Habari GTs,
Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti, kwa raia wa Tanzania wenye umri pungufu na zaidi ya miaka 18. Vile vile gharama za malazi kwa usiku...
Maisha yamebadilika sana, watu wameongezeka sana, utandawazi nk.
Vyuo, vimeongezeka na wahitimu wameongezeka maradufu.
Hali ya Ajira ni changamoto sana kwa vijana hawa. Hali hii imepelekea...
Hakuna usiri wala faragha katika mitandao ya kijamii au jukwaa la mtandao kwa ujumla.
Wakishindwa kupata mawasiliano yako katika mtandao fulani wanaupiga vita.
Mliona CEO wa Telegram amekamatwa...
Tuwape Pongezi wale wote wanaofanya kazi walizosomea.
Nadhani wanafurahia wanachokifanya na wana amani pia.
Lakini kama unafanya kazi huku ukiwa na kinyongo basi mafanikio hutayaona.
Wengine...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametembelea na kukagua eneo la ujenzi wa kituo cha umahiri katika michezo mbalimbali hususani mchezo wa riadha kwa kanda ya kaskazini...
BUNGE LAPITISHA MUSWADA, MAREKEBISHO YA SHERIA ZA ULINZI WA MTOTO.
Na WMJJWM, Dodoma
Bunge la Tanzania limepitisha muswada wa marekebisho ya sheria zinazohusu ulinzi wa mtoto wa mwaka 2024 leo...
Soma Pia: Nini kinachangia ongezeko la matukio ya Ukatili dhidi ya Watoto?
Takwimu za Hall ya Uhalifu Januari - Desemba 2023.
Makosa ya Ukatili wa Kijinsia kwa Watoto
Makosa haya ni yale yote...
Hello wakuu,
Nipo kwenye dose ya vitunguu swaum kutibu malaria nameza punje 5 ndogondogo kila siku....malaria dalili naona Kuna improvement Ila Sasa mwili Na akili vimekosa utulivu vinaleta...
Wakuu Mimi nilikua ni mpenzi sana wa dini ya kisabato ,niliipenda dini hii kuanzia itikadi za Muonekano(nywele,mavazi),pili nyimbo zao zinavutia sana,ilifika kipindi kidoogo niwe msabato rasmi...
Watoto watatu walipochoma visu hadi kufanya- juha mmoja alitoa uzushi uliosababisha maandamano Uingereza yote. Ujerumani.
Uzushi kwenye mitandao ulisababisha maandamano makubwa yenye vurugu...
Watu wanne wamefariki dunia wakiwemo Wanafunzi watatu na Dereva mmoja katika ajali iliyohusisha magari mawili ikiwemo Coaster na gari la mizigo aina ya Scania.
Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo...
Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi yenye makao yake Makuu Mjini Babati Mkoani Manyara imepewa tuzo ya maalumu kutoka Chuo cha Ukamanda na Unadhimu (CSC) kwa...
Habari wanaJF, bila shaka kila anayesoma hapa ni mzima na afya, na kama sio Mungu akupe lililo hitaji la moyo wako🙏
Mimi ni kijana wa miaka 30. Nimezaliwa mkoa wa Mwanza, nimepata elimu yangu ya...
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka amesema ndoto ya Rais Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha nchi inakuwa na mashirika yenye ufanisi mkubwa na wa viwango vya kimataifa.
Hivyo...
Hii ninashauri ili kupunguza tatizo la ajira na pia kusaidia kupunguza migogoro kati ya serikali na wafanyabiashara. Kuna kutokuelewana pakubwa kati ya serikali na wafanyabiashara kwenye hesabu...
Usiku wa kuamkia Leo nimeota nimeua Simba baada kumuua huyo Simba baadhi ya watu wakanibeba kwenye mabega Yao wakinipitisha Kila mtaa huku wakiimba "Shujaa wa nchi".
Asubuhii hii nimemshirikisha...
Serikali imesema tayari imepata wawekezaji wawili ambao wanataka kuwekeza nchini kiwanda cha kuchakata mafuta ya bangi yanayotumika kwa matibabu.
Hayo yalielezwa jana bungeni Dodoma na Waziri wa...
Happy Saturday viongozi,
Kwanza tuweke swala moja bayana hali ni ngumuuu, aisee maisha ni tight naona sio kwa muajiriwa au mfanya biashara ila nisiongelee wengine sema kwa cycle yangu kila mtu...
Mazoezi ya kupumua: Mbinu kama vile kupumua kwa kina au kutafakari zinaweza kusaidia kupunguza mkazo na kuweka akili yako kwenye sasa.
Shughuli za kimwili: Mazoezi ya kawaida yanaweza kusaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.