Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Zipo ishara nyingi za kumjua mtumishi tapeli. Leo nitaitoa ishara moja tu. 1.Kupenda pesa kuliko Mungu anayemhubiri. Mtumishi tapeli ni mtu anayepanda sana pesa kuliko kitu chochote. Utajuaje kuwa...
2 Reactions
8 Replies
460 Views
Wakuu nataka nikakate Bima ya kulipia sijaajiriwa na mfanyabiashara!! Naombeni msaada wa maelekezo ili nifike hapo
1 Reactions
7 Replies
361 Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Nimepewa Taarifa na washikaji zangu hapo Dar es salaam ya kwamba kuna watu (Mwanamke 1 & Wanaume 2) wananitafuta! Nikiwa Niko hapa Mbeya takribani miezi...
74 Reactions
200 Replies
6K Views
Matajiri 435 wa Tanzania wajiunga katika orodha ya mamilionea duniani Takriban watanzania 435 wamekuwa mamilionea wa dola mwaka uliopita kulingana na ripoti ya utajiri ya Knight Frank...
3 Reactions
4 Replies
794 Views
Kuna uzi niliuandika namna gani kijana anayemaliza chuo anapaswa afanye ili aweze kuishi vizuri mtaani, nashukuru wanajukwaa kwa mwitikio wenu mzuri ila kuna baadhi ya wanajukwaa wansema...
6 Reactions
17 Replies
878 Views
Kuna kauli huwa inatolewa ya Mwisho mwema hasa pale inapoonekana Mtu tajiri au hawa ma celebrities/watu maarufu wanavyofurahia maisha , kwenye comments za watu utakuta tujaliwe mwisho mwema . Je...
2 Reactions
14 Replies
400 Views
Mara nyingi kujiingiza kwenye uchawi sio mwanzo wa kusaka utajiri..safari kwa waganga huanza pale mafanikio yanapoanza pale ambapo wasiwasi na pressure zinawakumba wanaona kama wanatapeliwa na...
2 Reactions
2 Replies
268 Views
Wakuu, naomba kuelimishwa katika hili la majina! Natamani kufahamu yafuatayo: 1. Mtoto anaweza kutumia jina la mama yake kwenye utambulisho wa majina yake? Mfano, kama mtoto anaitwa Bakari na...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
IFIKE MAHALA WANAKWAYA NA WATOA HUDUMA KANISANI WALIPWE MISHAHARA KWA MWEZI! Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Hii ni mara ya tatu nazungumzia Jambo hili. Mara ya Kwanza...
15 Reactions
85 Replies
4K Views
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa malalamiko kuwa kuna changamoto ya maji ndani ya Stendi ya Mabasi ya Magufuli (Magufuli Bus Terminal) kwa siku mbili Agosti 28 na 29, 2024, ufafanuzi...
1 Reactions
6 Replies
724 Views
Kuna tukio nimeliona la Mmoja wa Mlinzi wa Kike wa Mheshimiwa Rais Samia kutoka PSU akimvuta mmoja wa Watu waliokuwa mbele yake na akiwa karibu kabisa na Rais kisha kumrudisha nyuma na Yeye ( huyo...
16 Reactions
34 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mboni Mhita (watatu kutoka kushoto), akipokea vifaa tiba kutoka kwa Stanley Kafu, Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim ukiwa ni mchango wa benki hiyo...
0 Reactions
0 Replies
196 Views
Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea na majadiliano na Kampuni za Nishati za Kimataifa (International Energy Companies - IEC’s) kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa...
1 Reactions
2 Replies
217 Views
Wakuu pmj na kuwasili mji huu leo mchna ,naomba kama Kuna member Yuko huku Kiteto kibaya naomba anipm tafadhali nina Kazi ya kufanya siku mbili hivyo nahitaji msaada.
0 Reactions
3 Replies
409 Views
Habari, Wana JF naomba kufahamishwa namna ya kutumia NBC APP kwa account ya kikundi wote wenye access waweze ku access Taarifa through App.
0 Reactions
0 Replies
140 Views
Kwa walioko dar mtaani kwako kuna maji?? Wilaya ya ubungo kwetu Hali tete jamani tusaidieni
4 Reactions
20 Replies
433 Views
Kwa miaka mingi, binadamu tumekuwa wakitegemea kupata samaki kupitia bahari, maziwa, na mito, bila kuzingatia ya kwamba vyanzo hivi vina kikomo na itafika kipindi vitashindwa kutoa samaki wa...
2 Reactions
14 Replies
987 Views
Nitangulize shukrani kwa JamiiForums kwani mara tu bada ya taarifa ya kukosekana kwa maji kuripotiwa mamlaka zimeweza kurejesha huduma ya maji katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani...
1 Reactions
2 Replies
327 Views
Habari ndugu zangu, kama kicha cha habari kinavyo sema hapo juu, nina ugeni wa mtu wangu ambaye atakaa kama siku 14 (week mbili), sasa nilitaka kupata aprtiment nzuri yenye kila kitu ndani WIFI...
2 Reactions
2 Replies
782 Views
Nianze kwa kumpongeza kwa dhaati kabisa Dr. Faustine Ndugulile kwa kushinda nafasi ya CEO wa WHO Africa. Nirudi kwenye mada. Ukiiangalia hii video kwa kutafakari lazima utaona nchi ina shida...
2 Reactions
1 Replies
443 Views
Back
Top Bottom