Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nini kimesababisha kufa kwa hii App, yaan ilikuja kasi sana. Ukiuliza wenye nayo leo unaweza usiwapate kirahisi.
9 Reactions
80 Replies
2K Views
Ni Mwendo wa takribani kilomita 16 nilipoianza safari mimi na abiria wenzangu kutoka mjini Mwanza kwenda Igombe, Kata ya Bugogwa, iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, mkoani Mwanza...
1 Reactions
4 Replies
683 Views
Hawa waandishi wakiomba interview na wewe inabidi uwe umejipanga. Stephen John Sackur [ BBC Hardtalk ] Edwin Odemba [ Star Tv Medani za Siasa ] Mehdi Raza Hasan [Aljazeera Head to Head ]
10 Reactions
50 Replies
2K Views
Maendeleo ya kasi ya kiuchumi na kijamii ya China, yamekuwa ni mambo yanayojadiliwa kwa kina na wasomi wengi duniani, ikiwa ni pamoja na wale wa nchi za Afrika. Moja kati ya mambo ya msingi...
0 Reactions
4 Replies
326 Views
Umuofia kwenu! Kwa hapa Tanzania ni benki gani ambayo ina huduma nzuri kwa wateja wake kuanzia kwenye branch zao mpaka online. Benki isiyosumbua wateja kwa huduma na makato ya hovyo hovyo mpaka...
1 Reactions
1 Replies
324 Views
Hello! It's lennie here , Stand with amal ni complain iliyoanzishwa na kiredio huko Instagram kwaajili ya kupata 100 million zitakazotumika kumtibia mtoto amali nchini India, Mtoto amal...
4 Reactions
15 Replies
404 Views
Serikali itaendelea kutengeneza Mazingira Akishiriki Mkutano wa 14 wa Chama cha Mawasiliano cha Afrika Mashariki (EACA), Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba amesema Serikali itaendelea...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
kamati ya bunge imebainisha vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu vinavyofanywa na na walinzi wa malonje na kua vitendo hivyo vinatokana na miongozo kutoka kwa wamiliki wa shamba hilo, amesema...
2 Reactions
5 Replies
297 Views
Kwa muda mrefu sasa ushirikiano kati ya China na Afrika ulijikta kwenye ushirikiano kati ya pande mbili, yaani ushirikiano kati ya China na nchi moja moja ya Afrika, uliojikita kwenye mahusiano...
2 Reactions
2 Replies
183 Views
Wakati mkutano wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unafanyika mjini Beijing, wataalamu na wachambuzi wa mambo ya ushirikiano wamekuwa wakifanya mapitio ya baadhi ya miradi...
1 Reactions
2 Replies
203 Views
Jaji Frank Mahimbali wa Mahakama Kuu kanda ya Sumbawanga, ametumia msemo wa sasa wa mashabiki wa timu ya Simba wa ‘Ubaya Ubwela’ kufananisha sakata la watoto wawili wa familia moja wanaogombea...
2 Reactions
2 Replies
350 Views
Imebainika baadhi ya taasisi private zimeanza kutoa vitisho kwa vijana waliochaguliwa kwenda kufanya usahili katika kada mbalimbali za afya maboss hao wameanza kuwatisha vijana kuwa wakifanya...
1 Reactions
8 Replies
297 Views
NVIDIA GB200 NVL72 ni mfumo wa kiwango cha juu unaounganisha CPU 36 za Grace na GPU 72 za Blackwell katika muundo wa rack-scale. Mfumo huu ni wa kupozea kwa kioevu na unajivunia kuwa na NVLink...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Wakati wa Mkapa Nakumbuka PASCAL MAYALLA alianzisha Kipindi Cha KITIMOTO ambapo watendaji kadhaa na viongozi wa serikali walihojiwa kuhusiana na mambo mbali mbali sasa tunaelekea katika uchaguzi...
2 Reactions
53 Replies
8K Views
Muafrika si rahisi kumkuta rodi kavaa kichupi lakini kwa mzungu ni simple Ni simple kwa wazungu kumkuta baba kavaliwa kichupi na mwanawe wa like mbele yake fresh tu kitu ambacho kigumu kwa...
4 Reactions
36 Replies
715 Views
Wadau hamjamboni nyote? Amka na kanuni hii ya Imani ukielekea Kutafuta riziki yako siku ya leo Tumsifu Yesu Kristo Nasadiki kwa Mungu, Baba Mwenyezi, Muumba wambingu na dunia; na kwa Yesu...
8 Reactions
15 Replies
488 Views
Wakubwa Nimeamua kuvunja utaratibu wa JF yetu kwa kuleta kitu kigeni kabisa ktk forums yetu. Ni hivi nategemea kufunga ndoa desemba mwaka huu ambapo pamoja na ubazazi wangu nimekwama kwa binti...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Muigizaji maarufu Anorld Swazenegger akiwa katika picha ya pamoja na stunt man wake. Stunt ni mtu mwenye ufanano anaecheza vipengele hatari kwa niaba ya mhusika mkuu Hawa ma stunt ni watu wenye...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
Si jina geni kwa kila mmoja wetu hapa jamvini.tumeshavijadili sana hivi viumbe visivyoonekana Kuna hawa viumbe majini ambao huwaingia watu mara nyingi ikiwa wanawake na kuanza ukorofi mpaka...
15 Reactions
376 Replies
57K Views
Back
Top Bottom