Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Katika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi...
36 Reactions
289 Replies
8K Views
Kama ambavyo tulielezwa hapo awali Kuwa Waziri mkuu mstaafu Edward Ngoyai Lowassa angezikwa kimila kwa mujibu wa kabila la Kimasai. Ambapo angepakwa mafuta ya kondoo kisha wajukuu na watoto nao...
12 Reactions
74 Replies
6K Views
Swali kwa wakazi wa kagera zinakotoka senene nyingi Je Senene hutokea wapi ,makazi yao na mazalio yako wapi kabla kutua kagera?.maana huonekana tu wakitua Makazi yao wanakotokea ni wapi ...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Tanzania, kama taifa, kuamini kwamba tunawapenda watoto wetu, tunazidanganya nafasi zetu, ukweli hatuwapendi. Kuna matukio mengi yenye kuthibitisha kuwa hatuwapendi watoto wetu, ama viongozi wa...
1 Reactions
1 Replies
237 Views
Baada ya Fortunatus Buyobe kutaka mtoto nayeumwa asaidiwe na wizara huku akishindwa kutofautisha baina ya wizara aya afya na ile ya jinsia na ulemavu na mwishowe kuambiwa afate utaratibu jamaa...
0 Reactions
1 Replies
362 Views
Wakuu habari, Husika na kichwa tajwa hapo juu, Umoja ni nguvu, hii kauli mbiu wazazi mkiitumia mtawatoa kimaisha vijana wenu. Vijana wanaohitimu wanaongezeka na ni wengi sana, ongezeko la...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Sasa ivi hii platform hovyo sana! Kila nyuzi wanafuta!! Hata nyuzi zisizo za siasa!! Maoni binafsi story binafsi Yaan kifupi wanataka kila mtu awe mwandishi wa habar siyo sehemu tena ya ku...
3 Reactions
3 Replies
172 Views
Wakuu, Mtu analipia basi luxury kupata huduma extra, nzuri na bora, asafiri akiwa anajisikia huru. Inakuaje unalipia kusafiri basi luxury halafu unakutana na choo kama hiki? Choo hiki ni kwa...
5 Reactions
25 Replies
5K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amekutana na kufanya kikao na Uongozi wa Jeshi la Polisi nchini ukiongozwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura ambapo...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Raia wa Burundi, Kabura Kossan (65) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akikabiliwa na mashtaka sita yakiwemo ya kughushi kitambulisho cha Taifa (Nida) na cha Mpiga...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Nimefikia hatua ambapo chochote ninachoshika natetemeka hata nikishika kikombe cha chai natetemeka tu kisa safari na smart gin
29 Reactions
120 Replies
4K Views
likuwa jioni ya majira ya baridi kali katikati ya jiji la Arusha, ombaomba na mtoto wake mwenye umri wa miaka mitano walikuwa na njaa kali ilio ambatana na hali ya dhoruba, Walikuwa wakitembea...
2 Reactions
0 Replies
151 Views
Hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana mashoga au mabwabwa au mchicha mwiba tena ajabu zaidi vijana hawa wanaonyesha kuwa na maisha makubwa wanaishi kwenye apartment za masaki...
15 Reactions
96 Replies
6K Views
Ningependa kuanza kwa kuwasalimu wanajukwaa wenzangu nimatumain yangu mko wa wazima na mnaendelea na mapambano. Mimi nilikuwa naomba tujadili namna gani kijana aliyetoka chuo anavyoweza...
10 Reactions
55 Replies
1K Views
MDAU Traffick Mkoa wa Pwani mnalitia aibu Jeshi la Polisi, mnajipanga barabarani kila kituo cha daladala mnachukua buku (1,000) za madereva wa daladala. Mnakaa kituo cha Kiluvya madukani...
2 Reactions
5 Replies
436 Views
Speed ya Mzize ni habari nyingine uwanja wakaitaba vipimo vyake ni vidogo mno kesho mzize tafadhali hasianzishwe tusije kumkuta nje ya uwanja.
2 Reactions
12 Replies
444 Views
Ukiwa mtu mwenye akili timamu na ukiweka udini pembeni utakubaliana namm kwa asilimia 100 maana channel zinazoonesha muvi za kzungu ni nyingi zaida ya 20 tena na mapicha yanaoonesha waislamu na...
1 Reactions
5 Replies
293 Views
Rafiki yangu mpendwa, Umewahi kujiuliza kwa nini watu wawili, wanaoweza kuwa wanafanya kazi au biashara zinazofanana na kuingiza kipato sawa, mmoja anaweza kuwa vizuri kifedha na mwingine vibaya...
6 Reactions
2 Replies
497 Views
Wasalaam,hakuna mtoto wa mwanasiasa au tajiri anayesomea ualimu hapa Tanzania. Education ni kazi isiyo na marupurupu na posho. Huwezi kuta mtoto wa mtu anayejiweza anasomea ualimu. Ukitaka ufe...
6 Reactions
16 Replies
502 Views
Shirika la Reli Tanzania TRC linautaarifu umma kuwa treni ya abiria namba Y14 ikiwa na kichwa cha treni namba 9002, mabehewa 12 ya abiria, behewa moja la vifurushi (parcel) na behewa moja la breki...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom