumekimbia kuipita Dunia?
5 Reactions
6 Replies
191 Views
Inakuwaje wanajamvi! Yesu mtu wangu wa nguvu wewe ni Mungu hilo halipingiki shikilia hapo hapo mwanangu tulio wengi tuko nyuma yako. Tunakupenda na kamwe hatutaacha kukuabudu. JESUS FIRST JESUS...
6 Reactions
21 Replies
558 Views
Katika kuzurura kwangu nikakatiza Halmashauri ya mji wa Bunda kata ya Guta kijiji cha Nyabehu katika shule ya msingi Nyabehu, Aibu niliyokutana nayo katika shule hii ni aibu mbaya kwa Halmashauri...
2 Reactions
8 Replies
470 Views
Ndugu zangu, kuna ukweli hapa kuwa ukiwa na roho nzuri sana, ni nadra sana kufanikiwa kimaisha? Binafsi kwangu naona ili ufanikiwe kimaisha pale unapopata nafasi, kazi/ biashara inayokupa kipato...
12 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakuu hivi ile foleni inayotokeaga maeneo ya Tegeta mpaka Bunju huwa inasababishwa na nini? Maana huwa ni kubwa na haiendi. Unaweza kutumia masaa matano kujongea kidogokidigo lakini ukifika mbele...
0 Reactions
4 Replies
337 Views
Wajuvi habari zenu? Baada ya kujishauri kwa muda mrefu kuhusu biashara ya kufanya ili walau nipate kipato nimeona suluhisho ni biashara ya stationary. Na hapa nimeona kuwa wengi huwa wanakuwa na...
2 Reactions
9 Replies
555 Views
MIAKA 60 YA HIFADHI YA TAIFA MIKUMI YAZAA MAPINDUZI MAKUBWA SEKTA YA UTALII Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Hifadhi ya Taifa Mikumi imeleta mafanikio makubwa katika Sekta ya Utalii nchini yakichangiwa...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
Kila ukifika umri fulani na hadhi fulani unapaswa kubadilika pia kwenye mtindo wa maisha na hata watu wanaokuzunguka ikiwezekana pia wabadiliilishe kama unaona kabisa wanaweza kuleta shida kwenye...
6 Reactions
6 Replies
369 Views
Mkuu wa Mkoa, Queen Sendinga amesema ajali iliyotokea jana Agosti 31, 2024 ikihusisha Costa iliyobeba Wanafunzi wa Shule ya Endasak Sekondari na Lori la mizigo lililokuwa linatokea Burundi...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Ajari mbaya imetokea leo asubuhi njiani kuelekea Dodoma mjini Majeruhi ni wengi idadi ya vifo bado hijajulikana. Ni kati ya coaster na kimbinyiko MUNGU awape nafuu wote walio umia
6 Reactions
89 Replies
5K Views
1. Wanaoamini dunia sio duara bali ni tambarare(Flat earthers) 2. Wapinga chanjo(anti-vaxxers) 3. Wanaomini benki au pesa zote duniani ni mali za Rothschild au sijui Wayahudi gani fulani huko...
9 Reactions
30 Replies
701 Views
Leo tena wameenda kanisani kumuangamiza adui yuleyule waliyemuangamiza wiki iliyopita ... Mi nawaambia hawa watu ni VICHAA... !!!
7 Reactions
35 Replies
1K Views
Rasmi sasa ili kua wakili sio lazima kusoma shule kuu ya sheria
16 Reactions
165 Replies
7K Views
Straight to the point;- Dah huyu mwamba Mshana Jr ..kuna mambo anaandika..and you guys need to read them in between the lines... And i tell you what...kuna sentence yake moja niliisoma katika...
29 Reactions
66 Replies
4K Views
Anonymous (a61d)
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza Diploma katika chuo cha CBE, changamoto yangu kubwa hawataki kupeleka matokeo yangu NACTE ili niweze kuapply AVN namba niweze kuendelea na degree. Nimejaribu kwenda...
0 Reactions
2 Replies
372 Views
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza masuala ya Law school, ikiwemo wanafunzi wengi kufeli mitihani, anapaswa kuwa mtu Muungwana, Mtulivu, Msikivu na asiye na makuu, anapaswa kuwa mkweli, Mwakyembe...
43 Reactions
148 Replies
9K Views
Ndugu Wana jukwaa wasalaam!! Nimechungulia mtandao wa X almaarufu Twitter nimekutana na bandiko la BUYOBE akieleza tukio la Kijana raia wa Msumbiji kuhamia Afrika Kusini na kuwa kibarua mtiifu...
1 Reactions
1 Replies
360 Views
Kuna mwamba mmoja nadhani ni yule tajiri wa mabasi Zakaria alitaka kutekwa na wasiojulikana kipindi cha JPM, jamaa alitembeza risasi ndio ikawa pona yake. Mwanaume kamili kule kijijini nyumbani...
2 Reactions
3 Replies
178 Views
Back
Top Bottom