Ndugu wanaJf ni simu yangu tu au na ninyi kwenye simu zenu Jukwaa la Afya kutoonekana! Tangu Jana nalitafuta silipati. Kuna shida gani! Naomba mwenye kujua tatizo atuambie....
UCHIMBAJI WA VISIMA VIREFU VYA MAJI UMEANZA NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
Jumatatu, 26.8.2024, Mkuu wa Wilaya ya Musoma (DC), Dkt Khalfany Haule amepokea na kushuhudia gari lenye mtambo wa...
KAMISHINA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Prasduce Mbossa Agosti 26, 2024 wametembelea bandari ya Tanga.
Kamishna Mkuu...
1. Mshahara wa walimu na askari magereza ndio mshahara pekee wa watumishi wa umma unaokutana na mshahara mwingine. Hii ni kwasababu wanajua wakifanya masihara tu wamekula tope.
2. Watumishi...
SHEIKH DOGA AMEFARIKI DUNIA
Kutoka ukurasa wa Sheikh Ibrahim Ghulaam
إنا لله وإنا إليه راجعون
INNAA LILLAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN
Mmoja wa Masheikh Maarufu na bobezi mno katika fani ya...
Habar zenu wanajamvi.
Pamoja na kwamba Azam Tv wanajinasibu kuwa wanawasaidia kuwakuza, kuwajenga na kuwatangaza wasanii wa ndani wa tamthilia na filamu kwa kupitia channel ya Sinema Zetu...
Kwamfano ikitoa mchungaji au kiongozi yeyote au mfuasi kapga tukio baya kwelikweli au lakitapeli basi magoli yatahamisha kwadini hadi ambayo haijahusika na kadhia hyo ambao n Uislam na utaskia...
Nimeona watu wakijenga hoja kwamba “huyu kijana ameongea vizuri BILA MATUSI, KEJELI, WALA LUGHA YA KUUDHI” na kwa namna fulani wanawanyooshea kidole wale wanaotumia “LUGHA KALI” kuwasilisha...
Wasalaam wanaJf ,
Sijaona uzi hata mmoja wa kumlaumu waziri husika wala kupewa masharti ya kujiuzulu kama ilivyokuwa kwa Makamba na Nape.
Swali langu ni hilo !
Rais Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwa wakuu wa nchi watakaoshiriki uzinduzi wa kampeni za uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), unaowaniwa na Raila Odinga.
Ushiriki wa Rais Samia...
Mazoezi ni kitendo cha kuushughulisha mwili kwa muda maalum.
Wakati wa tendo hili , chembe hai huunguza sukari ( glucose) ili kupata nishati(ATP) na mabaki ya sukari.
Mabaki ya sukari baada ya...
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano, Stanley Kafu (kati) kutoka Benki ya Exim Tanzania, akizungumza wakati wa kutangaza ujio wa tamasha la Exim Bima Festival 2024, likiwa na kaulimbiu ‘Amsha...
Rais wa Rwanda, #PaulKagame amesema ongezeko la Makanisa ambayo mengi kati yake yamekuwa yakichukua Fedha za Waumini na kuwatajirisha Viongozi wa Madhehebu utailazimu Serikali kuanzisha Kodi ya...
Watu wanapotea miaka Sasa hawajulikani walipo
1. Epuka ukosoaji wa viongozi wa juu, hao hawataki kukoselewa, wapo pale kutawala, hawataki ukosoaji na ujuaji utapotezwa
Mbele ya watu watajifanya...
Sekretarieti ya Ajira imebuni mfumo wa Kidijitali ambao utawawezesha watahiniwa kufanya usaili wa kazi huko huko Mikoani Kupitia vituo walivyovichagua ambavyo vitakiwa na Kila kitu Cha kumuwezesha...
Watanzania wengi hawana utanashati. Wengi wao wanavaa nguo bila kunyoosha pasi. Nguo inatolewa kwenye kamba inavaliwa ivo ivo unakuta mtu anavaa nguo imejikunja mpaka unajiuliza huyu nyumbani...
Mimi nafanya kazi wizara x kama head of department ya kitengo fulani kwahiyo kutokana na achievement yangu ambayo nimeipata kama hapa karibuni kuna wizarani ambayo inasisifiwa sana basi ujue ni...
Nimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu
Gari ni Nissan...
- Nunua kwenye tovuti zinazojulikana na kuwa mwangalifu wa herufi za kiunganishi cha tovuti hiyo. Mfano; Amazon.com inaweza kuwa Arnazon.com
- Hakikisha tovuti ina alama ya kufuli kwenye sehemu...
Wakuu,
Kwenye video hii kuna kijana anakiri yeye na wenzake kushirikiana kuiba watoto, ambapo kwa kila mtoto wanayeiba hupewa Tsh. 5,000.
Watoto hao huuliwa na kisha miili yao kupelekwa Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.