Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Isiishie tu kusema na kukemea bali Bunge letu halina budi kutunga sheria kali dhidi ya vitendo vya ushoga; vitendo vya ushoga, ndoa za jinsia moja na uhamasishaji wa vitendo vya ushoga. Majirani...
3 Reactions
32 Replies
800 Views
Kwenye Sector ya usafiri kuna Ma mafia wengi sana. I just saw picha ya gari la mzigo tena loose cargo inasafirisha wahamiaji haramu nikashangaa sana. Yaani gari ukiona mzigo ni bomba za maji...
29 Reactions
123 Replies
4K Views
Mwaka jana mama alitangaza kurudisha ile nyongeza ya kawaida ya kila mwaka baada ya kusitishwa na Raisi Magufuli, Pamoja na kupandisha vyeo wafanyakazi ambapo walikuwa wamesitishiwa .. Tumeona...
1 Reactions
6 Replies
582 Views
Unakumbuka siku ile vijana wanamfuata Yesu na kumwambia Kuhani Mkuu anataka kumuua kwahiyo aondoke Yesu aliwajibu? “Nendeni mkamwambie huyo mbweha hivi: ‘Leo na kesho ninafukuza pepo na kuponya...
31 Reactions
81 Replies
4K Views
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa Wakazi wa Kijiji cha Kemakorere, Kata ya Nyarero Wilayani Tarime wana changamoto ya kukosekana kwa huduma ya maji kwa muda wa zaidi ya miezi...
0 Reactions
0 Replies
436 Views
Ni majanga. Utasikia nimeibiwa na boda, wamekwapuwa pochi yangu baada ya kutoka kutoa hela Mlimani City, ilikuwa na smart phone na ile laki tano niliyotoa baba watoto! Au nikiwa ndani ya...
12 Reactions
47 Replies
2K Views
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha. Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro imeahidi kuanza kutenga bajeti sambamba na kuwashirikisha katika vikao, mikutano na shughuli nyinginezo Waratibu wa Mfumo wa...
0 Reactions
0 Replies
160 Views
Ukweli kwa sasa, dini hasa makanisa imekuwa kama chambo Cha kupiga fedha za watu, kibaya zaidi sasa hasa wanaojiita manabii wengine wanatoka hata nje kuja kupiga pesa kwa kulaghai raia na...
1 Reactions
0 Replies
177 Views
Poleni kwa majukumu. Tafadhalini naomba kama kuna mtu anajua wakala wa 1xbet aniunganishe nae, wakala huyu awe mkoa wa ARUSHA. Natanguliza shukrani
1 Reactions
1 Replies
263 Views
Habari. Haya ni mambo baadhi niliyonifunza kupitia ulokole au kuokoka. Kiukweli miaka 3 iliyopita nilikuwa mkristo mzuri sana na muumini mzuri ninayefuata misingi ya kiimani ya kipentekoste au...
12 Reactions
52 Replies
2K Views
Hivi karibuni baraza la famasi limetoa matokeo ya mtihani wa leseni kwa utaratibu tofauti na ule wa zamani wa kuyaweka wazi kama yanavyowekwa matokeo ya sekondari. Safari hii wameamua kuyatuma...
5 Reactions
10 Replies
592 Views
Nchi ingekuwa na utaratibu wa kusoma soma toka watu wakiwa wadogo, watu wengi sana wangeepuka kuishi Mji wa Mtego wa Wajinga. MBWEHA: Na fedha zako je? PINOKYO : Ninazo. Niliziweka mfukoni...
5 Reactions
0 Replies
247 Views
Hali ya taharuki imeibuka katika eneo la kuhifadhia taka katika mtaa wa Oysterbay Mjini Babati kufuatia kuokotwa kwa mwili wa kijana ambaye haujafahamika, aliyeuwawa kikatili na kufunikwa na...
4 Reactions
7 Replies
480 Views
Kwa wiki kadhaa sasa sarafu ya EURO (EUR) imekuwa ikiimarika dhidi ya Dollar ya marekani (USD). Je tutegemee kutokea anguko la EUR week hii baada ya kuwa Bullish kwa muda sasa? Nini maoni yenu...
0 Reactions
1 Replies
186 Views
Programming computer ni mfumo wa lugha za vifaa ambavyo vyenyewe vinajua moja na ziro tu. ila kutokana na uwezo mfumo wa digital moja ziro ndio zinaweza kutambua mamilioni ya ziro na moja kwa...
1 Reactions
6 Replies
396 Views
Jeshi la Polisi linawashikilia watu wawili waliosikika wakimhoji mtoto aliyejitambulisha kwa jina la Evaristo katika moja ya picha jongefu zilizosambaa katika mitandao ya kijamii. Pia, Jeshi hilo...
1 Reactions
9 Replies
695 Views
Nataka la kuwasha tv na kngamuzi tu liwe dogo na bajeti yangu ni laki 2
1 Reactions
7 Replies
260 Views
Katika hali ya kustua ni ukweli kuwa tumekuwa na tabia ya kujiridhisha na kujiliwaza kuwa tumetiabidii sana ila hatujayapata tuyatakayo lakini uhakika ni kuwa hatujataka haswa tuyatakayo...
3 Reactions
6 Replies
423 Views
Wana JF wote nawasalimia kwa umoja wetu. Bila kupoteza muda naombeni ushauri. Home kijijini kwetu kuna hali ya uhaba wa maji,nilikuwa nina mpango wa kuchimba kisima cha drilling. Sasa jana kuna...
8 Reactions
126 Replies
22K Views
Jaman hii shida iko mkoa wa Tanga wilaya ya Kilindi kijiji cha Masagalu kata ya Masagalu, wanawake wanaumia kwa ukosefu wa maji, maji yenyewe ni ya shida na yako mbali. Hivi hawa viongozi...
1 Reactions
3 Replies
185 Views
Back
Top Bottom