Ukifika kivuko Cha Busisi mkoani Mwanza unakuta tangazo kuwa kuna changamoto ya chenji ya Sh mia, ukichungulia mezani kuna silver za mia Tano na mia mbili, nauli ya kuvuka ni TSH 400 kwa mtu mzima...
So kuna watu wanalalamika kua profile zao ni 100% lakini wakiomba kazi, application inafaili na kuambiwa waangalie vigezo.
Kama umekutana na tatizo hili basi mi nimepata suluhisho .
Kifupi ni...
Kwa wale tuliosoma ifunda tech tunajua mziki wa engineering science (physics) sio poa. Mimi tangu nipo form one mpaka namaliza form six sijawahi kupata chini ya A kwenye somo lolote lile...
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeshiriki katika kikao kazi cha uzinduzi wa Tamasha la Kimataifa la Maendeleo ya Filamu na Sanaa Tanzania linalotarajiwa kufanyika mwezi wa Disemba mwaka huu...
Kumekuwa na vitendo vya ufisadi unaofanywa na baadhi ya watumishi wa manispaa ya Ubungo kitengo cha wakusanya ushuru pale stendi ya mabasi Magufuli.
Wakusanya ushuru Hawa kwa kushirikiana na...
Jumamosi, 17 Agosti 2024
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuhusu zoezi la maboresho ya mfumo wa mita za Luku ambapo sasa ni zamu ya mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida...
I am not joking to any body/ faith but I think we have to use force or praying for our beloved sister and mother as well as brother and fathers to set them free from devilship chair.
Majuzi...
Yani kati ya kitu kimoja kikubwa Tanzania imeshindwa kutoa huduma yake kwa angalau hata asilimia 30% ni huduma ya NIDA yani huduma hii imekuwa tatizo kubwa sana kwasababu inaweza pelekea mtu...
Naombeni mnifahamishe utaratibu mliofanikiwa kuhama taasisi moja kwenda nyingine hapa inakuwaje..
Naona inakuja option ya kuchagua mikoa badala ya kuja orodha ya taasisi then nichague taasisi...
DHANA YA MAUAJI YA KIMBARI NA UHALISIA WAKE
Msamiati wa "mauaji ya kimbari" ( Genocide) ni msamiati ambao tumekuwa tukiusikia Mara nyingi tu hasa kwenye vyombo vya habari na Mara nyingi...
Taarifa kutoka Netblocks zinasema mtandao wa X (Twitter) umepigwa pini nchini Tanzania
---
Confirmed: Live metrics show that X (formerly Twitter) has been restricted on Tanzania's main internet...
Tunahangaika sana na Jeshi la Polisi kukimbizana na waarifu wanaofanya vitendo hivo.
Lakini Binafsi, Sina hakika sana kama Kuna Sheria na kanuni ambazo zinaenda Moja Kwa Moja KUMLINDA MTOTO...
Hukumu inayotolewa na mahakama zinaathari kubwa Zinakuwa reference katika kesi mbali mbali zinazotokea na kutolewa uamuzi, katika maisha yetu, zikiwa mbaya zinaleta athari zaidi hata kwa mtoaji...
Heshima yenu wakuu,
Summary:
Msanii Mya (44 yrs) kafunguka hivi karibuni kwamba amekaa kwa miaka saba bila kufanya mapenzi, akihojiwa na Angela Yee msanii huyo wa RnB/Pop alifunguka hivi karibuni...
Kipanda cha Tanga Kibaoni, hakipitiki. Ni tope tupu na barabara ya pembeni hiyo ndiyo kadhia kubwa hasa.
Irudishe kama ilivyokuwa zamani iweze kupitika ! achana na lami maana mmeshindwa!
Habari zenu,
Huu ni uzi maalumu kwa watu ambao wanatamani kuacha kufanya jambo fulani lakini imekuwa ngumu kwao.
Funguka hapa huenda ukapata msaada na ukaweza kuyashinda yanayokutatiza.
Narudia hii:
1. Kama hujawahi kwenda kwa mganga
2. Kama hujachanjwa Chale
3. Kama Sio mchawi
4. Kama huendekezi imani za giza
5. Kama utotoni wazazi hawajakufunga hirizi shingoni au mkononi.
6...
Maji ya Kilimanjaro hapo awali hayakuwa na ladha ya chumvi, ila haya ya siku hizi hili tatizo limekuwa sugu, nini sababu ya haya maji kuwa na ladha ya chumvi chumvi? Na ukikagua packaginh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.