Wakristo wakifunga ndoa huwa wanakula kiapo cha " KUISHI PAMOJA KWA SHIDA NA RAHA"
RAHA inasimama badala ya MUNGU.
SHIDA inasimama badala ya SHETANI.
So kwa maana nyingine ni kiapo cha...
Kuna bar moja inaitwa Flamingo ipo Salasala DSM katika ya makazi ya watu inapiga mziki mkubwa usiku kucha. Inatuletea usumbufu majirani unakuwa na kelele za bar ujakaa sawa kuna kelele za makanisa...
HADITHI YA UUMBAJI YA UGNOSTIKI
➖Mojawapo ya mambo yaliyoweka ugnostiki tofauti na aina nyingine za Ukristo wa hivi karibuni ni kuhusiana na Hadithi yao ya kushangaza ya uumbaji ni tafsiri ya...
Wala hakuna kisingizio cha ukoloni, nchi kibao zikiwemo india, korea kusini, China, n.k. zilitawaliwa lakini leo zipo mbali mno
Msione kuna hizi kelele za viongozi wanasema nchi ipo salama...
Habari wakuu! Nilikuwa nafanya kazi mkoa wa kusini Songea ajira ya mkataba wa muda baada ya mkataba kuisha nilienda kuulizia taratibu za kufungua madai wakaniambia mimi bado kijana nitapata kazi...
Hii imetoka kwa mdau mmoja huko jukwaa la afya...
Sawa wakuu hakuna kitakachobaki wote tutakufa.. ila zingatia haya kama kijana mwenzangu ambaye ni hustler
Ile kauli ya kusema magonjwa fulani...
WATU WANAODHARAU KAZI ZA WATU WENGINE UKIWAFUATILIA WALIKUZWA NA KUSOMESHWA NA WAZAZI AU WALEZI WALIOFANYA KAZI ZA KUPIGA DIL
Bado naendelea na utafiti wàngu. Lakini Mpaka Hapa nilipofikia...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inapenda kuwafahamisha Walipakodi na wananchi kwa ujumla kuwa, ofisi za TRA nchi nzima zitakuwa wazi kuwahudumia walipakodi siku ya Jumamosi tarehe 31 Agosti...
1. Wanandoa wenye miaka kadhaa wakihangaika kupata watoto.
2. Wanaoelekea kufilisika kwa kujigharamia au kugharamia matibabu ya wapendwa wao.
3. Wanawake wajawazito wajifungue salama.
4...
kwema wakuu, mimi sio mwandishi mzuri, naomba huu uzi uwe kwenye stail ya maswali..ili niandike kile mnachohitaji tu.
Niulize na nitajibu bila kuficha kila kitu, lengo ni kupeana moyo.
Hapa...
Wizara ya Mambo ya Ndani imesema Mwananchi yeyote anaweza kuwasilisha Malalamiko kwa Viongozi wa Jeshi la Polisi ngazi ya Vituo, Wilaya, Mikoa na Mkuu wa Jeshi hilo (IGP) endapo watafanyiwa...
Kwa niaba ya watanzania, Mhe. Mhagama naomba pitia huu ushauri kuhusu wizara ya Afya na msaada kwa wananchi.
Serikali chini ya Rais wetu mama Samia naomba muanzishe HEALTH INFORMATION CALL...
MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA WAHANGA WA MATUKIO YA KUTOWEKA NA KUTEKWA (ENFORCED DISAPPEARANCES)
Dar es Salaam, Agosti 30, 2024
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo Agosti 30...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania watoe taarifa kwa mamlaka husika pindi wanapokuta kuna bidhaa zisizo rasmi zimeagizwa kutoka nje, zinazalishwa au zinasambazwa nchini.
Ametoa wito...
1. Husonga Mbele. Huwa hawapotezi muda kujisikitikia na kujipetipeti.
2. Huyapokea Mabadiliko.Huyakaribisha mabadiliko kwa mikono miwili
3. Huwa Wenye Furaha. Hawapotezi nishati zao kwenye mambo...
Zoezi la uhakiki wa taarifa bank ya NMB ni kero kwakweli, foleni ni ndefu kila branch, watendaji hawajipanga, inchukua hadi dk 20 kwa mtu mmoja kuhudumiwa na wahudumu kwa kila branch ni mmoja...
Watoa huduma ndogo za fedha na vikundi vya kijamii nchini vinavyojihusisha na huduma za mikopo vimetakiwa kuwapatia nakala ya mkataba wananchi wanaowakopesha mikopo.
Akizungumza katika program...
Dunia ya sasa ili upate fedha za kutosha kwa urahisi lazima ujue kuuza sura kwenye mitandao ya kijamii.
Ukijua kucheza na mitandao hulali njaa, huteseki na maisha.
Makampuni yatakutafuta usiku na...
Habari njema Matajiri Wawekezaji,
Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa...
Wadau habari za mchana.
Kuna hili jambo la kulipishwa gharama ya malipo ya Serikali namawakala nilikuwa nalisikia kwa watu leo limenikuta.
Nimeenda kufanya malipo ya TZS 560,000/= kwa CONTROL...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.