Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nusu ya muda unaodhani unafikiri haufikiri bali unasikliza mawazo yako mwenyewe kichwani mwako, kufikiri sio jambo jepesi ambalo kila mtu anaweza kufanya. Kufikiri ni kitendo cha namna gani? Ni...
4 Reactions
21 Replies
402 Views
Kwa watarajali, intern doctors, intern pharmacists na kadhalika. Nakumbuka tunapokuwa shuleni sekondari kunakuwa na zile fikra kwamba zipo kada ambazo ukizisomea uwapo chuoni basi ajira ni nje...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
wasaidiwe
2 Reactions
1 Replies
220 Views
Amani ya Bwana iwe nanyi nyote, Ndugu zangu, Pamoja na pilikapilika na mihangaiko ya kutafuta mkate wa kila siku, inatupasa kuendelea kumtumikia Mungu mwenyezi aliyeziumba mbingu na nchi na...
1 Reactions
1 Replies
335 Views
Tanzania ni chanzo, mkondo, na nchi kusudio la safari kwa wanaume, wanawake na watoto wanaokabiliwa na ajira za kulazimishwa pamoja na biashara ya ngono. Kasi ya matukio ya biashara haramu ya...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za muda huu Wana Jf. Niende Moja kwa Moja kwenye mada husika, Kuna aina ya watu sijui roho zao zikoje, tuseme ndio roho mbaya au vipi. Nafahamu tumetofautiana tabia na mienendo kutokana na...
12 Reactions
25 Replies
1K Views
Je, kuna ukweli wowote kwamba; Ukiona fani ina Idadi kubwa ya wanafunzi wa kiume kuliko wa kike basi jua hiyo fani ni ngumu? Ukiona fani ina Idadi kubwa ya Wanafunzi wa kike, basi jua iyo fani ni...
2 Reactions
1 Replies
115 Views
Hiyo hapo video yake mwamba huyo mwana mapinduzi na mwanzilishi wa Iran Theocratic Regime https://youtu.be/60MC3bVFG6s?si=TZSCPGdLL__fbT5t
0 Reactions
7 Replies
438 Views
Mkutano wa Afya wa 74 wa Shirika la Afya Duniani (WHO) unaoendelea Brazzaville, Congo leo Jumanne, Agosti 27, 2024 unatarajiwa kumpitisha Mkuu wa WHO Kanda ya Afrika ambapo miongoni mwa wagombea...
4 Reactions
13 Replies
909 Views
Nitafutie mwenye shepu kubwa hapo.. Nitafutie mwenye umbo namba 8 hapo... Unamuona mweupe na mweusi hapo? Umemuona handsome hapo? Je unaweza kumfahamu boss na mtumwa hapo? Umemuona mwenye...
12 Reactions
30 Replies
638 Views
intro Mokili ekoti matata di The world is full of troubles Eric Mandala le docteur des ignorants et Maria Piron Eric Mandala the Doctor of the Ignorant and Maria Piron Wo-wo-wo-wo...
2 Reactions
3 Replies
300 Views
Nakumbuka kipindi Cha kifuku/masika enzi hizi nipo shule ya msingi tulikuwa tunawaona Sana Hawa wanyama yaani kukutana naye mtaani ilikuwa ni Jambo la kawaida na hata wengine waliwabeba wakajaribu...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
PUNGUZA CHUKI, HUWEZI KUISHI PEKE YAKO NA HUWEZI KUISHI MILELE Na Comrade Ally Maftah Baada ya kujitafakarisha asubuhi nimajiuliza maswali mengi sana, ikiwa mimi nina miaka 32, na ikiwa Mungu...
3 Reactions
11 Replies
521 Views
Kama ni vipofu wapo wengi na wanapatikana Tanzania mzima, ukienda shule za walemavu mfano uhuru utawakuta. Zipo shule maalum za vipofu sikuona wachungaji kwenda na kuwaponya huko waliko! Wagonjwa...
1 Reactions
6 Replies
386 Views
Wakuu habari za majukumu ,natafuta chumba cha kupanga kiwe self contained, kiwe na jiko na pia mazingira yenye usalama kwa maeneo ya Arusha-Njiro road kikipatikana mpaka maeneo ya kontena itakua...
1 Reactions
0 Replies
244 Views
Nina washikaji zangu ambao sipo karibu nao saana kiasi Cha kwamba hawawezi kuniambia mishe zao, mmoja tulisoma name o-level alifeli form two akaacha shule, yeye kapanga nyumba nzima hapo...
12 Reactions
76 Replies
4K Views
Simba, Chui, Fisi na wanyama wengine wala nyama walikuwa wanakula nini katika bustani ya Eden? Chatu alikuwa anameza kitoweo chake katika bustani ya Eden? Mamba alikuwa anakula nini?? Ndege...
6 Reactions
49 Replies
1K Views
Wachina wamehamisha kabisa vifaa vyao. Je fate ya barabara hiyo ni ipi? Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, take action please, tatizo ni nini? basi waje wairudishe kama ilivyokuwa maana ni...
0 Reactions
18 Replies
522 Views
Napoishi ni karibu sana na beach ya bahari ya hindi almost mita 300 hivi pia ni karibu na chuo cha afya chenye wanafunzi kama 1000..sasa nimeona kuliko kukaa tu nyumbani au kwenda kunywa pombe...
2 Reactions
7 Replies
334 Views
Jeshi la Uingereza limetangaza juzi August,17, kwamba linataka kuwaandikisha katika jeshi vijana Waafrika ,vijana kutoka nchi za Afrika zilizopo katika Jumuia ya Madola; nchi kama Kenya...
3 Reactions
8 Replies
384 Views
Back
Top Bottom