Juzi niliingia hotelini nikiwa na njaa kweli na baada ya kupitia menyu, niliagiza chakula.
Baada ya kama dakika 20 kundi la vijana wa kike na wa kiume waliingia na kuagiza chakula pia. Kwa...
Wakuu,
Kumekuwa na shida ya mtandao karibu wiki sasa, saa nyingine ikifika usiku mtandao unakuwa chini sana na wakati mwingine hata siku nzima, unakuta mtandao unasumbua kweli na hii ni kwa...
Aisee Mungu huyu nitamshukuru kila wakati. Nakumbuka kuna kipindi maisha yalikua magumu hata mno magumu mpaka basi hata pesa ya kula ilikua mtihani kila kitu kilivurugika
Mwanaume usiombe...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa hapo chini:
Mtoa hotuba wa Ijumaa ya leo msikiti Sunni Dodoma (Nunge) Imamu sheikh Mbwana Haji amesema muislamu anapaswa kujipamba na tabia njema wakati wote na...
Habari wakuu,
Ninaimani sote tuko wazima wa afya, kama una changamoto ya kiafya nakuombea Mungu akufanyie wepesi upone.
Baada ya hiyo salama naomba niende moja kwa moja kwenye mada kama...
Nimekuwa nikishangazwa sana na jambo hili kwamba kampuni kubwa nchini kwa masuala ya media ndio kwanza wafanyakazi wake mahiri wanatimka kila kukicha kwenda kufanya kazi kwenye taasisi zingine...
Nilikuwa naperuzi kwenye mitandao maarufu nchini nikakutana na hii habari inayomuelezea huyu Mtoto pichani ambaye ana miaka 3 anaitwa Nice, ana uwezo wa kufanya hesabu za Sekondari kwa uwezo wa...
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.
Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
Wajomba mambo vipi, aisee mimi sio mwandishi mzuri sana ila leo naomba niwapitishe kidogo kwenye hii "BITTER TRUTH" . ndio, ni ukweli mchungu especially kwetu sisi Scholars (wenyewe tunajiita...
Hili neno liheshimiwe kabisa kuwa tanzania ni nchi ya drama kama wafanyavyo serikali ya ccm.Hivi unawezaje kuchezea mahakama kwa kupata mihuri alafu na wakuu wa wilaya na mkoa kuweka sahii zao...
Askari wa usalama wa barabarani 168 wamechukuliwa hatua zikiwamo kushtakiwa kijeshi, kuhamishwa vitengo na kufukuzwa kazi, kutokana na makosa ya kinidhamu ikiwemo rushwa katika kipindi cha kuanzia...
JamiiForums kwa kushirikiana na CIPESA kupitia Mfuko wa Haki za Kidijitali wa Afrika (The Africa Digital Rights Fund - ADRF) wameendesha mafunzo ya Uhakiki wa Taarifa kwa Wadau wa Tasnia ya...
Mama Samia , Katika halmashauri iliyojaa wizi ni hii, bahati mbaya sana janja janja hutengenezwa na kupewa Hati safi.
Nendeni mjionee ni nyumbani Kwa Mwl Nyerere lakini majizi hayana Aibu ...
Wakuu,
Kwa mara ya Kwanza ndo naexperience Ile hali ya kukosa usingizi sababu ya madeni Namambo kuwa mengi.
Nilikua naskiaga tu kwa watu wakisema madeni yanakosesha usingizi usiku unakua mrefu...
Wakati huu wa sayansi na teknolojia, kazi zimerahisishwa sana.
Inashangaza kuona baadhi ya taasisi za serikali zinashindwa kwenda haraka katika utendaji kazi kiasi cha kuharibu ratiba za...
Tukio lemetokea huko Dodoma yani ushuzi wa binadamu uwezi kuimili ila cha kushangaza mtoto kaweza kuishi siku 3 .
Huyu mtoto anaweza kuwa miujiza mtoto.
Tukio limetokea huko Dodoma
Charlie Chaplin alipofariki akiwa na miaka 88
aliacha kauli 4:
1. Hakuna kinachodumu milele duniani, hata matatizo yetu.
2. Napenda kutembea kwenye mvua kwasababu hakuna atakayeyaona machozi...
Katika mwili wa mwananke kifua ni sehemu nyeti na haipaswi kuonwa na watu wengine zaidi ya mwenye mamlaka tu, yaani Mume.
Lakini tunaona baadhi ya wanawake wakinyonyesha watoto wao hadharani bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.