Symbian OS ilikuwa mfumo wa uendeshaji wa simu za mkononi ulioanzishwa mwishoni mwa miaka ya 1990 na mapema miaka ya 2000, kabla ya Android OS kuingia kwenye soko na ni mojawapo ya mifumo ya...
Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa misitu imezindua kampeni ya kupanda miti zaidi ya Bilioni moja katika mikoa ya kaskazini ili kunusuru barafu ya Mlima Kilimanjaro.
Kampeni hii ya...
Wananchi katika Kijiji cha Kigogwe Kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wameandamana kupinga mradi wa ujenzi wa daraja la kubembea, unaojengwa katika Mto Rwiche kijijini hapo, wakidai...
Mimi kama muhaya, nshomile kutoka Uhayani Republic, imenibidi niingie chimbo kuleta maelezo kamili juu ya hii vita ya Israel na palestina ambayo kuna watu wanadhani Gaza inapigwa kwa bahati mbaya...
[salam inakuaga hapa]
Wakuu, nimekua nikitembelea mara nyingi tu Channel ya JF uko YouTube. Kusema kweli Mero na team yake kwa YT wanahitaji kubadirisha approach yake. Maana engagement ni ndogo...
Matajiri wengi katika nchi zinazoendelea, kama Tanzania, huwekeza kwenye miradi ambayo huenda isilete manufaa moja kwa moja kwa uchumi wa nchi. Kwasababu:-
1. Kutegemea Usindikaji wa Pili na...
Awali nilileta lalamiko la kutokuwepo huduma ya maji kwa muda mrefu bila sababu yoyote huku magari ya kuuza maji yakiwa yanaranda mitaani kuuzia watu maji kwa gharama kubwa.
Tazama hapa: KERO -...
Moja kwa moja kwenye mada taja hapo juu, kumekuwepo na malalamiko kadhaa katika baadhi ya ndoa ama mahusiano. Malalamiko hayo ni baadhi ya wanaume kupewa watoto wasio wao, inatokea mwanaume...
Baada ya kupita miji na majiji kadha hapa nchini kila nilipojaribu kununua vifaa vya ujenzi nimeshikwa na butwa kuona kalibu kila bidha bei imeongezeka kwa aslimia 30 hadi 50 kwa bei za awali...
https://www.youtube.com/live/SlT8QJSt7_o
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Ufunguzi wa kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za...
Klabu ya soka ya Chelsea inayoshiriki michuano ya ligi kuu ya Uiengereza imechukua jukumu la kukuza utalii wa zanzibar ambapo mabingwa hao wa ligi kuu ya uingereza wanatarajiwa kuanzisha shule ya...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rajabu Abdukahali Ibrahim almaarufu Harmonize ametiwa hatiani na mahakama kuu divisheni ya biashara tarehe 2 mwezi huu wa 8 kwa kushindwa kulipa kikamilifu mkopo...
Get some education from the Nature...
Did you know?
Birds most especially crows🦅 when they get sick, They attack Ants 🐜 house and dig them out.
Then the crow opens its wings and stands up...
Ni muda Sasa nimekuwa nikiona baadhi ya Askari wakipata promotion ya vyeo pale wanapoonesha utendakazi wa tofauti wenye tija maeneo ya kazi zao na kwa jamii.
Kwanini tusifanye hivyo pia kwa...
Nimeona kwenye vyombo vya habari nchini Rais akitoa rambirambi kwa familia ambazo zimepoteza ndugu zao kwa ajali za gari ya daladala na ajali ya watoto waliozama kwenye bwawa na kufariki. Ametoa...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ameagiza kufuatiliwa, kuchunguzwa na kuchukuliwa hatua kwa watendaji wote walioshiriki kukwamisha...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba
Kwa takribani Miezi miwili nchini sasa kumekuwepo na matukio mbalimbali ambayo yamekuwa yakigusa hisia na...
Nisiwachoshe sana. Twende kwenye hoja
Nimekuwa nafuatilia kwa uchanya sana shughuli za wanaharakati hususan wanasheria wa kujitolea wanaosimamia haki kwa gharama kubwa ya kujitolea.
Nimeangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.