Matumizi ya AI yameshika kasi, uwezo wa program hizi kutengeneza picha kutokana na maono au mawazo ya mtumiaji, kumeongeza wimbi kubwa la picha hizo zikitumika katika maeneo tofauti.
Wasi wasi...
Habari, mfumo wa ajira portal umekua kero kwa watumiaji kwani endapo kuna kosa basi mfumo hauna optiona ya kufuta kosa hilo (hasa kipengele cha accademic qualification) pia ukiwapigia simu...
Baadhi ya Wananchi Wakazi wa Kata ya Lamadi, Wilayani Busega wamedai baadhi ya Askari wa Jeshi la Polisi walishiriki kuwapiga na kuwapora fedha Watu wakati wa zoezi la kuwadhibiti Waandamanaji...
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha.
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhe. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, ameiomba Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuwezesha zoezi la Uhakiki wa...
Leo ahsubuhi, nimepata wasaa wa kutafakari muktadha wa maisha yangu, Nilipo toka, nilipo, na ninako tamani kuelekea.
Nimesikitika sana kuona equations bado ngumu sana si X si Y zote bado...
Taifa limejaa wasomi ila ukisikiliza wanachoandika (kupitia machapisho yao) na wanachoongea unaweza kulia. PhD zimejaa kwenye siasa na kuacha mediocre kwenye academia.
NB: Duniani huko...
📞SIMU KWA SIR GOD
📞Sir God..si ni wewe ndo unasema umeumba ulimwengu KWA siku 7
📞 Sir God..si ni wewe ulieumba makabila mengi duniani lakini ukachagua ISLAEL kua kabila lako pendwa na ukalitumia...
Katika uchambuzi, imeonesha kua biblia ndio kitabu kinachoongoza kua na maandiko yenye ukatili zaidi kuliko kitabu kingine chochote cha dini.
Mungu wa kwenye biblia amekua akiamrisha mambo ya...
Jana Mahakama Kuu ya Tanzania, imesema kwamba Polisi haijawashikilia Deus Soka na wenzie wawili (Frank Mbise na Jacob Mlay) wanaodaiwa kutekwa maeneo ya Yombo Buza, na watu wenye silaha kwa...
Habari za asubuhi ndugu zangu,hii ipoje kivuko kipindi cha mwenda zake kilikuwa ni 24 hrs kwa sasa imekuwa tofauti toka 7 usiku tupo jam Busisi eti hadi kuche ile kauli kuwa kazi iendelee ina...
Angalia mahojiano kati ya Manara Tv na mwanasiasa na wakili wa kujitegemea ambaye pia ni mfanyabiashara wa magari ndugu Hashim Spunda Rungwe, kuanzia dakika ya 35:09 anaulizwa kuhusiana na...
ARUSHA
Katibu Mkuu wzara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amekakagua eneo la Mradi wa Samia Arusha AFCON City (SAAC).
Eneo hilo lenye ukubwa wa ekari 4,555.5 lipo...
Kama unadhani maruhani yapo kwa viumbe hai utakuwa umekosea sana.. Maruhani yapo pia kwenye vitu visivyo na uhai na lugha pia
Hebu waza kwa makini usahihi wa sentensi kama hizi
1. Maji yameenda...
Kwa hasira kuu.
Huu uchawa pro-max ukome.
Ni kodi zetu, siyo lazima kila mradi upewe jina la viongozi, wengine ni nuksi tu watasumbua generation zijazo, wengine majina yao hayana swagger...
Habar wanajf.
Kutokana na matukio yanaoendelea katika nchi yetu hasa Kanda ya Ziwa, na kati imefanya niandike huu Uzi, kwamba Hawa watu sasa imekuwa shida.
Kwani wanachangia uvunjifu wa amana...
1. Biashara zimeandamwa na makodi ya mamlaka na fremu ilihali uwezo wa ununuaji umepungua
2. Kilimo kinaathiriwa na mabadiliko ya tabia ya nchi na bei kuyumba
3. Mazao ya mifugo hutoa mbolea...
Miguu ya Kuku hutumika, kama hirizi katika mila ya Voodoo, Hoodoo, Amerika Kusini na Conjure. Matumizi bora kwa miguu ya kuku ni wakati unahitaji ulinzi kutoka kwenye mambo hasi na upepo...
Kampuni za Simu za Tanzania mnahitaji kuboresha mfumo wenu wa kufikiri, nikama kuna tatizo kidogo kwenye bongo zenu kuhusiana na Starlink
Waafrika siku zote ni kama tuna laana linapokuja swala la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.