Rorya. Watoto wanne kati ya sita waliofariki dunia baada ya kuzama na kunasa kwenye tope katika bwawa la skimu ya umwagiliaji, Kijiji cha Ochuna wilayani Rorya, Mkoa wa Mara, wamezikwa kwenye eneo...
Nimetafakali sana hi kitu sijui Kwa Nini ilikuwa hivi Yani wote walio taka kugombea uraisi kupitia tiketi ya ccm mwaka 2015 ilikuwa hakuna namna lazima tupate Raisi ambaye angefia madarakani...
Hatimaye mkandarasi atakayejenga Barabara ya Mabasi ya Mwendo Kasi Tegeta Nyuki - Maktaba aweka Bango la Mradi maeneo ya Kibo Complex
Hapa simung'unyi Maneno Mama ameupiga mwingi sana tena MNO...
Kwamfano ikitoa mchungaji au kiongozi yeyote au mfuasi kapga tukio baya kwelikweli au lakitapeli basi magoli yatahamisha kwadini hadi ambayo haijahusika na kadhia hyo ambao n Uislam na utaskia...
Likizo moja mwaka 2021 nilienda kula X mas ujombani,nikakuta mganga maarufu hapo kijijini amekwenda kituo cha polisi kuripoti juwa ameibiwa TV yake
2.Kuna familia moja naifahamu haba yao ni...
1. WAHAYA - Ngoma zao nazielewa sana vile wanavyo tumia miguu kusigina na kutumia viuno na mikono, ni ngoma inayochezesha mwili mzima.
2. WAZARAMO - Napenda zaidi vyombo vya wapiga ngoma, ni vibe...
Kuna video moja inayohusu nchi ya mbali kabisa ya Tataipa.
Huko kulikuwa na waziri aliekuwa anapitisha sheria kuhusu mambo ya jela, alipitisha sheria ngumu sana lakini sheria moja ni wafungwa...
Dunia ni uumbaji unao ishi na kupumua, uliozungukwa na nguvu zisizoonekana,
nguvu hizo ndizo zinaifanya dunia iendelee kuishi, na kuruhusu uhai na kuifanya iendelee kua hivi tunavyoiona kwa...
Bungeni umesikia kauli ya spika kuhusu hafahamu lolote wala hakuna utekaji kuwa hupo tanzania. hii kauli yake nayo inakuwa sawa na raisi kusema ni drama. huku jeshi la polisi matukio mengi ya...
Wadau,
Mwenye softcopy ya mwongozo wa utendaji kazi katika jeshi la polisi (Police General Order) naomba anisaidie kuiweka hapa au anitumie kwenye email theweeknd9911@gmail.com
Asante.
====...
Huko Mexico Kuna mchungaji mmja wa Kanisa la Kilokole ameingiza Mamilioni ya pesa Kwa mauzo ya viwanja vya Kanisa lake vilivyopo Mbinguni.
Bwana huyo amedai Alipewa Kibali na Mungu kufanya mauzo...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Freeman Mbowe, leo Agosti 28, 2024 amefika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam ili kusikiliza shauri linalowakabili viongozi wawili wa Baraza...
Habari wakuu,
Kuna watu humu wanasema wao ni introverts, kwamba wao wanapenda kujitenga, wanatafakari sana.
Ukirejea katika facts kuhusu introverts
-ni wagunduzi wazuri sana na wanasayansi wengi...
Imeandaliwa na kuandikwa na Dokta Dotto Aliko
🗣️Tuna macho mawili ambayo Ni macho ya uongo fake eyes, lakini pia tuna jicho moja ambalo ndiyo jicho la kweli true eyes, Hivyo tuna macho matatu...
Wananchi katika Kijiji cha Kigogwe, Kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wameandamana kupinga mradi wa ujenzi wa daraja la kubembea, unaojengwa katika Mto Rwiche kijijini hapo, wakidai...
Nimesikitishwa na jinsi maiti zilivyokutwa kwa mganga wa kienyeji kule Singida.
Hii ni moja ya matokeo ya tamaa kali za mali hasa kwa vijana wa siku hizi wakisukumwa kauli mbiu za kipumbavu...
Agosti 26, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa mendelezo wa uchunguzi na mahojiano yaliyofanywa dhidi ya watuhumiwa watatu waliobainika kumuua Samwaja Sifael Said kwa kumnyonga hadi kupoteza uhai kisha...
Kila siku najiuliza waislamu weanafindishwa nini kuhusu maosha ya dunia, wengi na matajiri wakutupwa ila huwezi kuwagundua kimuonekano kitabia hata kwenye sehemu ibaada zao, akichelewa unakuta...
Ni kwa yale maeneo ambayo huwa mmezoea kupata mvua mara mbili kwa mwaka mikoa ya pwani ya mashariki, pwani ya kusini, kaskazini na kanda ya ziwa hali ipoje TMA majuzi walitabiri mwaka huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.